mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,875
- 58,298
Mimi uwa nakula sahani 2
Tuwali twenyewe tudogo dogo tu
Tuwali twenyewe tudogo dogo tu
Au sio..Buku jero kununua sahani moja ya wali maharage ni kuhujumu uchumi,matumizi ya siku yanatakiwa yawe hivi,asubuhi miogo ya 200 na chai ya 200tsh maji ya kunywa unagongea hapo hapo uliponunua chai imetoka hiyo,ikifika saa 9 unakula matunda ya buku sahani moja mchanganyiko wa tikiti maji tumbo linajaa kinoma huyo mdogo mdogo hadi ghetto,Asubuhi unaamkia na makande ya 500tsh
Poverty is a problem. 🙄Leo mchana nimejongea kwa mama ntilie kupata wali maharage baada ya kumaliza kula nikampa buku, cha kushangaza akaniambia bado jero wali maharage ni buku jero.
Hii imenishangaza sana kwani nimezoea wali maharage ni buku buku. Wazee nimepigwa au ndo bei halisi kwa sasa wali maharage shilingi 1,500/=, huko kwenu ni shilingi ngapi wali maharage?
hahaaaaa jamaa alitaka kula wali wa buku duh utakua ukoko huo sio wali, yani mama lishe anunue mchele apike aweke na mboga atumie vyombo vyake, kuni, mkaa, mafuta etc jamaa anataka kula kwa buku, kweli umasikini wetu umefikia kwenye peak sasa.Poverty is a problem. 🙄
Wakati kuna watu wanakula ugali wa 20k kwa shilole yy ataka wali wa 1k haha atafutehela tu umaskini mbaya sanahahaaaaa jamaa alitaka kula wali wa buku duh utakua ukoko huo sio wali, yani mama lishe anunue mchele apike aweke na mboga atumie vyombo vyake, kuni, mkaa, mafuta etc jamaa anataka kula kwa buku, kweli umasikini wetu umefikia kwenye peak sasa.
Ndo ukweli huo!! Kwani uongo atafute pesa aache kulialia hapaDahhh aisee wadau...
2k (wali+samaki+maharage+mboga) 😊Kaka huko kwenu wali maharage n shillings ngap??
Huku, wali+nyama+maharage ... 2k.2k (wali+samaki+maharage+mboga) [emoji4]
Vinalandana basi. Ndio bei official hiyo mkuu!Huku, wali+nyama+maharage ... 2k.
Kwetu hatuli wali maharage, tunakula maharage wali. 3,000.Leo mchana nimejongea kwa mama ntilie kupata wali maharage baada ya kumaliza kula nikampa buku, cha kushangaza akaniambia bado jero wali maharage ni buku jero.
Hii imenishangaza sana kwani nimezoea wali maharage ni buku buku. Wazee nimepigwa au ndo bei halisi kwa sasa wali maharage shilingi 1,500/=, huko kwenu ni shilingi ngapi wali maharage?
Asante Mama, tutazingatia ushauri wako.Kwetu hatuli wali maharage, tunakula maharage wali. 3,000.
Ndiyo maana hamkuwi kimwili na kiakili.
Hiyo hiyo 2k haizidiWali maharage na kimboga pemben n bei gani ?