zous
JF-Expert Member
- Sep 25, 2017
- 3,927
- 6,656
Sijachagua Mimi. Wanasema walioapo Dubai. Hauna jamaa kule uwasiliane nao?
kwa hio ww umeambiwa na jamaa zako wa dubai ..ambao bila shaka ni wabongo wenzetu ambao hata 10 hawafik waliokuambia ivo..sasa cc hatukuwahi fanya lockdown kaigaje mfano wetu na wapi wameandika wamefata mfano wetu
Sent using Jamii Forums mobile app