Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 8,532
- 13,780
Don't trust someone too much
Hao ndio hatari zaidiwatakuambia "mke" yupo
Muda wa kutosha kama upiKama unaishia kutoa tu pesa ya chakula na kumlipia ada na matumizi bila kumpa muda wa kutosha , nayeye atayeya na kuungana na mama yake
siku akutoe kafara hutoamini macho yakoMtt wangu ndio rafiki yangu wa ukweli na hata akinisaliti sitakuwa na maumivu km yakusalitiwa na mtu baki
kwa hiyo hutengenezi bondi na mtoto afu unategemea waje wapoteze muda wao kwa ajili yako sababu tu unalipa ada nakununua chakula na nguo?Muda wa kutosha kama upi
Boraa yy anitoe kafara alee faida kuliko mtu baki mkuusiku akutoe kafara hutoamini macho yako
Kila nilipo nipo hamjui hata mama yake na mama yake naye hajui km ana mtt mkuu.Kama unaishia kutoa tu pesa ya chakula na kumlipia ada na matumizi bila kumpa muda wa kutosha , nayeye atayeya na kuungana na mama yake
kwan kuna uwezekano wa kutolewa kafara na mutu ambaye sio ndugu yakoBoraa yy anitoe kafara alee faida kuliko mtu baki mkuu