Stori ndio inazid kuwa tamuYote kwa yote inawezekana
Yaani umwambie mdogo wako geuka nikupige picha? Uiifanyie nini?basi tuseme sio yako.ila utakua mzuri kama mdogo wak.Mkuu huyo sio mm ni mdogo wangu niamini tu
Shunie story kwa leo ndio basi au? Nataka kulala mimi.au nilale hadi kesho?Asante mkuu jamani unanijaza yaan najiona malkia
Itabid tumfundishe aki.Me ndio nimeingia mda huu bado sijamtia machoni ila jana nilikuwa nae sana mmu sakayo na mambo za story tofauti
HahahahaEti jamani kulia vile kama kafiwa na mtoto au mke
Ewaaaaaah ndio maana unazidi kua African biutiUsilale naweka ya mwisho
HahahahHawezi kabisa mvivu kusoma nimejitahidi nimeshindwa huwa anakuja huku ananichokoza anaondoka
Mdogo wangu kipenziHahahah
Anakosa burudani basi
KhaaaHawezi kabisa mvivu kusoma nimejitahidi nimeshindwa huwa anakuja huku ananichokoza anaondoka
Ndo maana nakupendaItabid tumfundishe aki.
Ngoja nimtafute tafute jf bila kumuona hainogi
Nipo Mimi jamaniiMe ndio nimeingia mda huu bado sijamtia machoni ila jana nilikuwa nae sana mmu sakayo na mambo za story tofauti