E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

[emoji3] [emoji3] [emoji3]
aka wana riadha mana kila akikutana na ticha wake au class mate anageuka usain bolt,
Chezea division bashite wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ndio hivyo mkuu BASHITE sio ya kisport sport kbsaa [emoji4]
 
mimi nacheka wanaposoma habri kwenye magazeti inayomuhusu bashite wanavyokazia, mfano juzi kuna gazeti moja liliandika "Makonda apatwa na kwikwi" kitenge ile habari aliirudia kama mara nne hivi...nilicheka sana
Hainaga ushemela hapa
 
Umesema vizuri sana ila Vyeti sasa ndio alete
 
Hata tukiongea 24 hrs kuhusu Makonda hatutaletewa vyakula majumbani mwetu. Mleta mada uko sawa kabisa. Life has to go on, tufanye kazi na tuyaache ya Makonda.
Kwani unaponunua bundle kuja JF .. Maxence huwa anakuletea chakula kwako? Acha waandike
 

Kule kwingine watu hawawezi ongea freely kwaajili fulani fulani, na humu pia watu wameficha sura ili upatikane ukweli unataka uambie watu wasiongee... We unamatatiza sio siri. Mawazo yako peleka kwingine na acha wananchi wadai wanachoona ni haki kwao.
 
Naunga mkono hoja,jamani itoshe sasa hii ni too much! Tukilala Makonda tukiamka Bashite wengine mpaka tunaota tupo koromije! Loh! Emu kuweni na huruma hata kiduchu.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unaota mahali husipopajua
 
Apigwee apigweee apigweee tu
 
Tunahitaji vyeti
 
Naunga mkono hoja,jamani itoshe sasa hii ni too much! Tukilala Makonda tukiamka Bashite wengine mpaka tunaota tupo koromije! Loh! Emu kuweni na huruma hata kiduchu.


Afu hawa mbona kama wametumwa.... The Sympathy trick naona imefanya kazi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…