Dudubaya ni ngangaripoa?

Hii hapa
 
Mimi dudu baya simwamini maana nae ana skendo ya ushoga pili na Aliowataka siwahamini kwasababu nao wana skendo ya ushoga
 
Konki kachafua hali ya hewa...mashoga wote wamechachamaa hatar sana.....Konki kapiga penyewe....inaonekana amewafukunyua wengi....
 
Umempa ushauri au umetoa duku duku lako anyway kama ni ushauri mfuate kwenye page yake ya Instagram
 
Yoyote anaempinga dudubaya, yoyote anaemponda dudubaya, yoyote anaemuona dudubaya adui....ni lazima atakuwa anawaunga mkono mashoga na vitendo vya ushoga, sasa je ukiunga mkono mashoga wewe ni nani ?
Jibu ni rahis sana....ukimuona dudubaya ni aidui maana yake wewe ni shoga na waliotajwa ni jamaa zako, na unahofu pengine tunakoendea na wewe ukatajwa.
Mwenye akili kanielewa.
 
Kwa hyo wale wote alowataja umethibitisha kuwa ni mashoga?
Wewe umethibitisha si mashoga..! Yeye kasema wapimwe wakikutwa siyo yeye yupo tayari kwenda jera..!

Ndiyo wakapimwe tujue basi, ili konk, konk Master alaumiwe.
 
Yah ile ya kijani
Dudu msimchezee, kambia seminari yule, ameishi sana na father pekupeku wa morogoro!

Dudu ni mkatoliki safi kabisa na mtu unaweza kumchukulia poa sana.
 
Hivi umesoma vizuri na kuelewa nilichoandika?
 
Wewe umethibitisha si mashoga..! Yeye kasema wapimwe wakikutwa siyo yeye yupo tayari kwenda jera..!

Ndiyo wakapimwe tujue basi, ili konk, konk Master alaumiwe.
NENDA KWANZA WEWE UKAPIMWE HIYO TIGO YAKO CHAFU KAMA NI RAHA.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…