Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,551
- 2,184
- Thread starter
- #201
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
Kazi iendelee kwa kasi" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
Wewe utakuwa Ni mwakilishi was shetani dunia , sure 💯, uwezi ukaruhusu uzinzi, hii kauliyoka hip juu sio mzuri hata kidogo Mimi binafsi sijaikubaliana, uwezi SEMA maneno hayo mbele ya wanafunzi wa kike,Mimba ni dalili ya ukamilifu na utimilifu wa kizazi cha mwanamke.
Mkuu sure 💯 Serikali hawajafanya juhudi zozote zile, za kuzuia ujauzito mashuleni Hakuna hata juhudi zozote zile , uwa Ni mashilika binafsi ndo wanafanya juhudi kuwaelimisha wanafunzi.Unajua hii concept wengi sana inawachanganya.
Tumeruhusu wajawazito kurudi shule sawa inawezekana ni uamuzi mzuri, lakini je ni sawa kwa binti mdogo mwanafunzi kupewa ujauzito na kuzalishwa au kufanya ngono? Hapa ndio kwenye concept na failure za wasomi wetu.
Juhudi gani kali tumefanya sasa kuwalinda hawa mabinti na ujauzito na kufanya haya matukio kuwa negligible, iko wapi mikakati kutoka ustawi wa jamii, elimu, mambo ya ndani nk kuhakikisha hawa mabinti wanakuwa salama katika kila nyanja kuanzia kitabia na kimaadili?
So tell me , hao wa 6500 wanaume umewafanya Nini, kwa taarifa tuu nazojua Mimi kesi za watoto kupata mimba shuleni zinazofika mahakamani Ni 5% tuu , hizo 95% zimeishia wapi?Juhudi zimefanyika na nikubwa sana, Ukitaka kujua wewe mpe Mwanafunzi mimba ndio utaziona juhudi za Serikali
Ndo shida yenu nyie Serikali , baada ya kukaa kuzuia ngono mashuleni mnadili na matokeo.Jaribu kumpa mimba mwanafunzi ndio utaelewa Juhudi za Serikali zilipo
Mkuu Hakuna la maana wanalofanya, wakimkuta mwanaume kampa ujauzito wanafunzi wanamfunga miaka 30 , bila kujali miguu alitanua mwenyewe au alitanuliwa.Nitajie ata mumoja alichofanyiwaaa.
Wapo wengi tuu wanapata na Hakuna chochote, wanaofungwa Ni wale tuu wazazi wa binti wamekikbilia mahakamani.Mkuu acha usumbufu,Mpe mimba tu mtoto wa jirani hapo then uje u comment hapa
Ukishazaa umepoteza sifa za kuitwa binti Sasa mleta mda sijamuelewa.Kwa jinsi ulivyoandika inaonekana hawa mabinti wameruhusiwa ili aliyeruhusu apate "mchongo" wa kupiga pesa za WB na sio kwamba anawapenda hao mabinti!
Kuna maneo flani hivi mleta madam kayaandika ,Kizazi cha uzinifu kinahalalishwa halafu tunaomba MUNGU atupe Mvua, Umeme, Afya n.kDunia imesimama na Rais Samia Suluhu Hassan hoja ya Teenage Mothers labda kama ni miungu ya zamani hapo sawa
Mimba bila utaratibu ni laana.Sote tunafahamu,Mimba sio ugonjwa, Mimba sio kilema,Mimba sio laana ,Mimba ni dalili ya ukamilifu na utimilifu wa kizazi cha mwanamke.
Lakini pia, Mimba ni baraka ya Uzao toka kwa Mungu iweje iwe laana?
DaaahMimba bila utaratibu ni laana.
Usimsingizie MUNGU mambo ya uongo.
MUNGU aliposema watu wakazaliane hakusema wazaliane hovyo hovyo bila ya kufuata taratibu za ndoa.
Biblia inasema wazi kabisa kuwa mtoto anayezaliwa nje ya ndoa ni "mtoto wa haramu".
Ifike mahala tuwe na heshima kwenye Maandiko ya MUNGU na kamwe tusilete "siasa" kwenye Maandiko ya MUNGU.
Mkuu ngoja nikuulize swali hili.Yeye ndio tatizo, Tuwaogope tu hawa watoto