Dume hili lanichefua jamani

Dume hili lanichefua jamani

Yani anazini mpk n wanaume, alafu unadiriki kumsamehe km mara 4 alafu unarudisha mahusiano dah! Swali sana huyo sio mwanaume bali ni pepo
 
Tatizo la wanawake mnapenda kulia lia ili muonewe huruma;
Kwani hata akili yako haiwezi kukusaidia hata kidogo tu.
 
nilikuwa na mpenzi tuliedum nae takriban mwaka mmoja na nusu tukashindana tabia. kikubwa ni kwamba nimekuwa nikimfuma live kitandani na wanawake tofaut,kila nikimfuma anaomba msamaha tena huku machozi yanamtoka, tunaenda kupima ukimwi then namsamehe;nimemfuma mara nne na wanawake tofauti tofauti nikamwambia its enough. tukaachana. tatizo linakuja pale anaponisumbua mara kwa mar kwenye sim kwamba hawezi kuishi bila mimi. ananitumia text za mapenzi ukizingatia mim ninampenz mwingine.ameshanigombanisha na wapenzi wawili kila mara akijua mwanaume niliye nae anamfanyia fujo na matusi kem kem. nimemuweka black list, imeshindikana. nimebadilisha namba mara 3,anaitafuta namba yangu anaendeleza fujo zake,kibaya zaidi anatabia za uasherati kiasi cha kuzini na wanaume wenzake,jamani nimeshachoka na huu usumbufu naomben ushauri jaman.

Kwanza nakupongeza kwa kuwa na uvumilivu huo wa kumfumania mwanaume (boyfriend) halafu bado mnaendelea naye. Kweli ulimpenda, uvumilivu huo nitakuwa nao kwa mume wangu tu ambaye niliapa mbele ya mungu + kadamnasi kuwa for better for worse.
Nakuja kwenye mada, mwanaume ambaye simtaki hawezi kunisumbua. Namba yako anaipata wapi?
Embu divert hiyo namba yake kwenye simu yangu tuone kama ataendelea kukusumbua, namba yangu hii hapa 0784 85....
teh teh teh teh. Kwa kuanzia ni hivi akipiga, pokea alafu weka simu mezani usisikilize analoongea, mpaka yeye mwenyewe akate simu. Msibishane, wala usifanye negotiation yoyote.
 
Amegundua Kuwa Wewe Ndo Mwanamke Pekee Unayeweza Kumfumania Mpenzi Wa Kiume Mara Nne Kitandani Na Wanawake Tofauti Na Ni Pekee Unayejua Ana Mahusiano Na Wanaume Wenzie Ukamvumilia! Maana Kwa Hali Ya Kawaida Mwanamke Wa Hivyo Ni Rare Kuwepo, Mwanaume Wa Hivyo Wanini Kuwa Nae Ktk Mahusiano? Na Hizo Sms Zake Unasoma Za Nn ?
 
yeah nilikuwa naenda kwake kwa kumsapraiz, one day nikaenda mchana nikamfuma, three times nikaenda usiku kama saa nne ivi mana hata mimi nilikuwa na keyz za kwake so nilikuwa free kwenda any time ndo ikawa ivooooooooooooooo
 
Huyo tupa kule asije kukupa degedege la ukubwani.huyo jamaa ni zaidi majanga.huna sabsbu ya kubadilisha namba ya sim wakati anayekusumbua umemkataa .je ukiacha kupokea sm yake atakunyonga??? wewe ni sasa kwanza jiamini na unachokifanya kuwa ni sahihi.
 
ushauri ni tulizo la moyo wenye jazba na humsaidia m2 kufanya maamuzi ya busara, na ndio maana mtu hushauriwa anapopatwa na matatizo, na sio kupewa kejeli na lugha zinazomsababishia msongo wa mawazo.
 
Hivi we una upeo gani? Kuna baadhi ya mambo hutakiwi kushauriwa katika maisha yako acha u.ji.n.g.a jibu 1 tu achana nae basi.ukiendelea nae atakuomba 0712 kwa sababu ni muasheratii hata kwa midume wenzie
 
Back
Top Bottom