Dume zima unafanya birthday.

Dume zima unafanya birthday.

Birthday ya kiume ni kuwaalika frnds na kupga gambe mdogo mdogo tofaut na ya watoto na akina dada kupka vipilau na kwenda mpaka ukumbin.

alaf ya kiume hata kama ukipitiwa ukaisahau sio case wala nin!
 
  • Thanks
Reactions: OHA
Hili goma lazma litakuwa linamhusu mzee mzima Le Mutuz b'cause ye ndo alifanya birthday yake siku mbili tatu zilizopita
 
kwani birthday ni nin??na uyo dume mpaka asifanye birthday/birthday party kwan yeye hajazaliwa ..kwani birthday we unafkri ni kwa watoto tu na girls??alafu dume asifanye kwakuwa yeye hajazaliwa katapikwa ee
 
Kuna watu unakuta kabisa tena ni mwanaume anasema sema yoo today is my birthday daahh...ebana niliscratch screen ya simu yangu on my birthday's eve...en im like ni99a pleeeeeeeassseee......!! Take a seat and relax......
 
Birthday ya kiume ni kuwaalika frnds na kupga gambe mdogo mdogo tofaut na ya watoto na akina dada kupka vipilau na kwenda mpaka ukumbin.

alaf ya kiume hata kama ukipitiwa ukaisahau sio case wala nin!

Angalau.!
 
Dah nimecheka sana aisee, kwa kweli hata huku majuu nimeona hizo kitu za wazee ama watoto! Sasa kweli uamze kulisha watu keki??
 
Back
Top Bottom