Raisi wa watu 65m sio kazi yake iwe kutatua individual cases, wele ambao hawana access kwake itakua je?,.....hiyo ni tabia mbaya alianzisha mwendazake kupata umaarufu wa kisiasa, na kulaghai wanyonge, kumbe mwenyewe ndo alikua adui wa watu wachini kuliko raisi mgine, Mama hongera kwa precedent hiyo, usikubali huo ujinga kwahiyo wote tunyanyuke tjkifuate uko ulipo kuna mtazania asio onewa au kudhlumia na watumishi wa ummah hususani police mahakamani aridhi nk.Je hapo katoa maelekezo kwa wasaidizi wake wamsaidie au kumsikiliza huyo mama?
Protocol inataka mkuu akiwa anazungumza msubili amalize ndo ueleze ya kwakoSasa kama hawasaidiwi waende kwa nani. Acheni kupwekesha jukumu la Rais.
Ukisema hawezi kusimamia mambo utapungukiwa na nini?
Wakimsikiliza na kupitia nyaraka zake ndio watujua wamsaidieje.Je hapo katoa maelekezo kwa wasaidizi wake wamsaidie au kumsikiliza huyo mama?
Ndomana inafika wakati watu wanatafuta hakiHaki haipatikani mahakamani wala Kanisani
Sijui tunaenda wapi?
Wakati wa kupiga kura ya Rais huwa unawaza nini kichwani?Ule ujinga wa maigizo hatutaki,safi Sana Rais..
Haiwezekani kila mwenye tatizo amtafute Rais.
Wamezoea misifa ya bwana yuleeeSi kaambiwa awape wasaidizi wake na itashughulikiwa au wewe ulitaka rais atoe tu maagizo na amri bila kujua undani/ukweli wa jambo lenyewe?
Zamani Jaji alikuwa kama Nabii na mtume wa Mungu!Ndomana inafika wakati watu wanatafuta haki
Kwa style wanazozijua wao
Ova
Siku hizi je?Zamani Jaji alikuwa kama Nabii na mtume wa Mungu!
Mbona kwa Mh. bowe ni kesi ya mchongo na wote tunajua lakini viongozi mpo kimya - Justice kwenye hizi inzi za Africa ni kiini macho.Hivyo kusisitiza mahakama zitende haki kwa kuangalia utu wa mtu.
Wanasiasa (ccm) ndio wanazibaka hizi kesi kabla hata hazijaanza kusikilizwa mahakamani!Mama mmoja amesikika akimuomba Msheshimiwa Rais, Mama Samia Suluhu Hassani kuwa anaomba atendewe haki, mama huyo amerudia mara 3 kusema anaomba atendewe haki, Lakini Rais Samia alimjibu kuwa hawa hapa wapo umeshatuandikia litanifikia nenda kakae. Rais Samia Aliendelea kusema kuwa ona yanajitokeza hata hapa. Hivyo kusisitiza mahakama zitende haki kwa kuangalia utu wa mtu.
umemsikia vizuri? kasema ameshaliandika watalifanyia kaziHata Magufuli hakufanya maamuzi pale pale alikabidhi kwa vyombo husika! Ila huyu sasa? Kwanza mwanamke mwemzie halafu lugha inayotumika? Kwa kifupi huyu bibi hanaga habari na watu wa maisha duni!
Mkuu akishamaliza kuongea kuna mtu mwingine anaongeaga?Protocol inataka mkuu akiwa anazungumza msubili amalize ndo ueleze ya kwako
enzi zenu sukumagang zimeisha...Lakini alimjibu kuwa hawa hapa wapo umeshatuandikia litanifikia nenda kakae.
Kila jambo ulishughulikie wewe kisa ni rais. Utapata matatizo ya moyo kwa binadamu wasio na shukrani hata kidogo.Sasa kama hawasaidiwi waende kwa nani. Acheni kupwekesha jukumu la Rais.
Ukisema hawezi kusimamia mambo utapungukiwa na nini?
Kwani kusikiliza ndio kuamua?Kwahyo unataka Rais akawe hakimu ama Judge kwa muda huo huo mfupi hapo na atoe maamuz!!?
Sasa hamuoni kama atakuwa ameingilia muhimili mwingine!?! Halafu kesho muanze tena kumsema vibaya
Umenena vyema! Ila kuna kundi kila madahaifu ya Rais wanapiga mapambio! Yaani Rais anaonesha hadharani hawezi kujali masrahi ya mwananchi wa chini Wasaidizi wake si ndo itakuwa balaa!Kwani kusikiliza ndio kuamua?
Mtu kaamua kufika pale baada ya kukosa msaada. Rais anauwezo wa kuchunguza jambo lolote kupitia vyombo vyake kisha akaamua. lakini pia anaweza akaomba mwanasheria wa serikali amsaidie huyo mtu.