Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,242
- 18,419
Hata hapa kwetu ikitokea tikafikia kuwa na asilimia zero ya maambukizi tuta celebrate!! Whether in lockdown or not, hiyo reply yako hapo imekaa ki kanjanja zaidi, haijazingatia ulinganifu, wale wanasherehekea mengine na sisi tunafanya mengine, halafu kichaa mmoja aseme tuungane nao kusherehekea wakati case yao na yetu ni tofauti basi wote tutakuwa vichaa!!Waandike vyovyote lakini hayo yametokea si muda mrefu baada ya hotuba ya Magufuli.
Dubai Oyee, Magufuli oyee.
Wao wanasherehekea kumaliza tatizo kwa njia zao (lockdown included) sisi bado tunapambana na janga linalozidi kukua siku hadi siku, kama hii non-lockdown method ingekua productive kiasi hicho basi sisi tulipaswa tuwe tumesha celebrate hata kabla yao,lakini bado sisi hata bado hatujajua kama njia yetu hii itakuwa sahihi ama la!! Ungesubiri kidogo hadi kasi ya maambukizi ishuke kabisa kama huku dubai ndipo tuone kama tuna sababu ya kusherehekea njia hii yetu au la, huwa unatumia kilevi?
Sent using Jamii Forums mobile app