Duka La Vifaa Vya Mapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duka La Vifaa Vya Mapenzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ipole, Jul 14, 2008.

 1. I

  Ipole JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2008
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 296
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nilisoma gazeti moja la udaku likielezea kwamba kuna duka limefunguliwa maeneo ya Posta jijini Dar es salaam .Na kwamba duka hilo linajushughulisha na kuuza bidhaa za kisasa zinazotumika wakati wa kufanya mapenzi ikiwemo mipira ya kiume poda maalumu ambayo akina mama wanapaka na huwaongezea raha wakati wa kufanya mapenzi.

  Sasa mimi nilipokuwa hapo dar nimejaribu kulitafuta hilo duka sikuweza kulipata sijui hilo gazeti la udaku lilikuwa halisemi kweli lengo langu ilikuwa nipate uhakika ili niwape taarifa kamili wana JF waweze kujua mambo yanayondelea katika jiji lao. Kama kuna mwana JF anayejua eneo lilpo duka hilo basi atueleze.
   
 2. BadoNipo

  BadoNipo Senior Member

  #2
  Jul 14, 2008
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 175
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ipole sana tu unataka kununua na wewe pia, baada ya kuzunguka sana na kulikosa hilo duka ndo unasema kuwa ulikuwa unataka kuhakikisha. me naona ni bora uwaulize hao wenye hilo gazeti la udaku ndo watakuambia lipo sehemu gani.
   
 3. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2008
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  wanasheria wana JF naomba ushauri,hivi ukifungua duka la sex toys ni kosa la jinai hata kama huuzi pornographic material kama books na videos bali uuze vitu vingine kama condoms special,dildos etc ?
   
 4. I

  Ipole JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2008
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 296
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hapana siyo kwamba mimi nilitaka kununua lah hasha naona umenielewa vibaya lengo langu lilikuwa kwanza kupata uahakika lakini kuelewa kinachoendlea huko kwetu maana kama ningukuwa na hitaji hivyo vifaa hapa nilipo vipo vingi tu.
   
 5. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2008
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kwa sababu umesoma gazeti la udaku, move this thread kwenye utani na udaku.
   
 6. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2008
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Sexy Shop? Hii Hiii, mie ntafungua Sikonge na kuwa wa kwanza kwa haya maswala. Najiuliza tu kama wana PEEP SHOW, maana ntakuwa kama Changu Doa na kuchuna visenti za vijana wee!!! Watakuja kuwa Busy kama ile clip ya Jermnain Dupri na Janet Jackson ya wimbo "Gotta Getcha". Kitakachokosekana ni Prof. Emolo pale Mlangoni.
   
 7. Bonnie1974

  Bonnie1974 JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2008
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 407
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwani kama ulitaka kununua kunatatizo gani?
  Hamna shida mkuu,endelea kulitafuta.
   
 8. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ....Umeshasema ni gazeti la udaku...achana na huo uchafu hakuna kitu hapo....
   
 9. I

  Ipole JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2008
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 296
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Fungua tu wa kukaya lakini take care si unajua watu wa huko
   
 10. I

  Ipole JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2008
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 296
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asante ndugu yangu kwa kuniweka sawa maana jamaa walikuwa wananizonga sana
   
 11. I

  Ipole JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2008
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 296
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wa kukaya vipi mbona umekuwa kimya hujanijibu au ndiyo uko kwenye pilikapilika za kufungua hilo duka teh teh teh
   
 12. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ....Mh!!! Ninavyowajua watu wa sikonge kwa kupenda vitu asilia sijui kama atapata wateja....
   
 13. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...mimi najionea maruweruwe...

  miaka mingi tu nimejionea chachandu na 'mkuyati mkaluti msimika mwinula' unauzwa wazi wazi mitaa ya kariakoo, na hao 'madokta' wa kizigua na kimassai wala hawaoni taabu kukuelimisha hadharani matumizi yake.
   
 14. I

  Ipole JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2008
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 296
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mchongoma kilchotakiwa ni hivyo vifaa vya kisasa vipo hapo kwetu dar
   
 15. I

  Ipole JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2008
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 296
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwani we kipanga umerudi lini huko maana watu sasa wanaendelea Sikonge siyo ile ya miaka 90
   
 16. F

  FRANSY Member

  #16
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wana jf hivi mi naona ni dhambi kuuza au kumiliki sex toys!!
   
 17. m

  mtozwaushuru Member

  #17
  Jan 3, 2018
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mbona hamsemi hizo sex toys zinakopatokana Dar? Mmebaki mnalumbana tu majibu hamtoi
   
 18. Money Penny

  Money Penny JF-Expert Member

  #18
  Jan 3, 2018
  Joined: Jun 20, 2016
  Messages: 2,755
  Likes Received: 2,652
  Trophy Points: 280
  Doh hii noma
  Aha ahaha
  Karibu nimeshusha stori mpya
  Ukifungua link shuka chin utaiona Story: Money Penny ni nani lakini?!
   
 19. Money Penny

  Money Penny JF-Expert Member

  #19
  Jan 3, 2018
  Joined: Jun 20, 2016
  Messages: 2,755
  Likes Received: 2,652
  Trophy Points: 280
  Unafungwaaa
  Wamefungwa wanaohamasisha usagaji mwaka jana itakuwa sex toys

  Usijaribuuu hat airport dildo hazipitiii labda uzivaee

  Karibu nimeshusha stori mpya
  Ukifungua link shuka chin utaiona Story: Money Penny ni nani lakini?!
   
 20. Money Penny

  Money Penny JF-Expert Member

  #20
  Jan 3, 2018
  Joined: Jun 20, 2016
  Messages: 2,755
  Likes Received: 2,652
  Trophy Points: 280
  Karibu nimeshusha stori mpya
  Ukifungua link shuka chin utaiona Story: Money Penny ni nani lakini?!
   
Loading...