Dudubaya ni ngangaripoa?

Mashoga wanatumia nguvu kubwa kutetea mashoga wenzao.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF is never boring... Kila mtu ni mjuzi hapa.. Hata wewe pia! My foot...! [emoji23][emoji23][emoji23]ningekuwa mkurupukaji usingeshawishika kubaki kwenye huu uzi... Onyesha kwa vitendo achana nao nyuzi ziko kibao mbona? Hivi unadhani kuniita mkurupukaji ndio uhalisia!? Don make funny of yourself dude...! Pambana na hali yako
 
hakika hujielew sas unataka tuachane na uzi wako??kwa nin umeuweka hapa sasa?? chill man haya nimaandishi tu mzee ..?? kweli ufahama sio matako mpaka kila mtu awe nao..
 
hakika hujielew sas unataka tuachane na uzi wako??kwa nin umeuweka hapa sasa?? chill man haya nimaandishi tu mzee ..?? kweli ufahama sio matako mpaka kila mtu awe nao..
Iko hivi ngoja nikueleweshe naona umeshaanza kupaniki... Zinaanzishwa nyuzi nyingi kila muda... Na members huchagua kuchangia tu uzi uliomvutia... Kama uzi haujakuvutia au kama unauona ni rubbish wala huhitaji kuumiza kichwa unaachana nao ili uokoe muda wako... Nadhani umenielewa sasa.... Ila kama uzi unauona ni rubbish still bado unakomaa nao hiyo ndio maana yangu
 
Mkuu nipo pamoja nawe,huyu jamaa anayeitwa dudubaya ukimfuatilia kwa umakini kabisa utagundua naye anajihusisha na ushoga kwa namna moja ama nyingine,nakumbuka ilishawahi kuja kesi moja clouds,mkewe kabisa alikuwa akilalamika jamaa anamlazimisha kufanya mapenz* kinyum* na maumb*le...!!
 
sawa mkuu..[emoji119] ngoja niendelee kupata konyagi
 
Unamjua dudu baya mkuu....?
 
Asante kwa kuweka kumbukumbu sawa....
 
Nililitegemea hili lakini kumbuka hapa ni sehemu ya mijadala... Na nimeandika background ya mhusika tangu kitambo, ugomvi wake wa kila mara, vijembe na mipasho isiyoisha... Kama unafikiri kakurupuka tu kusemasema basi una safari ndefu...
Mkuu achana nao huenda hawamjui vizuri huyu jamaa anayeitwa dudubaya,kuna kila dalili kwamba huyu jamaa naye analiwa..
 
Mkuu achana nao huenda hawamjui vizuri huyu jamaa anayeitwa dudubaya,kuna kila dalili kwamba huyu jamaa naye analiwa..
Amekuwa hero kwa baadhi ya watu hapa... Ngoja niishie hapa
 
Mkewe alienda mbali zaidi kwamba kuna siku alikuta chats za mapenzi za dudubaya na shoga fulani maarafu ambapo kwa wakati huo alikuwa tayari ni marehemu..
Wapambe wake wanapita kimya hapa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…