duuuhh itabidi tufanye mapinduzi kwa hili...

duuuhh itabidi tufanye mapinduzi kwa hili...

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,107
Unamnunulia demu wako
simu..
mwanaume mwenzio
anamnunuia muda wa
maongezi..

huo ni mgawanyo
wa kazi/majukumu


Unamnunulia chup mwanaume
mwenzio anamvua

huo ni mgawanyo wa madaraka/
uwezo


Unamlipia ada ya chuo/ shule...mwanume
mwenzio anamlipia kodi ya nyumba/ hostel...

hiyo ni
biashara
mchanganyiko/ mwingliano wa biashara


Anakwambia hayuko tayari kufanya mapenzi lakin
mwanaume mwenzio analala
naye kila siku tena demu wako
ndo humlazimisha..
Je hii nayo
tuipe jina gani?
 
ndio mgawanyiko....mlitaka mnunue kyupi mkivue nyie nyie....hiyo si itakuwa ni kulogwa......? tupisheni sie.....
 
ndio mgawanyiko....mlitaka mnunue kyupi mkivue nyie nyie....hiyo si itakuwa ni kulogwa......? tupisheni sie.....

Kweli kabisa Preta bila huruma unamfanyia hivyo mtoto wa mwanamke mwenzio pamoja na huruma zake zote?
 
Last edited by a moderator:
Ina sikitisha sana!

"Law of marriage ni tamu kuli ndoa yenyewe"
 
Kweli kabisa Preta bila huruma unamfanyia hivyo mtoto wa mwanamke mwenzio pamoja na huruma zake zote?

Nina wasiwasi kua wewe sio mtu ni ''cybogy''
 
Last edited by a moderator:
Hiyo inaitwa shika mapembe mwenzio anakamua maziwa
Mateso bila chuki wala kulazimishwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom