Dudubaya ni ngangaripoa?

Usiusemee upande wowote! Normally, kwenye jamii zetu hatutegemei sheikh, padre, na wengineo kuhusika na mambo haya ila tunawasikia. Neither of us is wrong nor right!
 
Acha kutetea vitendo vya ushoga oil chafu konki master acha amfunge paka kengele wengine walishashindwa
Yeye mwenyewe wanasema ni shoga kama ishu ni kutaja tu, eti waligombea bwana na mr Nice!! Kama ishu ni kutaja wametajwa hata waanzisha kampeini wenyewe!
 
Hakika umemkosea mleta mada nidhamu, ungemwomba msamaha ingekua busara sana.
 
Ikiwa mwizi anatambua wezi wenzie basi na huyu dudupori naye ni mchele mchele,huenda anatumika ama anatumia huduma tajwa!
 
Hakika umemkosea mleta mada nidhamu, ungemwomba msamaha ingekua busara sana.
Ni fundisho kwake. Akubali kujifunza nyakati, hizi siyo nyakati za kusifia kila kitu anachoandika.
 
mtoa uzi niwaz umekurupuka kwa mwenendo mzima ulivyo katika jiji lenu la mapunga hapo dar hata wew ni wazi unamnyooshea kidole nabii KONKI KONKI MASTER katka uzi huu uliolemea upande wa utetezi wa tabia hii yakishwain ya vijana wakiume kukatika kama panga-boi,, je na wewe ni ngangaripoa??watu kama konki ni watu ambao kila jamii inawahitaji na katika hili oil chafu isiyochafuliwa niwaz ameongea kwa sababu ni swala ambalo serikali ya mkoa wenu pendwa imeliweka kama tatizo natayar mkuu wa mkoa bashite alilifanyia mjadala nakuruhusu kutumiwa majina yamapunga wote nakuitaka jamii iwafichua wapakuliwa tope wote walio katka jiji lenu..hapo ndipo nabii KONKI alipoitumia fulsa kama mwanajamii kuwafichua wapakuliwa kimba wote anaowafahamu..na kwa kuwa yey alikua msanii mkubwa kwa nyakati fulani hivyo watu wa media wengi amefanya nao kaz na anaukaribu nao ns napata nguvu yakusema hoja za KONKI si za kubeza na yeyote anaekurupuka kama wew mkuu nakuanza kumshambulia konki kwa kejeli na maneno yakipunga kama yako ni wazi umeshikwa pabaya na hofu yakuumbuka imekufanya uje hadharan nakuwatetea wapakuliwa tope shame on you broo...!!!!
 
Hebu tofautisha vina sana vyakujadili watu alivyo navyo Tumaini na wewe uliyemfuatilia ukamuanzishia uzi ndugu.
Ukiachana na alama ya kuuliza kwenye heading (kitu ambacho nimegundua wengi hamfahamu matumizi yake) mimi nimehoji weledi wake kutokana na historia yake... Yeye katoa hukumu moja kwa moja
 
Jaribu kutofautisha mada halafu sio kila kitu lazima mimi niandike.... Hivi unajua tofauti ya kuhoji na kutaja kweli?
 
Huu ni mtazamo wako siwezi kukushikia bakora ukubaliane na nilichoandika... Sasa kama hata maana ya ngangaripoa hujui ninini halafu unakimbilia kusema nimekurupuka! Hivi mkurupukaji ni nani hapa kati yangu mimi na wewe
 
Huyu mleta mada na wasiwasi naye dunia ya sasa ni ya utandawazi tofauti na zaman mtu kutaja kitu ambacho anauhakika nacho nikosa??we mtoa mada hujuelewi mtu kataja fulani ni shoga kilichotakiwa ni ushahidi aulete sasa wewe unaweweseka na nn mkuu
Hebu rudia kusoma nilichoandika... Yani mnasoma tayari mkiwa na majibu kichwani mwenu so funny
 
Maana yake hatuitaji kabisa mijadala ya kutetea mashoga kabisa, Tafuta mijala mingine tutachangia na kusifia lakini kwa hili la ushoga?? !!! Achana nalo litakudharirisha tu.
Sihitaji kusifiwa kwakuwa sitafuti sifa na sifahamiki na wengi... By the way KUDHARIRISHA ndio msamiati gani? Au una shida kidogo kati ya R na L?
 
Mleta mada unajishushia heshima yako hapa JF kwa hili bora ungekaa kimya kaka mkubwa .

Kivipi anajishushia Heshima. Are you for really. So hujawaza kabisa kuwa dudubaya angekuwa ana uchungu na ushoga angetafuta ushahidi na angekwenda mahakamani . Je the Principle of Natural Law that every one has the right to be heard before being judged wewe imekupita kabisa. Hivi kila mtu akiamua kusema jambo hadharani bila ushahidi then wewe ukamsapoti ndo namna ya maisha. Is that a due process? Unatia kinyaa.
 
Hii ngoma Mdau kazingua na kama kweli anaakili ameshafahamu alichokoroga.
Niko imara sana au unataka niwazuie watu kuchangia? Nini maana ya kuweka mjadala mezani sasa? Nasimamia nilichoandika kwa muktadha wangu... Replies za wengine ni mitazamo yao
 
Dah Kwahiyo kabla ya kuweka mada nilipaswa kuwa mtabiri wa kuandika kile kitakachowapendezeni nyie na si uhalisia wa mada husika... Kweli kazi tunayo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…