Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,349
- 8,081
Kwa hiyo ukienda mwisho wa dunia unadondoka? Au kuna ukuta?
!
!
ukidondoka ni uzembe wako kwani kuna maandishi hewani yanasomeka "the end".......
Kwa hiyo ukienda mwisho wa dunia unadondoka? Au kuna ukuta?
Sio siri umevurugwa mkuu!
hivi kuna yeyote kati yetu alie wahi kwenda nje ya dunia na kuipiga picha tukaiona ni ya duara, si tunaletewa tu picha kwamba ni duara.., mi nimeamua kugoma mpaka niende nikahahakishe mwenyewe.., dunia sio duara kabisa..!

Jaribu tu kutembea/ kusafiri kutoka Dar (eastwards) nenda Zenji (eastwards) hadi Australia na baada ya hapo endelea mbele (eastwards)uone kama hutaibukia America (as a continent), endelea kusonga (Eastwards) utatokea Kongo Kinshasa na endelea kusonga tu (Eastwards) utatokea kwa Kagame na ukizidi kwenda utaona kama hutachomokea bongo ulikoanzia. Na baada ya hapo rudi hapa jamvini utuambie kama dunia ni bapa au duara?????

Mipango yako ya ku re-sit mtihani inaendeleaje?
hivi kuna yeyote kati yetu alie wahi kwenda nje ya dunia na kuipiga picha tukaiona ni ya duara, si tunaletewa tu picha kwamba ni duara.., mi nimeamua kugoma mpaka niende nikahahakishe mwenyewe.., dunia sio duara kabisa..!
hivi kuna yeyote kati yetu alie wahi kwenda nje ya dunia na kuipiga picha tukaiona ni ya duara, si tunaletewa tu picha kwamba ni duara.., mi nimeamua kugoma mpaka niende nikahahakishe mwenyewe.., dunia sio duara kabisa..!
Hahahaha hhahahh na utakufa hujawahi fika
Maana kule huendi kwa maneno pekee
Sayansi huwa kuna evidence kwahiyo hawawezi kufanya kitu bila ushahidi wenyewe
Sio siri umevurugwa mkuu!
Okay,kindly let us know of ur findings when ur back
hakuna alokufundisha kuwa dunia ni mduara umeamua kutumia ujinga wako kusema hivyo.kwa ufupi dunia ina umbo la tufe nikufute tu ujinga
Unaitaji Msamamizi wa kuwa karibu yak0 Mkuu kwan unakoelekea unataka kuchizika au umevurugwa na mwalimu wako wa jografia std iv
Jaribu tu kutembea/ kusafiri kutoka Dar (eastwards) nenda Zenji (eastwards) hadi Australia na baada ya hapo endelea mbele (eastwards)uone kama hutaibukia America (as a continent), endelea kusonga (Eastwards) utatokea Kongo Kinshasa na endelea kusonga tu (Eastwards) utatokea kwa Kagame na ukizidi kwenda utaona kama hutachomokea bongo ulikoanzia. Na baada ya hapo rudi hapa jamvini utuambie kama dunia ni bapa au duara?????
Afadhali kwanza umeamini kama kitu dunia kipo, ungesema hakuna dunia sijui tungeanzaje. Dunia ni umbo la yai linalojizungusha lenyewe mizunguko miwili tofauti kwa wakati mmoja
Hebu angalia jua linapochomoza, then lifuatilie hadi linavyozama, utabaini mwenendo wa jua wa kiduara-duara(tufe)
hivi kuna yeyote kati yetu alie wahi kwenda nje ya dunia na kuipiga picha tukaiona ni ya duara, si tunaletewa tu picha kwamba ni duara.., mi nimeamua kugoma mpaka niende nikahahakishe mwenyewe.., dunia sio duara kabisa..!
Labda tuanze kwa kujuzana nini maana ya duara au circle? kikawaida katika duara, umbali kutoka point moja mpaka centre ni sawa katika kila point(every point being equidistant from the center point)!!
Je umbali kutoka ikweta mpaka katikati ya dunia (center of the earth) ni sawa na umbali kutoka kwenye poles (sourth na north pole)??? Jibu ni kwamba havipo sawa kwani umbali kutoka ikweta mpaka katikati ya dunia ni kilomita 21 tofauti na kutoka kwenye poles!!! Mpaka hapa tunaeza ona kwamba dunia sio duara!!!
Lakini tukiangalia publish na tafiti mbali mbali pia tunaeza ona umbo halisi la dunia sio duara wala tufe!! Tukitumia tu uelewa wa kawaida, embu tuangalie uwepo wa mabonde, milima ,mito, maziwa kwenye uso wa dunia, je bado tutashawishika kwamba dunia ni tufe au duara??
Ki uhalisia ni kwamba umbo la dunia sio halisi (irregular shape) au kwa lugha nyingine tunaeza sema ni ni bumpy shape!!
Hii dhana ya kusema dunia ni duara imetoka wapi hasa??
Wanasayansi wamechukulia dunia ni sphere kama model tu (na ifaamike kuna model kama mbili zaidi) ambazo wao wanazitumia katika kufanya mahesabu na tafiti mbali mbali mfano kuchora ramani, kutafuta umbali kutoka point moja mpaka nyingine, na mahesabu mbali mbali yanayohusu kani mvutano(force of gravity) ila ki uhalisia tunaposema dunia ni sphere au circle hizo ni "model which present the shape of the earth ambazo zimewekwa kurahisisha tafiti na hesabu (calculations)" na kiuhalisia umbo la dunia sio sphere wala duara bali ni "irregular au bumpy shape"...
View attachment 152388View attachment 152389
photo source: wikipedia.
Kama tunavyoweza kuona kwenye picha hiyo ndio shape halisi ya dunia… tuanaweza kuona milima ,mabonde na vitu vingine vilivyopo kwenye uso wa dunia!!!
Strange but True: Earth Is Not Round - Scientific American
What is the geoid?
The Real Shape of Earth - CNRS Web site - CNRS