Dume zima unafanya birthday.

Dume zima unafanya birthday.

kuna hiyo moja nilihudhuria ya huyo dume maana tulichanga na michango kabisa kupitia kadi za mialiko
 
Sura ngumu kama jiwe wewe utakuwa unakaa tandale kwa tumbo au mburahati..Elimu yako ndogo family maskini powa ugumu wa maisha
aisee.. if you were a woman, you could be dangerous compared to kanga moko group...

goodmorning..
 
  • Thanks
Reactions: OHA
Jamaa sijui ni jitu la wapi... Ndii maana mnazeeka sura kwa kushindwa kufurahia maisha ht kwa vtu vdg km hivi"

Maisha mafupi haya ndugu.. Jiwekee utamaduni wa kufurahi kwa chochote ulichojaaliwa.... Huyo yesu anakumbukwa kwa birthday mpk deathday sembuse wa sasa? Maulid day hali kadhalika...

Period!
 
Tatizo lipo pale tu atasahau kuweka vinywaji vya above 18.hapo hata mi ningeona shida
 
Huo ndo kujifanya mwanaume mgumu sjui jiwe sjui kuwa tough, aaah sometimes feelings hazijali kama wewe ni mwanamke au mwanaume. Kwani mwanaume akifurahi sana huwa haoneshi mashangailio kama wanayofanya wanawake au watoto? let him celebrate bana no matter the age he is enjoying, we kama huna hela ya kufanyia besdei polee
 
Sherekea as long vinakupa furaha in ur life
 
Kwakweli inatia kinyaa dume kufanya Birthday....Birthday imekaa kidada dada sana...Haya mambo ni wanawake bana..

Otorong'ongo;
Naomba tu kukuuliza, Birthday ni nini? Hufanywa Je? Mtu huvuliwa nguo au mtu hupelekwa jando au mtu huchapwa bakora au hiyo Birthday ni nini??
Kama ni kusherehekea siku niliyozaliwa huo ubaya au hiyo aibu iko wapi? Kwa nini useme ati ni kwa watoto na wadada wala si kwetu vidume vya mbegu?
Kama weye huifanyi, ni kwa vile huna kitu, lakini ungekuwa nacho na huna pa kuzipeleka, weye ungefunga standi kuu ya ubungo
 
Ishu ya shida imetoka wapi, wewe humjui, si ajabu ana pesa kukuzidi. Anasema philosophy ya mwanamume kufanya birthday. Birthday ni kwa watoto, labda kwa kiasi wanawake! Ni kama dume kijichubua na sabuni! Kama dume kwenda kwa Mzee wa upako uombewe upate gari, etc. Anaongea katika muktadha huo!

you made my day aisee
 
Sio Vibaya kabisa lengo kuu la birthday party ni kusherekea ...na unaweza hata kwenda kituo cha watoto yatima ukanywa nao soda. ..Lengo kuu ni kufurahia na kila mtu ana namna yake ya kufurahia na jamii yake kwa hiyo usihukumu namna mtu anavyo furahia siku yake ya kuzaliwa

Kweli mkuu. Umesema kweli binafsi sioni shida
 
Hivi halali dume zima kufanya birthday.
Molembe, kwani wanaume si wanazaliwa tu.kama wanawake?sasa kuna ubaya gani wao kusherekea birthday zao,au wewe unahisi wanachongwa? Stop that childish mind
 
Last edited by a moderator:
sasa ,kumbe Nelson mandelA@75 ,Reginald Mengi @70 na Vasco Da-Gama watoto!maana walifanya hiyo birthadys ,tena Da Gama alitumia kodi yako
 
Sioni tatizo lolote as long as Ni yeye ndio kaamua kukumbuka siku yake ya kuzaliwa
 
Back
Top Bottom