Dunia sio duara!

Katika framework gani?

Nini uelewa wako katika dhana ya Uungu(Mungu)?

Mungu yupo au hayupo?

Ili "mimi Kiranga" nikubali kuwa Mungu yupo, naweka vigezo hivi: 1...2...3...4.... Atakayetimiza vigezo hivi huyo ni Mungu.

Katika muktadha huo hapo juu.
 
Nini uelewa wako katika dhana ya Uungu(Mungu)?

Mungu yupo au hayupo?

Ili "mimi Kiranga" nikubali kuwa Mungu yupo, naweka vigezo hivi: 1...2...3...4.... Atakayetimiza vigezo hivi huyo ni Mungu.

Katika muktadha huo hapo juu.

Mungu gani?

Mungu ni nini/nani?
 

Ndefu sana nimeshindwa kusoma.
 
Nionyeshe tafsiri moja ya kitabu cha Bertrand Russell kwenye Kiswahili.

Tusiandikie mate na wino upo.

Tatizo hata kamusi tu ya kiswahili ina maneno au misamiati migumu sana lakini for the sake ya watu kuelewana huwa haitumiwi, hata mashuleni walimu hawaitumii.
Hali kadhalika kuna misamiati ya kiingereza na (au lugha zote) wenye lugha hawaitumii kutokana na ugumu wake au kutozoeleka katika jamii husika.

Wazungu/walatini au watalii huwa hawatumii bombastiki ka izo, cha ajabu wewe unaitumia.
 
hivi kuna yeyote kati yetu alie wahi kwenda nje ya dunia na kuipiga picha tukaiona ni ya duara, si tunaletewa tu picha kwamba ni duara.., mi nimeamua kugoma mpaka niende nikahahakishe mwenyewe.., dunia sio duara kabisa..!

Dunia ni msitatiri
 

Jicho la binadam linapnaje ? Isijekuwa jicho linaumba uonekano wa vitu vikiwa mbali mwonekano Fulani nasi tukatumia kuthibitisha umbo lililojengwa na jicho ? Unataka kuniambia umviringo wa dunia waweza onekana kwa kuwepo nundu kwenye bahari ya Hindi kati ya bara na Zanzibar ? Rejea mfano wako wa meli kuonekana Moshi then umbo kadri onavyosogea, ni kweli kuna mwinuko unaoifocha meli ?
 

Kiranga anao uwezo mkubwa sana wa kukariri lakini kutafakari zero kabisa. Hoja ya uwepo wa Mungu ni ya zamani sana kiliko nadharia ninyi sana, tunajua kwamba Mungu ndiye artists wa artistic work inayoonekana kwenye ulimwengu , ndiye mathematicians aliyeweka constants zote Hata zile ambazo@kiranga amezikariri, ambazo ndizo nguzo kuu ya dunia kuwa na uhai, yeye ndiye arctecture na engineer wa Kila kilichopo dunia na ndiye mtengenezaji wa mifumo yote itendayo kazi mwilini mwa wanadamu na muweka parameters zote zinazoongoza uhai wetu. Anamkataa kuwepo kwake na ukimuuliza kumbe nini chanzo cha uhai, anaanza kushusha kariri zake pasipo kuelezea ujuzi wake umekomea wapi kujua chanzo cha uhai. Angekuwa na uwezo japo kidogo wa kutafakari angefanya makuu na ya ajabu hapa dunia Einstein angeachwa mbali sana naye .
Masikini uwezo wake unakomea kukariri tu...Bing Bang... Na ndoto za Darwin kuhusu evolution...
 

Mkuu hyo kitanga, anamtatzo ya akili, nafikr c binadamu, maana amekalili theory nyingi ambazo hazipo,kama kweli yy n binadamu hebu athibitishe ubinadam wake,maana tunaweza kuwa tunasumbuka na kilanga(robbot)...

Asante kwa kusaidia maana dunia ni halisi na ipo.
 

Tushaondoka kwenye "bombastiki" zangu, tunaongelea tafsiri za kazi za Bertrand Russell.

Ushawahi kusoma kazi zake katika Kiswahili?

Kuna gazeti gani la kada ya kimataifa la kiingereza unasoma?
 
Sio lazima uende kwenye outer space kuweza kuthibitisha. Kuna mifano rahisi tu ukienda kwenye physics kuna mfano wa meli mbili zilizo parallel, pia kuna maji kupwa na maji kujaa na mifano mingine inayothibitisha kuwa dunia ni duara!
 
Tushaondoka kwenye "bombastiki" zangu, tunaongelea tafsiri za kazi za Bertrand Russell.

Ushawahi kusoma kazi zake katika Kiswahili?

Kuna gazeti gani la kada ya kimataifa la kiingereza unasoma?

Too much garbage in a wrong thread
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…