Dunia sio duara!

Dunia sio duara!

ukiangalia
* sunrise and sunset-ingekuwa na shape flat dunia nzima tungeexperience mchana na usiku kwa pamoja
kuna mdau kazungumzia safari..ukitoka point moja ukatravell non-stop in the same direction utajikuta umerudi palepale..hii ni
*circumnavigation of the earth
au nenda posta kaangalie meli ikiwa inakuja tokea mbali utaanza ona moshi..then bomba la moshi..mara hiyo meli nzimaa inatokea
*ship's visibility
ombea ubahatike kuona kupatwa kwa mwezi utaona kivuli/taswira ya dunia kilivyo duara tenge
*lunar/moon eclipse
au piga picha katika aerial/bird eye view utaona uduara wa taswira kimuonekano
*aerial photograph
kaa juu ya ghorofa then itazame taswira ya dunia hadi mwisho wa upeo wa macho yako..
.....*vertical horizon
......................

Sijasema dunia ni flat either..
 
hivi kuna yeyote kati yetu alie wahi kwenda nje ya dunia na kuipiga picha tukaiona ni ya duara, si tunaletewa tu picha kwamba ni duara.., mi nimeamua kugoma mpaka niende nikahahakishe mwenyewe.., dunia sio duara kabisa..!

Siku moja washa CCTV 1 au CCTV4, halafu kaza masikio ukielewa wanachosema basi utakuwa umetegua kitendawili husika.

Kushindwa kujua Dunia ni duara au sio sio kosa la Dunia, au waliosema. The ball is in your court.

Ok ngoja nisizunguke sana, sijazoea, "you are just not enough to understand why it was concluded the earth is spherical in shape, and don't take this hard on yourself".Trying o explain this theory, is like forcing you to understand those Chinese Newscaster, it just doesn't happen.
 
eti eeh..

Problem is..,u don exist in the 1st place..., lol..!
 
hivi kuna yeyote kati yetu alie wahi kwenda nje ya dunia na kuipiga picha tukaiona ni ya duara, si tunaletewa tu picha kwamba ni duara.., mi nimeamua kugoma mpaka niende nikahahakishe mwenyewe.., dunia sio duara kabisa..!

Gomea na ile picha ya YESU.
 
Unataka kufanya research ya ubishi hutapata mfadhili na hata wa kukusiliza.
Kwani wewe umesomea nini ? Usiogee upuuzi mbele ya watu wenye busara.
 
Unataka kufanya research ya ubishi hutapata mfadhili na hata wa kukusiliza.
Kwani wewe umesomea nini ? Usiogee upuuzi mbele ya watu wenye busara.

Haupo..
 
Mkuu hata mimi (sera ya chama chetu) siamini dunia ni mduara. Kuamini kuwa dunia ni mduara ni sawa na kuamini muundo wa serikali tatu kwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
 
Mkuu hata mimi (sera ya chama chetu) siamini dunia ni mduara. Kuamini kuwa dunia ni mduara ni sawa na kuamini muundo wa serikali tatu kwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Duu.., haya na waachia wenyewe..
 
Jaribu tu kutembea/ kusafiri kutoka Dar (eastwards) nenda Zenji (eastwards) hadi Australia na baada ya hapo endelea mbele (eastwards)uone kama hutaibukia America (as a continent), endelea kusonga (Eastwards) utatokea Kongo Kinshasa na endelea kusonga tu (Eastwards) utatokea kwa Kagame na ukizidi kwenda utaona kama hutachomokea bongo ulikoanzia. Na baada ya hapo rudi hapa jamvini utuambie kama dunia ni bapa au duara?????

Kwani hata ingekua mstatili ingeshindikana nini?
 
jaribu kulamba ncha ya pua yako. Ukiweza dunia si duara,ukishindwa dunia duara. Uje kujibu matokeo hapa!
 
Major and simple test ya kwamba dunia ni duara ni meli inavyokuja toka mbali au kuondoka kwenda mbali(a sailing ship phenomenon). Kama inakuja kwanza utaona milingoti,kisha utaona vyumba vya juu vya crew,kisha ndio utaona mizigo na meli nzima. Kama inaondoka utaona vitu hivyo vinapotea vice versa!. Dunia ingekua bapa au tofali au flat meli isingeonekana kwa stage. Ingeonekana nzimanzima mara moja toka chini mpaka juu!
 
Usimuige Kiranga

Unatakiwa uwe na IQ ya kutetea unachosema, sio kusema ivo tu basi.

I don't own no loops, lakini hii habari ya "kumuiga Kiranga" naiona humu.

They say flattery is the best compliment.

I take that as a compliment, only if done well.

Else, copy Kiranga at the risk of being blasted to green smithereens when I crash screens for all these feens.
 
Last edited by a moderator:
hivi kuna yeyote kati yetu alie wahi kwenda nje ya dunia na kuipiga picha tukaiona ni ya duara, si tunaletewa tu picha kwamba ni duara.., mi nimeamua kugoma mpaka niende nikahahakishe mwenyewe.., dunia sio duara kabisa..!

First thing first, the earth is not round, it is an oblate spheroid.

Ushawahi kuipiga picha internet na kuhakikisha ipo?

To verify the curvature of the earth, contrary to your premise, one need not leave the earth if one is disposed to use one's imagination, the imagery of the earth is imposed on the moon when juxtaposed with the sun.

This was known since before Aristotle.

Also, large ships with tall masts, when approaching from afar, will have the top of their masts displayed before the main ship, as they would do on a spherical body.

This is standard four regiment, that every 10 year old should know by heart.

What's next? Are you going to deny the internet exists while using it
 
Mi sijawahi kuiona internet..
 
Afadhali kwanza umeamini kama kitu dunia kipo, ungesema hakuna dunia sijui tungeanzaje. Dunia ni umbo la yai linalojizungusha lenyewe mizunguko miwili tofauti kwa wakati mmoja

Aseme dunia ni umbo gani kwanza ndo aje tumsaidie.
 
Back
Top Bottom