mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,564
- 10,618
Unataka akaonyeshe nini? labda ramani ya Koromije, cheti hana ana leaving tu, masomo yote amepata fafafa zote.Unajua Hii Issue ni nyepesi sana, The same method aliyoitumia wakati wa kutaja majina.. Kwanini assiitumie Kuita waandishi wa habari akaonyesha vyeti... kama hakuna shida yoyote ile kwa nini asiite tu waandishi? Nakuhakikishia akifanya hivyo this wont last a week watu watakuwa wameshasahau kwamba kulikuwa na kitu kama hii.
Hyo hpo Mkuu.Mara ya kwanza sikuilewa ile Cocacola Bashite nilipojua nilicheka sana tafadhali mwenye ile coca isiyokuwa na sukari ambayo kwa sasa ni maarufu kwa jina pendwa naomba aitupie.
Asante mkuu kwa kinywaji bora kabisa cocacola Zero a.k.a BashiteHyo hpo Mkuu.
Habari nzuri. Funga Efm Sikiliza Kilaudiz efuemu ndiko wanakomsifia.Habari wakuu
Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.
Amewakosea nini?
Bila shaka hiyo ndio radio bora kabisa kwa sasaHabari wakuu
Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.
Amewakosea nini?
Uhakiki haujaisha mpaka waishe aiseeKwanini wakifoji wengine ndio iwe haramu? Hii nchi ina matabaka kwenye uwajibikaji kisheria? Ndio maana wanakomaa ili na yeye afanywe kama walivyofanywa wafoji vyeti wenzake kwenye uhakiki. Uhakiki uliotugharimu kiasi hadi leo hakuna ajira, hakuna kupanda madaraja wala mishahara halafu huyu anakula nchi tu!! Lazima tukomae.
Wakuu tumejadiri mengi kuhusu mheshimiwa huyo, binafsi naona itoshe sasa.
Tuseme imetosha kwa sababu yale machozi ya jana ni kauli ya kuomba msamaha kwa namna moja au nyingine.
Ukiona mwanaume aliyekuwa jasiri na mwenyewe nyodo na majibu ya fedheha na kudharirisha analia , tena analia mbele za watu ujue amejutia makosa yake.
Naomba tuachane na habari za Makonda kama Makonda. Tuendelee na mengine, jamani ameshajifunza somo kubwa sana ninaamini atabadirika sana.
Nawe Bwana Paulo Makonda Maumivu uliyoyapata kwa tukio hili ndiyo waliopata wale ulikuwa unawatukana na kuwadharirisha mbele ya kamera, Mungu amekuonjesha sehemu ndogo sana, acha kutukana na kudharirisha watu.
Nilikwambia siku moja kama unakumbuka kuwa cheo ni dhamana.
Familia ya marehem Kabwe inakutazama kama wewe ndiyo sababisho la yote yaliyomtokea baba yule.
Acha uongozi wa mihemko, tubu kwa wote uliowadharirisha, akiwemo ,manji, mbowe, Gwajima , wema na wengine.
Narudia kuwasihi tena wanajf wenzangu itoshe kuhusu huyu mtu jamani.
Wanaoniunga mkono kwa hili Mungu awabariki sana.
Msiyoniunga mkono niwaombe mjaribu kuvaa uhusika japo kwa dakika moja. Najua mkisha uvaa uhusika kwa dakika moja mtanielewa na kuniunga mkono.
Asanteni.
Kulia siyo kuomba msamaha, kulia hakuondoi kosa la kufoji vyeti,kulia hakumpi uhalali wa kuendelea kuwa mkuu wa mkoa. Tutaendelea kusema ukweli mpaka atakspo akili hadharani kosa lake lakufoji vyeti usitulazimishe tufuate mawazo yako
Wenyewe wanasema "Form Four Failure Fit For Food Fight".Fighting For Four years
Hii ishu simple sana, yaan haina haja ya kuzunguka kujibaraguza makanisani na misikitini huku unalia,Aisee kufoji ni kubaya jaman
Bora wewe hujafeli form four na six halafi vyeti vyako unavyo bila kufojiWenyewe wanasema "Form Four Failure Fit For Food Fight".
Kufeli kubaya sana jamani . Binafsi nili-discontinue UDSM so, I know how it feels.
Hivi mawingu kwa English inaitwaje?
Si ajabu anavyo kavitunza kabatini na mfukoni kachapika ile mbaya. Unakandia mtu aliyeko field kwa vitendo kisa una makaratasi umeyatunza kabatini!?Bora wewe hujafeli form four na six halafi vyeti vyako unavyo bila kufoji
Ahsante sana. Maana sisi wenye piihechidii English-language huwa sio sanaBob12 said: ↑
Sky ni Anga
Mawingu ni Clouds..!
Punguza kuganga njaa jezi elfu 15 iyo vepenauza jezi zina jina la bashite mgongoni bei 15000 unaletewa ulipo