Dume zima unafanya birthday.

Dume zima unafanya birthday.

kuna hiyo moja nilihudhuria ya huyo dume maana tulichanga na michango kabisa kupitia kadi za mialiko
Wabongo mmezidi upumbavu... Mnachangia birthday na kuacha elimu na afya

You must be very silly kuchangia birthday

Dahhh
 
  • Thanks
Reactions: OHA
tatizo la MMU siku hizi limejaa mipasho...

Halafu mbaya sana likiongozwa na m/ume kama Molembe

Birthday haina mbaya kama mie namchukua mpenz wangu naenda nae somewhere iwe bongoyo au saadani unaEnjoy tu,,tofauti na kina dada ambao atataka ukumbini and so on.


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Last edited by a moderator:
Ishu ya shida imetoka wapi, wewe humjui, si ajabu ana pesa kukuzidi. Anasema philosophy ya mwanamume kufanya birthday. Birthday ni kwa watoto, labda kwa kiasi wanawake! Ni kama dume kijichubua na sabuni! Kama dume kwenda kwa Mzee wa upako uombewe upate gari, etc. Anaongea katika muktadha huo!

Ahahahaha
 
birthday kitu gani bwana haya ni mambo ya watoto na wanawake baadhi kidume mzima unachezea pesa kwenye birthday yako kumbuka we umeshazaliwa siku nyingi zilizopita na atakae kupinga juu ya hili suala basi huyo sio kidume cha shoka....fanyia birthday mwanao tena under 18 pamoja na mkeo ila sio wewe kidume mzima ...kamwe siwezi kutoa pesa yangu eti kisa ni birthday yangu bora hio pesa ni tume kwa mama alienizaa...
 
  • Thanks
Reactions: OHA
Sioni shida, mana ni kumshukuru mungu kwa kumpa maisha mema na afya njema

Ukweli ni kwamba wapo watu wachache sana wanaoadhimisha siku zao za kuzaliwa kwa lengo la kumshukuru Mungu. Wengi wanaadhimisha kwa ku-party. Mimi siamini kama ku-party inaweza kuwa njia sahihi ya kumshukuru Mungu.
 
Watu wana pesa hawajui tena hata waifanyie nini.
Lakini kama wewe ndo hohehahe utachekwa.
 
Hakafu dume zima lilipiga picha limezungukwa na vichenchede vya mujini umri wa wanawe. Kweli mzee alizaa hakika. Miaka 55 plus huna familia inayoeleweka. Eti anajiweka kundi la selebureti.
 
mbona umemind sana nidhamu muhimu sana,kwa hali halisi na mwanamume aliekamilika hawezi kufanya sherehe ya birthday yaani aimbishwe happy birthday songs?!labda iwe ya juu kwa juu by kadi tu umetumia,lakini mziki,mc na makochokocho mengine,kuna ugumu hapo.!!!
 
Mwanaume anaefanya birthday akiwa mtu mzima ujue alikosaga hivyo viparty akiwa mdogo..... So analipia.

Hizo sherehe za kina dada me sifanyi, siku ya kuzaliwa nitaenda zangu sehemu on my own to reflect on the way my life has been. Upuuzi wa kupuliza mishumaa waacheni mabinti na watoto.
 
Hivi halali dume zima kufanya birthday.

Ajabu!hivi huna kazi unakaa kufikiria birthday dume zima hata kina mama walishaanza kuzipotezea,nowdays tunafanya kwa ajili ya watoto sisi wazazi ni just suprize za vijizawadi bac enough.
 
cc @Le Mutuz.... Huyu jamaa alifanya eve birthday, birthday na boxing day huku pembeni yake akiwepo mbebez Sintah you knah....Jamaa ametimiza 56 yeaz oldi majuzi....
 
Last edited by a moderator:
Huyu bla shaka ni mswazii so anadhani kila mtu ana shida km zake....

Amini usiamin maisha ya uswazi matamu kuliko yale ya uhindini, uzunguni, kwani ndiko jamii iliko. Na watu wanaoiga maisha ya umagharibi wanatokea huko historically: kuponda uswazi ni kuikana jamii yako! Acheni unafiki!
 
Aiseeh haibambi dume zima kufanya bday party labda ur close ones wakusurprise kwa hilo siyo wewe unafaa kupanga kabisa.
 
Wengine tunakumbuka siku za mshahara tu, siku za kuzaliwa unaikumbuka mpka bi mkubwa akupigie simu kukumbusha.
 
Back
Top Bottom