Kama Rais Samia na Spika Tulia ndio role models wa wanawake viongozi am sorry to say this 'Wanawake hawafai kuwa viongozi,

Msitari wa pambizo

JF-Expert Member
Sep 25, 2014
2,880
4,883
Makundi mbali mbali hasa feminists wamekuwa mstari wa mbele kutetea haki za wanawake na usawa hasa katika masuala ya uongozi na wengi wao wamewatolea mfano Rais wa nchi na Spika wa bunge kwamba ni mfano wa wanawake viongozi.

Basi niko hapa kuwakosoa na kuwaambia kama lengo ni kutaka usawa wa uongozi kati ya wanawake na wanaume basi waache kutumia hizi figures.

Hawa viongozi wamefail totally. Rais Samia naona kabisa serikali imemshinda maana kama mnasikia matukio ya sasa hivi pengine hatukuyasikia huko nyuma au kama tuliyasikia ameshindwa kuyazuia

Sasa hivi upigaji serikalini umerejea kwa kasi sana, matukio ya rushwa, kujuana kwenye ajira, matukio ya watu kufia mikononi mwa polisi, yani utendaji wa serikali umekua lege lege sana. Yani sasa hivi ni kawaida kusikia mama mjamzito amefia hospitali kwa sababu amekosa elfu kumi ya dawa.

Kuonesha kwamba hajali afya za wananchi wake amefuta toto afya card, suala la umeme ndo limemshinda asubuhi kabisa. Miradi mikubwa iliyoachwa na hayati Magufuli ameshindwa kuikamilisha kila siku ni stori tu mara itaanza kesho mara kesho kutwa. Kwa kifupi serikali yake haina tangible item ambayo tunaweza kusema kwamba hii bila Samia tusingefika hapa.

Tukija kwa Dr Tulia failure yake ni simple tu kwamba wakati serikali inashindwa kufanya yote hayo bunge lake limeshindwa kusimamia limegeuka kuwa nyumba ya kusifu na kuabudu.

Kama viongozi hawa ndio reference ya viongozi wanawake basi utakubaliana na mimi kwamba wanawake hawajawa capable enough kushika nyadhifa kubwa za kiuongozi

Karibuni tujadili kwa hoja
 
Nimeona ratiba ya kujadili miswaada ya uchaguzi yaani kurasa 300 tujadili Kwa dakika 5
 
"Sasa hivi upigaji serikalini umerejea kwa kasi sana, matukio ya rushwa, kujuana kwenye ajira, matukio ya watu kufia mikononi mwa polisi, yani utendaji wa serikali umekua lege lege sana".

Kuna ukweli wake hapo 🤔
 
Makundi mbali mbali hasa feminists wamekuwa mstari wa mbele kutetea haki za wanawake na usawa hasa katika masuala ya uongozi na wengi wao wamewatolea mfano Rais wa nchi na Spika wa bunge kwamba ni mfano wa wanawake viongozi.

Basi niko hapa kuwakosoa na kuwaambia kama lengo ni kutaka usawa wa uongozi kati ya wanawake na wanaume basi waache kutumia hizi figures.

Hawa viongozi wamefail totally. Rais Samia naona kabisa serikali imemshinda maana kama mnasikia matukio ya sasa hivi pengine hatukuyasikia huko nyuma au kama tuliyasikia ameshindwa kuyazuia

Sasa hivi upigaji serikalini umerejea kwa kasi sana, matukio ya rushwa, kujuana kwenye ajira, matukio ya watu kufia mikononi mwa polisi, yani utendaji wa serikali umekua lege lege sana. Yani sasa hivi ni kawaida kusikia mama mjamzito amefia hospitali kwa sababu amekosa elfu kumi ya dawa.

Kuonesha kwamba hajali afya za wananchi wake amefuta toto afya card, suala la umeme ndo limemshinda asubuhi kabisa. Miradi mikubwa iliyoachwa na hayati Magufuli ameshindwa kuikamilisha kila siku ni stori tu mara itaanza kesho mara kesho kutwa. Kwa kifupi serikali yake haina tangible item ambayo tunaweza kusema kwamba hii bila Samia tusingefika hapa.

Tukija kwa Dr Tulia failure yake ni simple tu kwamba wakati serikali inashindwa kufanya yote hayo bunge lake limeshindwa kusimamia limegeuka kuwa nyumba ya kusifu na kuabudu.

