Duh! Wali Maharagwe umepanda bei, umefikia 1,500/=

Duh! Wali Maharagwe umepanda bei, umefikia 1,500/=

Kwa kina Amehlo maji madogo ni 600.

Nimeenda Bank leo Posta nimekuta muhudumu analalamika kauziwa Sambusa 700..

Nafikiri ni bei zimepanda kama mama alivoagiza,, Soko limekuwa huria.. Panga bei kadri ya unavotaka kutatua shida yako.
 
Yaan bakery mkate wa 1200 saiv ni 1300 sambusa ya 500 ni 600 andazi la 300 saiv n 400 sasa chapati ya 500 utatamani ulie 😀😀😀
 
Yaan bakery mkate wa 1200 saiv ni 1300 sambusa ya 500 ni 600 andazi la 300 saiv n 400 sasa chapati ya 500 utatamani ulie [emoji3][emoji3][emoji3]
Aiseee hii hali inatishaaa
 
Mkate wangu pendwa wa superloaf ulikuwa 2,500 Jana nanunua naambiwa 2,800. Mche wa jamaa toka 2,500 Jana ni 3,000. Wali kwa mama lishe toka 1,500 hadi 2,000, soda 600 kwa wale wapenzi wa pepsi...twafwa!
Twende taratibu tu!!
 
Hata mimi leo nilipokula chakula wameongeza 500 katika bei ya siku za nyuma. Nimeambiwa ndio bei mpya.
 
Mkate wangu pendwa wa superloaf ulikuwa 2,500 Jana nanunua naambiwa 2,800. Mche wa jamaa toka 2,500 Jana ni 3,000. Wali kwa mama lishe toka 1,500 hadi 2,000, soda 600 kwa wale wapenzi wa pepsi...twafwa!
Twende taratibu tu!!
Huku superloaf kutoka 1300 sasa ni 1500 yaani
 
Leo mchana nimejongea kwa mama ntilie kupata wali maharage baada ya kumaliza kula nikampa buku, cha kushangaza akaniambia bado jero wali maharage ni buku jero.

Hii imenishangaza sana kwani nimezoea wali maharage ni buku buku. Wazee nimepigwa au ndo bei halisi kwa sasa wali maharage shilingi 1,500/=, huko kwenu ni shilingi ngapi wali maharage?
Kwa migahawa mingi ya Posta Dar Es Salaam chakula kimepanda kwa buku nzima tokea week iliyopita.
 
Buku jero ndio bei niliyoizoea huku nilipo labda sasa wapandishe hadi elf 2.
 
Leo mchana nimejongea kwa mama ntilie kupata wali maharage baada ya kumaliza kula nikampa buku, cha kushangaza akaniambia bado jero wali maharage ni buku jero.

Hii imenishangaza sana kwani nimezoea wali maharage ni buku buku. Wazee nimepigwa au ndo bei halisi kwa sasa wali maharage shilingi 1,500/=, huko kwenu ni shilingi ngapi wali maharage?

Wali mharagwe ni mtaamu
 
Sasa hivi kila kitu kikipanda bei kisingizio ni vita ya urusi na ukrain.jana nilicheka sana nilikua zangu chumbani, akaja jamaa ambae kila jpili huwa anatusaidia kuchukua takataka hapa home,nikasikia anamwambia dada wa kazi kuwa amwambie mama from next week gharama za kukusanya uchafu zitapanda kutoka elfu 2 to elfu 3 kisa ni vita ya huko urusi na Ukraine.
 
Hiyo 1500 ndio be ya huku nilipo siku zote....kama huko imeongezeka 500 huenda na huku ikapanda sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom