muku
JF-Expert Member
- Aug 23, 2014
- 312
- 77
Kaimu Katibu ma Secretariat ya Ajira.
Siku za hivi karibuni kumekuwa na manung’uniko ya watu wanaofanya usaili wa mchujo jinsi secretarit inavyosimamia usaili huo.
Kwanza, kumekuwa na mlolongo wa dalili za kuvuja kwa mitihani ya mchujo kitu ambacho kimepelekea mitahani inayooonekana kuwa na ugumu kuonekana ni rahisi sana kwa watu flani. Mfano unakuta matokeo ya usaili mtu wa kwanza anapata 95 wa pili anapata 60. Kutofautiana huko hakuwezi kujustify hoja ya mitihani kuvuja. Ila cha kushangaza kuna vijana wamekuwa wakiomba msaada wa maswali kwa watu wenye uwezo kisha wakiingia kwenye mtihani wa mchujo maswali yanakuwa ni yaleyale. Hii inajustify jinsi sekretariat ambayo ilikuwa na weredi inavyopoteza weredi huo.
Pili, kumekuwa na trend isiyoeleweka ya kushortlist watu kutoka kwenye usaili wa mchujo kwenda katika usaili wa mahojiano. Kwa mfano kuna usaili unakuta wamechukua hadi marks 50. Hoja yangu sio kwamba ni lazima kuchukua hadi 50 hapa, hoja yangu ni hii randomness katika kushortlist. Kwa nini kusiwe na systematic method ya kushortlist watu kutokana na idadi ya nafasi? Unakuta kuna baadhi ya sehemu wanashortlist watu hata 20 kwa nafasi moja na kuna sehemu nyingine wanashortlist watu wa 5 kwa nafasi moja.
Kilichotoea usaili wa NHC siku ya trh 02/04/2022 ni aibu kubwa sana.
Kuna kada zilikuwa zinahitaji nafasi 3 mfano, Uhandisi Umeme (Electrical Engineering), uhandisi mitambo (Mechanical Engineering), na uhandisi Ujenzi (Civil Engineering). Ila cha kushangaza sekretariat ya ajira wameshortlist watu 10 kwa Uhandisi umeme, nafasi 7 kwa uhandisi mitambo, na nafasi 8 kwa uhandisi majengo. Yaani kama uhandisi umeme mmeishia marks 84, mkimaanisha mtu wa marks 82 hafai kuingia kwenye usaili wa mahojiano, hamuoni aibu??? Mbona haikuaga random kiasi hiki? Basi mngetudanganya hata kwa kushortlist idadi sawa ya watu katika nafasi hizo, mfano mnngeshortlist 10, 8, au 7 kwa kila nafasi maana zote zina nafasi 3.
Kutokana na kashfa ya kuvuja kwa mitihani hivi karibuni ikiwemo mitihani ya NHC ni wazi mchakato wa interview wote ni batili kabisa. Na ukichukua hilo la kuvuja mitihani na jinsi mmevyoshortlist ni wazi kuwa mmefanya maksudi ili watu waliofaulu mchujo wasiwe na ushindani mkubwa kwenye mahojiano. Ili itoe nafasi kwa waliopa mitihani hiyo kupata ajira kirahisi.
Kwa kamalizia, ni wazi aliekamimishwa nafasi na katibu kashindwa kuimudu nafasi hiyo mapema. Ni vyema mamlaka husika zisimpitishe kuwa katibu kamili.