Dubai yafata msimamo wa Magufuli, imeondoa lockdown ya Corona

Dubai yafata msimamo wa Magufuli, imeondoa lockdown ya Corona

😀😀😀😀, Why umechagua Magufuli? Kwasababu hata China wametoa lockdown, na Ghana nao pia wametoa Lockdown kwa baadhi ya miji.
Sijachagua Mimi. Wanasema walioapo Dubai. Hauna jamaa kule uwasiliane nao?
 
Yani waislam wa Dubai wafuate mfano wa kafiri muafrica jiwe?
You are not serious. Subiri kwanza we are not even at the peak. Msianze kumsifia kwanza.
Yani huyu jamaa atakuja kuidbukiza nchi kwenye mto. Kwa sababu na madudu yote haya na pumba zote ila kuna wajinga wapo nyuma yake wanashangilia.
Its too sad!
Utasubiri sana man
 
FaizaFoxy, Nafikiri huyo hajakupa taarifa kwa usahihi, kilichofanyika ni 30 % ya shughuli za kibiashara hasa shopping malls na kiofisi kufunguliwa kuruhusu in a controlled way watu kupata mahitaji muhimu na kusupport uchumi siyo totally opened. Still kuna cases nyingi za covid-19


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri huyo hajakupa taarifa kwa usahihi, kilichofanyika ni 30 % ya shughuli za kibiashara hasa shopping malls na kiofisi kufunguliwa kuruhusu in a controlled way watu kupata mahitaji muhimu na kusupport uchumi siyo totally opened. Still kuna cases nyingi za covid-19


Sent using Jamii Forums mobile app
Tazama video.
 
FaizaFoxy,
Yaani MATAGA kweli wamekuwa misukule na kuchezewa shere na watindiga kama kitenesi.

mwenzao kaji lockdown Chato lakini wao waambiwa wachape kazi kujenga uchumi na wanashangilia na kukenuakenua.

pathetic!!
 
Dubai walifanya kazi kubwa sana kupima watu wote mwanzoni hili kuzuia maambukizi. Hata kama mtu huna dalili, walishughulikia hili swala mwanzoni
 
Back
Top Bottom