Dubai yafata msimamo wa Magufuli, imeondoa lockdown ya Corona

FaizaFoxy

Platinum Member
Apr 13, 2011
92,881
109,191
Kama heading inavyosomeka, Katikati ya jiji la Dubai shangwe na furaha ya kuondolewa lockdown ya Corona jijini hapo.

Wenye ndugu, jamaa na marafiki huko, tulipowasiliana nao, baadhi yao wakasema, "it's obvious" kiongozi wao hapo kafata nyayo za Rais Magufuli kuondoa lockdown.

Ukitazama uhusiano wa kidiplomasia na kihistoria uliopo baina ya Tanzania na UAE, hususan Dubai, kiongozi wa Dubai kufata nyayo za Magufuli si la kushangaza. Kuna uwezekano huwa anapata habari za kwetu mara kwa mara kwani ana watu wa karibu yake kabisa katika ukumbi wake ambao wana asili za Tanzania kwa namna moja au nyingine.

Hongera Dubai, Hongera Magufuli...

Yani waislam wa Dubai wafuate mfano wa kafiri muafrica jiwe?
You are not serious. Subiri kwanza we are not even at the peak. Msianze kumsifia kwanza.
Yani huyu jamaa atakuja kuidumbukiza nchi kwenye mto. Kwa sababu na madudu yote haya na pumba zote ila kuna wajinga wapo nyuma yake wanashangilia.

Its too sad!
 
Yani waislam wa Dubai wafuate mfano wa kafiri muafrica jiwe?
You are not serious. Subiri kwanza we are not even at the peak. Msianze kumsifia kwanza.
Yani huyu jamaa atakuja kuidbukiza nchi kwenye mto. Kwa sababu na madudu yote haya na pumba zote ila kuna wajinga wapo nyuma yake wanashangilia.
Its too sad!
Ficha upumbavu wako usifiche hekima zako.
 
Yani waislam wa Dubai wafuate mfano wa kafiri muafrica jiwe?
You are not serious. Subiri kwanza we are not even at the peak. Msianze kumsifia kwanza.
Yani huyu jamaa atakuja kuidbukiza nchi kwenye mto. Kwa sababu na madudu yote haya na pumba zote ila kuna wajinga wapo nyuma yake wanashangilia.
Its too sad!
Hiyo lift ya lockdown ya Dubai imeanza jana si muda mrefu sana baada ya hotuba ya Magufuli kutokea Chato. Jinyonge.
 
"Kafuata nyayo za magufuli kuondoa Lockdown "
Okay ni lini na sisi tulifanya hiyo Lockdown?

Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli hakuweka kabisa lockdown, Dubai wamefata nyayo za Magufuli wameondoa lockdown wamejionea wacha wafate ushauri wa huyu Mzee wa Tanzania, Wameona waondoe hofu kama alivyoshauri Magufuli jana.

Jitundike kama umekasirika.
 
Back
Top Bottom