Dushelele Lake, Linanitia Hofu...

jamaniiiiiiiiiii wenzio wanayalilia hayo madubwana yawakabe, we tena wayakimbia, mweeeeee! hubby wangu Asprin asipite hapa!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: amu
Nalihisi Hilo, maana hawa wanaume wamekuwa HAWAJIAMINI kimaumbile ya du.du zao, usikute kashapaka/ kunywa mchina...

ila cha ajabu hata yeye, yuko frustrated na hali hiyo
wewe unataka size ipi? XL au XXL maana jamaa inaonyesha ni XXXL
 
Haya mkatae basi mie nilete barua yangu ya posa MAANA DUSHELELE LANGU LINAPUNGUA KADRI SIKU ZINAVYO YOYOMA .......!:love:

Mheshimiwa wewe hujipendi nini? Huyu mtani wa jadi ameshasuguliwa mwaka mzima na mzinga unaokuwa kila mwezi kwa urefu na unene halafu wewe unataka uingie na kibastola chako kinachopungua ukubwa!! Siku ya kwanza tu atakuja kuomba ushauri iwapo ni sahihi aolewe na mtu mwenye kibastola kinachopungua ukubwa kila mwezi.
 
Dii.. Kama haumwi na hakuna mkono wa binadamu basi wonders shall never end.

Pia nina wasiwasi.. Labda hakuandai vizuri au niseme mwili wako unakuwa hauko tayari ndio maana unasikia maumivu.

Pole sana

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kitu ambacho hujajua na wewe papuchi yako itazidi kuwa kubwa kadri muda utakavyoenda...Kama umesoma Physics utakumbuka kuwa action and reaction are equal but opposite forces
jamani mnanimaliza mbavu zangu mwe!
 
sister eeh, mi naona mshikaji anaingiza mzigo mzima yani mpaka mayai mawili...!(mapumb.u) mwambie atleast iwe 50% alaf iwe sio speed sana!!!
 
Komba Nadhani una matatizo kwenye sehemu za uzazi. Wahi haraka hospitali umuone mganga wa magonjwa ya wanawake wakupime kwa ultra sound.

Grace Komba
 

Amu umenisahau na mimi nipo nafuatilia jinsi huyu mtani wa jadi anavyolalamikia silaha kubwa ya maangamizi.
 
Reactions: amu

Mwachie Mungu!
 
Pole sana dada, ukweli na uwazi ni kitu kizuri kwani humweka mtu huru hivyo basi ongea na mpenzi wako akwambie ukweli kama katumia dawa yoyote ya kuongeza maumbie, maana si rahisi maumbile kukua yenyewe baada ya kipindi cha barehe kupita. Inawezekana kwa namna moja ama nyingine alihisi akiongeza atakufaidi zaidi (hii ni tamaa na ubinafsi) akaamua kutafuta dawa.
Hata vivyo ni hatari kwa afya yenu wote, maana wewe utakosa kufurahia tendo la ndoa japo uke huwa una elasticity na hasa baada ya kujifungua unaweza kuonekana mpana kiaina kwa baadhi ya wanawake. Pia huwezi kujua mwisho wa huo uume kukua ni lini kama ndo unaongezeka kiasi hicho, inawezekana ukakua mpaka ukalingana na mkono mzima ama mguu, je utaweza vumilia? au yeye ataweza ubeba na kuendelea kuutumia.

Ushauri wangu ni umwombe akuambie ukweli na mwende kwa daktari athibitishe ukuaji huo na kutoa ushauri wa kitaalam.
Baada ya kupata ushauri wa daktari ndipo uamue kuolewa ama la! Kumbuka kwenye ndoa si mahala pa matazamio, muda wa matazamio ni sasa na hivyo maamuzi sahihi hupaswa kufanywa sasa. Ubarikiwe na kila la kheri.
 
Amu umenisahau na mimi nipo nafuatilia jinsi huyu mtani wa jadi anavyolalamikia silaha kubwa ya maangamizi.
mie hata nisingehitaji ushaurii ningetoka mbiooooo speed 150 vijana wanajua wanapendezesha kumbe wanaharibu mwisho bibie atatoka baru na kipichu mkononi siku moja looo.
 
Huo ni ugonjwa wa matende na mabusha...

Waweza kugusa popote hata kwenye minyonyo...lol!!

Babu DC!!
 
inawezekana ishalishwa amira hyooo...jipime mwenyewe kama upo tayar kuendelea na maumiv hadi itapofkia saiz sawa na mwili wake ama vip.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…