Dudubaya ni ngangaripoa?

sio kosa lake ,hiyo ndo shida yakuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri halafu kuwa mpenda siasa lzm kuna mambo uta pick side tu
Kwa mara ya kwanza namuona mshanajr akishindwa kuwa focused kwa kile anachokitetea,na amebaki kutapatapa kama mfa maji.Sio kwamba namtetea dudubaya ila ,nimeshindwa kuelewa uyu mshana kasimama wapi,naona ata mifano anayotoa ni irrelevant.
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF is never boring.... Badala ya KUJIBIWA hoja ni mwendelezo wa vijembe... Duu ndio jamii tuliyo nayo leo hii
 
 
Dah Kwahiyo kabla ya kuweka mada nilipaswa kuwa mtabiri wa kuandika kile kitakachowapendezeni nyie na si uhalisia wa mada husika... Kweli kazi tunayo


Mkuu shida ni kuwa watu humu wanakuheshimu sana kwa mada zako matata zenye akili. Lakini katika hili umetumia hisia zaidi kuliko akili jambo ambalo kwa mwanaume halitakiwi. Embu lifikirie tena then urudi.

Mkuu ishu zinazopingana na nature hazipaswi kutetewa hata kidogo. Kuzipinga zinaruhusiwa kwa namna yoyote ile kama alivyofanya Konki.
 
Hebu twende taratibu labda utanielewa
. Nimeanza kutaja tabia za wanawake kisha nikataja tabia za mwanaume
. heading haikuhukumu imehoji... Je hili hukuliona pia?
. Historia ya mlengwa imesimamia kwenye sifa mbaya au nzuri? Kuna yeyote amehoji kuhusu hilo?
. Je kwa kutaja tu wahusika ndio uhalisia na tatizo la ushoga litakuwa limekwisha na yeye kuonekana hero?
. Je tabia zake zinaakisi tabia za mwanaume kamili? (Kiini cha muktadha wa mada)
Nimekupa points muhimu... Njoo kwenye mjadala sasa
 
Ila kuambiwa umekosea pia ni moja ya vitu vitakavyokujenga. Mwenye hekima hukubali kuonywa akoseapo
Hapana mimi ni mnyenyekevu sana na hukubali kukosolewa na si mara moja au mbili nimeomba radhi kwa uwazi kabisa...
Lakini KAMWE sitafanya hivyo kwa mtu ama watu ambao hawajanielewa nilichoandika... Hili linakuwa ni tatizo Lao la uelewa kwanini nibebe mzigo mimi? Kwanini niwajibike mimi?
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF is never boring.... Badala ya KUJIBIWA hoja ni mwendelezo wa vijembe... Duu ndio jamii tuliyo nayo leo hii
mkuu ulitaka nikujibu kwamba nimekuunga mkono katika mawazo yako hafifu..??mtiririko wako wa mawazo katika hiki ulichoandika nakukiita hoja ni muono hafifu unao hitimisha safari yako fupi yakufikiri.. sio lazima utie neno kwa kila lipitalo mzee matokeo yake ndo hayo unakurupuka nakutetea mapunga..!!
 


Basi wawajibike wao kwa hali zao. Ila jambo lolote linalodhalilisha wanaume kwa kweli linamdhalilisha Mungu. Ndio maana Sodoma na Gomora iliharibiwa. Mwanaume ni mfano wa Mungu
 
Kuna mahali nimeomba uniunge mkono? Ndugu VP uko salama kweli? Sihitaji kuungwa mkono nahitaji mjadala wenye hoja... Am sure yangekuwa mawazo hafifu usingeendelea kupoteza muda na kifurushi chako... Kadiri utakavyoendelea kustick hapa basi ni wazi unagain kitu
 
Sihitaji kusifiwa kwakuwa sitafuti sifa na sifahamiki na wengi... By the way KUDHARIRISHA ndio msamiati gani? Au una shida kidogo kati ya R na L?
Asante kwa masahihisho, ila najua sikio la kufa halisikii dawa.
 
Mleta mada ni mkurupukaji mzuri sana,kila jambo likiwa ni habari iliyo kwenye chat basi atakimbilia kulianzishia thd bila kulifanyia utafiti ili tu apate attention ya watu,hii sio mara yake ya kwanza kukurupuka,unatetea mashoga unataka tukueleweje?
 
Mleta mada ni mkurupukaji mzuri sana,kila jambo likiwa ni habari iliyo kwenye chat basi atakimbilia kulianzishia thd bila kulifanyia utafiti ili tu apate attention ya watu,hii sio mara yake ya kwanza kukurupuka,unatetea mashoga unataka tukueleweje?
mkuu af huyu mtu hatak kukosolewa ni wazi fikra zake ni finyu na fupi kama zakayo
 
mkuu naona unaendelea na ugwiji wako wa kukurupuka nakupanic sasa mambo ya bando na kupoteza muda yanatoka wapi?? au ndo akili maandishi ubongo ziro...??nina pata kitu katika nyuzi zote mkuu na katika uzi wako wa leo nimejifunza kukurupuka kitandani nakuanza kutoa hoja juu ya vitu nisivyovifahamu kwa undani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…