Wabongo mmezidi upumbavu... Mnachangia birthday na kuacha elimu na afyakuna hiyo moja nilihudhuria ya huyo dume maana tulichanga na michango kabisa kupitia kadi za mialiko
tatizo la MMU siku hizi limejaa mipasho...
Ishu ya shida imetoka wapi, wewe humjui, si ajabu ana pesa kukuzidi. Anasema philosophy ya mwanamume kufanya birthday. Birthday ni kwa watoto, labda kwa kiasi wanawake! Ni kama dume kijichubua na sabuni! Kama dume kwenda kwa Mzee wa upako uombewe upate gari, etc. Anaongea katika muktadha huo!
Sioni shida, mana ni kumshukuru mungu kwa kumpa maisha mema na afya njema
Hakafu dume zima lilipiga picha limezungukwa na vichenchede vya mujini umri wa wanawe. Kweli mzee alizaa hakika. Miaka 55 plus huna familia inayoeleweka. Eti anajiweka kundi la selebureti.
Mambo ya kike hayo
Hivi halali dume zima kufanya birthday.
Huyu bla shaka ni mswazii so anadhani kila mtu ana shida km zake....