Kama viongozi hawa ndio reference ya viongozi wanawake basi utakubaliana na mimi kwamba wanawake hawajawa capable enough kushika nyadhifa kubwa za kiuongozi

Karibuni tujadili kwa hoja
Jana nimesikiliza akisoma hotuba yake ya mwisho wa mwaka ambapo Rais Samia alizungumzia jinsi walivyosafiri kwenda ughaibuni kuhemea!
Nilishangazwa sana na jinsi alivyoelezea kuwa walifanikiwa kuleta fedha nyingi kutoka kwa wahisani wakiwemo World Bank!
Tujue tu kwamba hizo fedha hawakuenda kuchukua bure bali ni mikopo ambayo ni lazima itakuja kulipwa hapo baadae ikiwa imelimbikiza riba!
Tatizo kubwa tulilonalo hapa nchini ni matumizi yasiyo na tija ya mikopo pamoja na mapato yanayokusanywa nchini. There is too much leakage on the projects expenditure side due to poor supervision/ laxity on the part of the executive branch.
Deni la Taifa limekua sana na haya madeni yatakapoiva Hawa wanaokwenda kukopa most likely hawatakuwepo hivyo zigo hilo litawaangukia hao watakaokuwepo. Hii serikali ya ccm ni vyema ikalitambua hilo na ikawa na busara ya kufikiria jinsi gani hayo madeni yatakavyolipwa!
Kumbuka World bank / IMF wao furaha yao ni kuendelea kuwa na wadeni kwani ndio mtaji wao!!
Ccm na serikali yake wanajisahau sana wanafikiri wapo hapo milele; kila kitu kina mwisho wake kama sio kesho basi kesho kutwa , ni vyema wakawa tayari kwa mabadiriko!
 
Wabongo tuache kulalamika lawama azitasaidia we kama umeona umeme ni shida na shughuli zako zinahitaji umeme my frnd tafuta chanzo kingine cha nishati mana ccm haitakupa umeme wa uwakika NA CHA KUWAFANYA HUNA.
 
Coming from a typical Tanzanian!
 
Makundi mbali mbali hasa feminists wamekuwa mstari wa mbele kutetea haki za wanawake na usawa hasa katika masuala ya uongozi na wengi wao wamewatolea mfano Rais wa nchi na Spika wa bunge kwamba ni mfano wa wanawake viongozi.

Basi niko hapa kuwakosoa na kuwaambia kama lengo ni kutaka usawa wa uongozi kati ya wanawake na wanaume basi waache kutumia hizi figures.

Hawa viongozi wamefail totally. Rais Samia naona kabisa serikali imemshinda maana kama mnasikia matukio ya sasa hivi pengine hatukuyasikia huko nyuma au kama tuliyasikia ameshindwa kuyazuia

Sasa hivi upigaji serikalini umerejea kwa kasi sana, matukio ya rushwa, kujuana kwenye ajira, matukio ya watu kufia mikononi mwa polisi, yani utendaji wa serikali umekua lege lege sana. Yani sasa hivi ni kawaida kusikia mama mjamzito amefia hospitali kwa sababu amekosa elfu kumi ya dawa.

Kuonesha kwamba hajali afya za wananchi wake amefuta toto afya card, suala la umeme ndo limemshinda asubuhi kabisa. Miradi mikubwa iliyoachwa na hayati Magufuli ameshindwa kuikamilisha kila siku ni stori tu mara itaanza kesho mara kesho kutwa. Kwa kifupi serikali yake haina tangible item ambayo tunaweza kusema kwamba hii bila Samia tusingefika hapa.

Tukija kwa Dr Tulia failure yake ni simple tu kwamba wakati serikali inashindwa kufanya yote hayo bunge lake limeshindwa kusimamia limegeuka kuwa nyumba ya kusifu na kuabudu.

Kama viongozi hawa ndio reference ya viongozi wanawake basi utakubaliana na mimi kwamba wanawake hawajawa capable enough kushika nyadhifa kubwa za kiuongozi

Karibuni tujadili kwa hoja
"Haitengemai ile jamii ambayo Jambo lake la juu kabisa la Uongozi wamemwachia mwanamke, Haitengemai."
 
the same formula unaweza itumia pia kusema kwamba wanaume hawafai kwani miaka yote tumeongozwa na wanaume hivyo incompetence haina uhusiano wowote ule na jinsia …
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom