Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 38,079
- 47,006
Sio kweliAngeweza kuongea kiupole kidogo kuliko alivyofanya…
Sio kweliAngeweza kuongea kiupole kidogo kuliko alivyofanya…
Mh.Rais yupo sahihi. Haipasi kiongozi kuendekeza usanii wa kuhadaa watu ili kujizolea sifa binafsiUle ujinga wa maigizo hatutaki,safi Sana Rais..
Haiwezekani kila mwenye tatizo amtafute Rais.
Wananchi milioni 50 wanaishi huko vichochoroni, Rais akiwasikiliza wote hatafanya kazi nyingine.Jawabu la Miungu watu wa vichochoroni ni KATIBA MPYA.Rais alipaswa kumsikiliza huyu Mwananchi
Huko 'vichochoroni' kuna Miungu watu
Dawa ni katiba mpyaWatu kwenda kulia mbele ya Rais ina maana moja tu, wanaolia hawajapata haki stahiki katika ngazi za chini au kuna urasimu mwingi kwenye kupata haki...
Labda inapatikana LumumbaHaki haipatikani mahakamani wala Kanisani
Sijui tunaenda wapi?
Yaani nikuambie jamaa yangu! Huyu bibi kama unashida kubwa ya level ya kumuona huwezi kumuona labda uwe fisadi hapo sawa! Ila mganga njaa sahau! Ndo maana hatakiwi kabisa kufanyia ziara kuwatembelea wananchi! Labda kutembelea kwenye matukio tena mikoa mikubwa basi!Usiongee mambo usiyoyajua! Suala la Msingi Ni Moyo wa Mtu kuguswa na mambo ya watu wengine! Magufuli ukiachana na hao Waliokuwa wanam-face directly amesaidia watu wengi sana kimya kimya walioonewa. Sasa huyu ambaye hakurupuki ameshamsaidia nani?
Inawezekana maana Mnyika alipeleka makabrasha ya kesi ya Mbowe na makomandoo kwa mzee Mangula!Labda inapatikana Lumumba
Nyani Ngabu kwa hiyo ulitaka kiongozi azingirwe na shida za mtu mmoja peke yake? As if shida yake ikitatuliwavthe shida za wengine zinaisha??Watu wako desperate. Ukiona hivyo ujue huko kwingine wanaona kama vile hawapati haki zao.
Tena Kama Ni ukali amesahau Magufuli alikua anawaambia wananchi waende wakakae na mavi Yao nyumbani.lakini ndio kashaongea kiukali mkuu na haliwezi kubadilika. Hili halina utofauti na watu wengi walivyokuwa wakimlalamikia kwa vitu vingi tu mtangulizi wake na bado hakuwasikiliza wala hakubadilika.
Magufuli alikuwa halipi watendaji mishahara, hakuwa ni hizo pesa. Mishahara yote ya wafanyakazi wa serikali nchi hii inalipwa na serikali kutoka kwenye kodi za wananchi.Mama Samia yuko sahihi swala unakuta lilishaenda mahakamani au watendaji wanalifanyia kazi mtu sababu tu kaona raisi kaja anataka kubururuza taratibu ziheshimiwe si kwamba Mama Samia hatalifuatilia ila kitakachofuata kama huyo mama alionewa wahusika wajiandae
Hata Magufuli alilalamika sana mambo hayo kuwa watendaji wapo nawalipa mishahara na marupurupu kibao inakuwaje hawashughulikii kero za wananchi hadi mimi nije?
Huyu mama watendaji wasimchukulie poa hasa wale wanaopelekewa kero za wananchi na kuwadharau kitakachowakuta wasije kupiga yowe humu kuwa mama Mkororofi alishasema ukinizengua nakuzengua
Watendaji badilikeni
Wewe ni mpumbavu sana sijui ata una umri gani.Ule ujinga wa maigizo hatutaki,safi Sana Rais..
Haiwezekani kila mwenye tatizo amtafute Rais.
The term Fourth Estate or fourth power refers to the press and news media both in explicit capacity of advocacy and implicit ability to frame political issues
Ni kweli alikuwa anasaidia watu kimya kimya kama Ben Saanane na wenzake.Usiongee mambo usiyoyajua! Suala la Msingi Ni Moyo wa Mtu kuguswa na mambo ya watu wengine! Magufuli ukiachana na hao Waliokuwa wanam-face directly amesaidia watu wengi sana kimya kimya walioonewa. Sasa huyu ambaye hakurupuki ameshamsaidia nani?
Baba yako hajanizidi upumbavu ndio maana kazaa taahira kama wewe.Wewe ni mpumbavu sana sijui ata una umri gani.
Ni kweli ujinga kwako,ila hajakukuta na ukawa huna pakukimbilia.Ule ujinga wa maigizo hatutaki,safi Sana Rais..
Haiwezekani kila mwenye tatizo amtafute Rais.
Lakin kumbe ndo maana katiba mpya muhim ,kwani Kuna sababu ya kushinikiza Mhimili wa mahakama kutenda haki wakati niwajibu waoSukuma gang Wana Hali mbaya.
Toa ujinga wako hapaYatakapo kupata ndo utajua! Ombea yasikupate matatizo ya level yako ambayo hauwezi kuyatatua kama wewe! Wakati huo ata pesa uliyonayo haiwezi ndo utajua kwamba hayakuwa maigizo