Doh kwamba maandiko yanatimia,ila mm nawaza Tang kale maisha ya ghasia na machafuko yalikuwepo lkn n technology ndo unafanya tuone yanakithir au?Dalili zinatimia mkuu...
N kwel km usemavyo tang zaman ghasia ,uovu na Kila aina ya kelele zipo lakn sio kwamba hik kizaz n too much au n technology ndo inachangia taarifa kusambaa Kwa haraka? Nawza tuDunia siku zote tangu karne ya kwanza ni nambi haya haya..Tutakufa na kuiacha watu wakiendeleza mambo hayo hayo ya hovyo
Duh n mtazamo kwel au n uhalisia ,kwamba dunia Ina aman ,Ina mtiririko wenye utulivu na furaha mh sidhan ase emb nieleweshe,inawezekanaje damu kumwagika ,inawezekanaje watu kutumikisha wengine isvyo sahihi Kwa maslah ya kiuchumi Yan how comes useme n mtazamoHayo ni maoni yako na mtazamo. Ulimwengu upo pale pale, mambo yale yale hakuna jipya. Tulia soma mchezo, igiza katika nafasi yako na ufurahie maisha na pumzi yako kabla haijawa too late. Maisha ni maigizo na mchezo kama michezo mingine.
Mazingaumbwe tenaa ,kwamba tunayaona sio real🤣Mazingaombwe
Ase pesa Inafanya watu katili,sb kills for money and Fame and power n hatariiiDont sell your soul for money
Shukran nafurahia mijadala huru ya kujengaJoined Yesterday....karibu the home of GT
Haya mambo yanayotokea ni kama mazingaombwe ila ndio ukweli wa nyakati mkuuMazingaumbwe tenaa ,kwamba tunayaona sio real🤣
Nafikir post yang imeeleweka mambo ya watu kuzaliana hyo n nature hata Kwa viumbe vingine,,ninachozungumzia hapa n mifumo ambayo tunaish nayo,,,post inaelewekaWatu wameanza kutombana tangu enzi za zama za mawe za kati.
Duh n mtazamo kwel au n uhalisia ,kwamba dunia Ina aman ,Ina mtiririko wenye utulivu na furaha mh sidhan ase emb nieleweshe,inawezekanaje damu kumwagika ,inawezekanaje watu kutumikisha wengine isvyo sahihi Kwa maslah ya kiuchumi Yan how comes useme n mtazamo