Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,409
- 31,394
- Thread starter
- #281
MADUDU MAPYA YAIBUKA
Takribani mwaka au miwili Rais Trump alisikika akisema 'crooked Hillary' alihatarisha usalama wa US kutokana na emails
Kauli mbiu uliyopigiwa debe na Gen Flynn ilikuwa lock her up
Washirika wawili , Sessions na Flynn wamekiri kuwasiliana na balozi wa Russia kwa nyakati tofauti kinyume na kukataa kwao siku za awali. Flynn akalazimika kujiuzulu na Sessions yupo yupo tu
Wiki iliyopita Trump alimfukuza kazi FBI dir Comey . Siku moja baadaye akakutana na waziri wa mambo ya nje wa Russia akiambatana na balozi Kislyak. Huyu ndiye balozi aliyeonekana 'busy' na washirika wa Trump
Hillary Clinton haku share information ,bali email zake zilikuwa Vulnerable.
Rais Trump akiwa oval office ame share top intelligence information na Russia akiwemo yule balozi maarufu Kislyak.
Information hizo zinatoka kwa washirika wa US katika mambo ya intelejensia bila kuwa na ridhaa yao ikijulikana kuwa baadhi hawana uhusiano mzuri na Russia.
Hii ndiyo habari inayorindima katika viunga vya DC jioni ya leo baada ya magazeti mawili ya Washing na New York kutoa habari hizo. WH imekutana na vyombo vya usalama katika kuhaha ili kuzima timbwili hili linaloongeza hisia zilizopo
Hali si nzuri kiasi cha hill kuanza kumegeka baadhi wakisema WH ifanye jambo kuzuia hii ' down spiral'
Habari bado ni mbichi mengi yatajulikana
Tusemezane