Unachojua ni kipi?
Umebishana nami kuhusu sehemu usiyoijua.
Ningeweza kubishana nawe kuhusu sehemu ambayo haipo, na wewe ungebisha tu.
Nimekupa nafasi utueleze unajua nini, umesema unajua kisu.Nisiyoijua kivipi?
Kwaa kutowahi kufika ama kutowahi kuiskia?
Mbona ksuli yangu ilihusisha kutokuijua na kutowahi kufika.wewe unakusudia siijui kwa namna gani?
Umebishana nami kuhusu sehemu usiyoijua.
Ningeweza kubishana nawe kuhusu sehemu ambayo haipo, na wewe ungebisha tu.
Nimekupa nafasi utueleze unajua nini, umesema unajua kisu.
Umebishana nami kuhusu sehemu ambayo huijui.
Huna hata utashi wa kuuliza maswali ya maana.
Dini imekulemaza fikra.
Unabishana bila utashi kama nungunungu anayebiringita bila kutumia ubongo wala uti wa mgongo.
Kuhusu hizo sehemu ulisema lipi kuhusu hizo sehemu nikakubishia ?Unataka kusema hujabishana nami?
Umebishana nami kuhusu sehemu usiyoijua.Sehemu nisiyoijua kivipi umejibu?
Au na wewe hujui unachouliza?
Nakuuliza tena kwa herufi kubwa unijibu..
SEHEMU NISIYOIJUA KWA KUTOKUFIKA AMA SEHEMU NISIYOIJUA KWA KUTOWAHI KUISIKIA?
Hayo maneno yako mengine nimeyazoea ni katika vile vijembe vyako ambavyo navipuuza.
Bahati nzuri wadau wanafatilia comment.Umebishana nami kuhusu sehemu usiyoijua.
Kwa sababu huna hata utashi wa kuuliza maswali muhimu kabla ya kubishana.
Nimekupa nafasi kuelezea unavyoijua vyovyote.Bahati nzuri wadau wanafatilia comment.
Wewe ni mtu ambae unadanda kama kima au komba.
Nakuuliza SEEHEMU NISIYOIJUA UNAMAANISHA NISIYOIJUA KWA KUISIKIA AMA NISIYOIJUA KWA KUTOKUWAHI KUFIKA?
mbona hili swali hujibu,au siku hizi umeanza kupuuza maswali tofauti na zamani ulikuwaavukisema unajibu maswali yote labda usiyaone?
Nimekubishia kwa lipi kuhusu hizo sehemu ?Hujajibu swali langu.
Hujanishana nami? Kuhusu hizo sehemu zipi zisizo na jina?
We ngumbaru unaelewa hata kubisha ni nini?Nimekubishia kwa lipi kuhusu hizo sehemu ?
Umesema jambo gani kuhusu hizo sehemu nikabisha?
Umeniuliza sizijui,na mimi nakuuliza sizijui kivipi hutaki kujibu.... Sasa mtu kama wewe nakusaidiaje?
Nimekupa nafasi kuelezea unavyoijua vyovyote.
Ukakimbikia kusema unajua kisu.
Wewe ni ngumbaru ambaye si tu hujui, bali pia hujui hata kwamba hujui.
Sio kubisha tu bali KUBISHA KUHUSU SEHEMU ULIZOTAJA NI NINI?We ngumbaru unaelewa hata kubisha ni nini?
Nimekubishia kwa lipi kuhusu hizo sehemu ?
Umesema jambo gani kuhusu hizo sehemu nikabisha?
Umeniuliza sizijui,na mimi nakuuliza sizijui kivipi hutaki kujibu.... Sasa mtu kama wewe nakusaidiaje?
We ngumbaru unaelewa hata kubisha ni nini?
Wewe mpumbavu unaelewa kwamba ulishakubali kwamba hujui?
Na sasa unauliza huzijui kivipi?
Unaelewa hata unachotaka kusema mwenyewe ni kipi?