Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,905
- 28,061
Huyu bla shaka ni mswazii so anadhani kila mtu ana shida km zake....
Mbona umetokwa na povu hivi....Kwani umeandaa Birthday hivi karibuni...?
Huyu bla shaka ni mswazii so anadhani kila mtu ana shida km zake....
nitakupigia upatu uwe mode wa hawa new comers,,,,umenisaidia thanks mkuuIshu ya shida imetoka wapi, wewe humjui, si ajabu ana pesa kukuzidi. Anasema philosophy ya mwanamume kufanya birthday. Birthday ni kwa watoto, labda kwa kiasi wanawake! Ni kama dume kijichubua na sabuni! Kama dume kwenda kwa Mzee wa upako uombewe upate gari, etc. Anaongea katika muktadha huo!
hahahah upako wa gari hahahaIshu ya shida imetoka wapi, wewe humjui, si ajabu ana pesa kukuzidi. Anasema philosophy ya mwanamume kufanya birthday. Birthday ni kwa watoto, labda kwa kiasi wanawake! Ni kama dume kijichubua na sabuni! Kama dume kwenda kwa Mzee wa upako uombewe upate gari, etc. Anaongea katika muktadha huo!
Kwani zinagharimu kiasi gani ambacho sisi wa uswazi hatuwezi.
kwani nini tatizo?
eti ana maana wewe ni masikini huna hela,je kweli uongo?Mswazii ndo nani?
jamaa ishu imemgusa.Mbona umetokwa na povu hivi....Kwani umeandaa Birthday hivi karibuni...?
eti ana maana wewe ni masikini huna hela,je kweli uongo?
Kwakweli inatia kinyaa dume kufanya Birthday....Birthday imekaa kidada dada sana...Haya mambo ni wanawake bana..
kwani nini tatizo?
Mjadala kama ule..naona ni vizuri kukumbuka siku ya kuzaliwa either kwa kudonate kwa watoto yatima na kama unampenzi anayependa bata unamtoa out basi..lakini ile kuandaa, na mikekii, kuweka mpaka mc wanaume wengine wanatengeneza mpaka kadi za mwaliko sidhani kama ni poa kabisa..
Hivi halali dume zima kufanya birthday.