Duh! Wali Maharagwe umepanda bei, umefikia 1,500/=

Leo mchana nimejongea kwa mama ntilie kupata wali maharage baada ya kumaliza kula nikampa buku, cha kushangaza akaniambia bado jero wali maharage ni buku jero.

Hii imenishangaza sana kwani nimezoea wali maharage ni buku buku. Wazee nimepigwa au ndo bei halisi kwa sasa wali maharage shilingi 1,500/=, huko kwenu ni shilingi ngapi wali maharage?
Vita ya urusi
 
Na kipimo kinapunguzwa
Yah kuna jamaa kaja nazo hamna nyama kabisa unakula miunga ya ngano kibao(manda)
Vinyama kiduchu.
Kweli mchina anatupeleka pabaya.
Inawezekana zile ni readymade za macho ndogo hawa.
 
"Kuna kijitozo kidogo" tumekiongeza kwenye wali maharage niwatoe hofu wa Tz mtazoea kila kitu ni kigum mwanzo
 
Yah kuna jamaa kaja nazo hamna nyama kabisa unakula miunga ya ngano kibao(manda)
Vinyama kiduchu.
Kweli mchina anatupeleka pabaya.
Inawezekana zile ni readymade za macho ndogo hawa.
Yaaani mkate wenyewe wanapunguza vipande 😀😀
 
Marais wanaojituma👇
FPl1bA1WUAQ7UID.jpeg
IMG_20220404_100611_745.jpg
IMG_20220402_184504_432.jpg
AARD4K.jpeg
Rais hewa ambae hajui jukumu lake🐒🐒🐒
 
Leo mchana nimejongea kwa mama ntilie kupata wali maharage baada ya kumaliza kula nikampa buku, cha kushangaza akaniambia bado jero wali maharage ni buku jero.

Hii imenishangaza sana kwani nimezoea wali maharage ni buku buku. Wazee nimepigwa au ndo bei halisi kwa sasa wali maharage shilingi 1,500/=, huko kwenu ni shilingi ngapi wali maharage?
Hata ufike 5000 sawa tu maana unatufanya tujambe jambe tu.
 
Huu ni mfumuko wa awali wa bei ya mafuta bado hata hatujafika kilele cha mfumuko wa bei🤣

images (99).jpeg
 
Vitu vimepanda bei....Supu ya utumbo now ni buku jero,chapati 400/=
Inamaana na utumbo unatokana na vita ya Ukrain? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hii nchi sijui tunaenda wapi
 
Ngoja tusubiri na mishahara kupanda,,,
 
Leo mchana nimejongea kwa mama ntilie kupata wali maharage baada ya kumaliza kula nikampa buku, cha kushangaza akaniambia bado jero wali maharage ni buku jero.

Hii imenishangaza sana kwani nimezoea wali maharage ni buku buku. Wazee nimepigwa au ndo bei halisi kwa sasa wali maharage shilingi 1,500/=, huko kwenu ni shilingi ngapi wali maharage?
kula mawe
 
Bora wapandishe ili kulinda ujazo,
Kipimo cha andazi uswazi kimekua kama bagia za kunde ili waendelee kuuza 100.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom