FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
- Thread starter
- #141
Nyie wapinga maendeleo, mambo ya Dubai tu mnahororoja na kubwabwaja bila mpango, sasa nimekuja na hii ya USA...
COVID-19: Magufuli asifiwa duniani; Tanzania imeibuka mshindi kwa kuishinda US kwa kulinganishwa namna walivyoendesha mapambano yao dhidi ya Corona... - JamiiForums
Haya njooni mbweke na huku.
COVID-19: Magufuli asifiwa duniani; Tanzania imeibuka mshindi kwa kuishinda US kwa kulinganishwa namna walivyoendesha mapambano yao dhidi ya Corona... - JamiiForums
Haya njooni mbweke na huku.