Duh! Wali Maharagwe umepanda bei, umefikia 1,500/=

Proffesor

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2014
Posts
2,170
Reaction score
3,028
Leo mchana nimejongea kwa mama ntilie kupata wali maharage baada ya kumaliza kula nikampa buku, cha kushangaza akaniambia bado jero wali maharage ni buku jero.

Hii imenishangaza sana kwani nimezoea wali maharage ni buku buku. Wazee nimepigwa au ndo bei halisi kwa sasa wali maharage shilingi 1,500/=, huko kwenu ni shilingi ngapi wali maharage?
 
Umepigwa
 
kwani umeshikiwa bunduki kulipa we ungekomaana buku tu
 
Jero tu huku Temeke.
Hii si ndo tangu kitambo bingwa? Chapati 4, chai nyeusi tii, cola baridiii, asubuhi imeisha! Kama usiku hesabu ilikuwa njema, supu chapati, cola baridiiii itahusika😄😄

Maisha ndo hivyo yani, ugumu wa nini sasa!
 
Muhimu wasipandishe bei ya mahaba a.k.a ukoko. Wakipandisha na hiyo, hakyanani vile wadau tunabeba mjegeje
 
Leo mchana nimejongea kwa mama ntilie kupata wali maharage baada ya kumaliza kula nikampa buku, cha kushangaza akaniambia bado jero wali maharage ni buku jero.

Hii imenishangaza sana kwani nimezoea wali maharage ni buku buku. Wazee nimepigwa au ndo bei halisi kwa sasa wali maharage shilingi 1,500/=, huko kwenu ni shilingi ngapi wali maharage?
🤣🤣🤣🤣🤣 Hee kwani ulikuwa bei gani? Yaani ni hiyo nayo ni ya kulalamika?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom