Nanoli
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 3,739
- 5,978
Hahahahahha… "… ndham, nidham, nidham…. hata kidogooo"… .daah kitambo" Mwanangu huna nidhamu "
Hahahahahha… "… ndham, nidham, nidham…. hata kidogooo"… .daah kitambo" Mwanangu huna nidhamu "
Mkuu wewe utakuwa na chuki binafsi na Konk Masta the Dudu. Awali nilikuelewa hujafurahishwa na dudu kutaja majina kwamba kadhalilisha.Leo kuna mtu anataka kufanya ujinga ule ule wa dudu unamuunga mkono. Acha chuki na KonkZiweke tuta screen shot fasta
Unaumia sana mtaimba mpaka haleluyah safari hiiYah ile ya kijani
Na ww shogaHapa ndio uwezo wetu wa kufikiri ulipofikia. Anakurupuka mtu from nowhere na kwa malengo anayojua mwenyewe anaropoka
. Fulani ni mwizi akamatwe
. Fulani ni Malaya akamatwe
. Fulani ni shoga akamatwe
Je ndio namna ya kuendesha nchi? Unafikiri fulani akishakamatwa na kupelekwa mahabusu ndio mwisho? Au ndio utakuwa umesolve tatizo?
Ni shoga? AiseeeMmh bilal sio shoga!? Aunt bilal huyo wa mtaa wa Wibu kinondoni?
Hapana nimeshambuliwa sana kwenye hii mada, siwezi kuwa na chuki na mtu... Hata mara moja.... Mada ilihusu mashaka juu ya mlengwa na si kwamba sikufurahishwa na yeye kuwataja watu fulani kwa tuhuma fulaniMkuu wewe utakuwa na chuki binafsi na Konk Masta the Dudu. Awali nilikuelewa hujafurahishwa na dudu kutaja majina kwamba kadhalilisha.Leo kuna mtu anataka kufanya ujinga ule ule wa dudu unamuunga mkono. Acha chuki na Konk
Hahahahaha konki konki konki master!Ni konki 3 alisema
YeahHahahahaha konki konki konki master!
ila yule jamaa bana Sure AiseeStill ana followers mpaka JF... World at large....!
Maneno ya wazee kama nyie ni dawa
Kama mpaka mzee mshana mlozi umeongea basi dudu baya ajiangalie