Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,581
- 7,232
Hivi kiranga nawe huelewi tu u au nyodo?Hahahah jamani mbona umeitikia kiupole hivyo
Hapo ni kubadilisha gia angani tu..
Tetere huyo...njoo naye...
Hivi kiranga nawe huelewi tu u au nyodo?Hahahah jamani mbona umeitikia kiupole hivyo
Shunie acha ukorofi ona mpaka umetoboa tobo![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaan shigongo kamtungia msukuma mwenzie
Halafu ugeukage basi tuone hiyo sura yako.tunaelewaa kabisa wewe ni mrembo.you just turn around plzNdio naingia hapa jamani
Hahaha.Nie watu hamuogopi?
Ila kama ni wewe mzuri sana we Dada.shida yangu mimi sio wewe malizia story.baada ya barua nini kiliendelea? Walinyang'anywa nyumba? Baki na uzuri wako tuSio mm huyo mkuu huyo ni mdogo wangu
Mambo ni fireeeee[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]Mambo ni hiviiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila kama ni wewe mzuri sana we Dada.shida yangu mimi sio wewe malizia story.baada ya barua nini kiliendelea? Walinyang'anywa nyumba? Baki na uzuri wako tu
Usicheke eti we mdada.ila naomba hii story ikiisha ugeuke nikuone.hilo tu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah may beMe nahisi ni mchezo wa mzee jiwe kutaka kumfirisi