CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Kweli kabisa Preta bila huruma unamfanyia hivyo mtoto wa mwanamke mwenzio pamoja na huruma zake zote?
thubutuu, mkuki kwa nguruwe. . . .
umesahau kwa wanaume, msichana huyu anafua, mwingine anakuja kulalia!
huyu anaosha vyombo, mwingine anakuja kupika!
huyu anafanya usafi, mwingine anakuja kuchafuliwamo lolest!!!!!!
wapi Madame B. . . .
Last edited by a moderator: