Duuuh hii sasa kali, unaweza ua mtu kabisa.kama umechoka sana, nenda kwa dr manyaunyau, ampotezee kabbisa asikusumbue, au amhamishe jijini
nilikuwa na mpenzi tuliedum nae takriban mwaka mmoja na nusu tukashindana tabia. kikubwa ni kwamba nimekuwa nikimfuma live kitandani na wanawake tofaut,kila nikimfuma anaomba msamaha tena huku machozi yanamtoka, tunaenda kupima ukimwi then namsamehe;nimemfuma mara nne na wanawake tofauti tofauti nikamwambia its enough. tukaachana. tatizo linakuja pale anaponisumbua mara kwa mar kwenye sim kwamba hawezi kuishi bila mimi. ananitumia text za mapenzi ukizingatia mim ninampenz mwingine.ameshanigombanisha na wapenzi wawili kila mara akijua mwanaume niliye nae anamfanyia fujo na matusi kem kem. nimemuweka black list, imeshindikana. nimebadilisha namba mara 3,anaitafuta namba yangu anaendeleza fujo zake,kibaya zaidi anatabia za uasherati kiasi cha kuzini na wanaume wenzake,jamani nimeshachoka na huu usumbufu naomben ushauri jaman.
Kaa kimya usipokee wala kujibu text zake,ikibidi unapoanzsha uhusiano mpya mwambie mpenz wako mapema kama kuna rijamaa ri x rinasumbua.hiro rijamaa ni rifirauni tu rina... Hadi na wanaume wenzake? Daah! Ka vipi kamchukulie R.B Kabisa maana rinaonekana ni rikorofi usirichekee!
Mshamba tu huyo, kwani umezaliwa nae anavyosema hawez ishi bila weww?
nilikuwa na mpenzi tuliedum nae takriban mwaka mmoja na nusu tukashindana tabia. kikubwa ni kwamba nimekuwa nikimfuma live kitandani na wanawake tofaut,kila nikimfuma anaomba msamaha tena huku machozi yanamtoka, tunaenda kupima ukimwi then namsamehe;nimemfuma mara nne na wanawake tofauti tofauti nikamwambia its enough. tukaachana. tatizo linakuja pale anaponisumbua mara kwa mar kwenye sim kwamba hawezi kuishi bila mimi. ananitumia text za mapenzi ukizingatia mim ninampenz mwingine.ameshanigombanisha na wapenzi wawili kila mara akijua mwanaume niliye nae anamfanyia fujo na matusi kem kem. nimemuweka black list, imeshindikana. nimebadilisha namba mara 3,anaitafuta namba yangu anaendeleza fujo zake,kibaya zaidi anatabia za uasherati kiasi cha kuzini na wanaume wenzake,jamani nimeshachoka na huu usumbufu naomben ushauri jaman.
Unamuendekeza sana...
I hate women who complain abt their men disturbing them wakati wao wanawaruhusu kuwasumbua! #sielewi
labda wewe mtamu sana that's why anaogopa kukuacha ni pm no zako basinilikuwa na mpenzi tuliedum nae takriban mwaka mmoja na nusu tukashindana tabia. kikubwa ni kwamba nimekuwa nikimfuma live kitandani na wanawake tofaut,kila nikimfuma anaomba msamaha tena huku machozi yanamtoka, tunaenda kupima ukimwi then namsamehe;nimemfuma mara nne na wanawake tofauti tofauti nikamwambia its enough. tukaachana. tatizo linakuja pale anaponisumbua mara kwa mar kwenye sim kwamba hawezi kuishi bila mimi. ananitumia text za mapenzi ukizingatia mim ninampenz mwingine.ameshanigombanisha na wapenzi wawili kila mara akijua mwanaume niliye nae anamfanyia fujo na matusi kem kem. nimemuweka black list, imeshindikana. nimebadilisha namba mara 3,anaitafuta namba yangu anaendeleza fujo zake,kibaya zaidi anatabia za uasherati kiasi cha kuzini na wanaume wenzake,jamani nimeshachoka na huu usumbufu naomben ushauri jaman.
Siyo kweli kuna midume mengine kwa kweli inasumbua hawataki kuona wamekataliwa.
Pokea ushauri wa kwenda kumripoti kunakohusika ili simu yake isikusumbue.
Vile vile mpe dume mwenzake wajibizane na kama amezidi nenda ofisini kwake ukampake vizuri.