Joao de Matos
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 334
- 267
Mkuu hayo maneno yake , Mimi nimemwambia yeye atakuwa Ni mwakilishi wa Lucifer, kwa yeye anamahanisha kuwa watu wazaliane hovyo tuu bila kufuata taratibu.Mimba bila utaratibu ni laana.
Usimsingizie MUNGU mambo ya uongo.
MUNGU aliposema watu wakazaliane hakusema wazaliane hovyo hovyo bila ya kufuata taratibu za ndoa.
Biblia inasema wazi kabisa kuwa mtoto anayezaliwa nje ya ndoa ni "mtoto wa haramu".
Ifike mahala tuwe na heshima kwenye Maandiko ya MUNGU na kamwe tusilete "siasa" kwenye Maandiko ya MUNGU.