Nilisoma gazeti moja la udaku likielezea kwamba kuna duka limefunguliwa maeneo ya Posta jijini Dar es salaam .Na kwamba duka hilo linajushughulisha na kuuza bidhaa za kisasa zinazotumika wakati wa kufanya mapenzi ikiwemo mipira ya kiume poda maalumu ambayo akina mama wanapaka na huwaongezea raha wakati wa kufanya mapenzi.
Sasa mimi nilipokuwa hapo dar nimejaribu kulitafuta hilo duka sikuweza kulipata sijui hilo gazeti la udaku lilikuwa halisemi kweli lengo langu ilikuwa nipate uhakika ili niwape taarifa kamili wana JF waweze kujua mambo yanayondelea katika jiji lao. Kama kuna mwana JF anayejua eneo lilpo duka hilo basi atueleze.