Dubai Burj Khalifa: Ramadan fast 'lasts longer high up'

Dubai Burj Khalifa: Ramadan fast 'lasts longer high up'

Sio kubisha tu bali KUBISHA KUHUSU SEHEMU ULIZOTAJA NI NINI?
Unabishana kuhusu vitu ambavyo huvijui.

Kwa kuamini Quran ina majibu yote.

Bloody fucking idiot.

Idiots like you are the reason I don't cike to this forum anymore.

You are are a fucking nincompoop.

Sasa nikutukane tu.

Maana mjadala nami huwezi.

Bloody fucking pigmy.
 
Aahahhahaha ukininyoshea kidole kimoja cha upumbavu basi vidole vinne vyarudia kwako.
Wewe mpumbavu unaelewa kwamba ulishakubali kwamba hujui?

Na sasa unauliza huzijui kivipi?

Unaelewa hata unachotaka kusema mwenyewe ni kipi?
 
Aahahhahaha ukininyoshea kidole kimoja cha upumbavu basi vidole vinne vyarudia kwako.
I am relegating you to my ignore list.

I have no business replying to you.
 
Ahahahhahhahahahhaahahahahhahahahha.

Aiseee ndiyo raha ya kuzungumza na kiranga hii,atapanic tu mwisho wa siku anapoona kwamba hana majawabu.


Hapo unataka uhame mada sasa.

Narudia kukuuliza.

mimi niliposema sijui nilikusudia sijawahi kufika na nikakuambia kwamba hayo ndio makusudio yangu.

Sasa wewe unaposema "nabishana kuhusu sehemu ambayo siijui" je UNAMAANISHA SIIJUI KWAMBA SIJAWAHI KUFIKA AMA SIIJUI KWAMBA SIJAWAHI KUISIKIA AU SIIJUI KWA NAMNA GANI?

Siku hizi unaanza kukwepa maswali?

Alafu wewe ni mstaarabu sana.mana unatukana kwa kiingereza wakati mimi siijui hiyo lugha.kwa hyo kama unajitukana mwenyewe tu.
Unabishana kuhusu vitu ambavyo huvijui.

Kwa kuamini Quran ina majibu yote.

Bloody fucking idiot.

Idiots like you are the reason I don't cike to this forum anymore.

You are are a fucking nincompoop.

Sasa nikutukane tu.

Maana mjadala nami huwezi.

Bloody fucking pigmy.
 
I am relegating you to my ignore list.

I have no business replying to you.
Nakutakia safari njema.

Hii sio mara ya kwanza kuniweka katika ignore list.wewe niweke nitoe niweke nitoe utakavyo.

Mimi bado nipo hapa jf inshaAllah
 
Imekuuma sana mkuu jawabu langu wakati wewe ndo umeanza kutukana ? AHAHAHAHHAHHA.

Kiranga anafurahisha sana huyu bwana mdogo.
I am relegating you to my ignore list.

I have no business replying to you.
 
Sipo kujadili imani, najadili ukweli.

Imani kuna mpaka wanaoamini ng'ombe ni watakatifu, na wana haki ya kuamini hilo.

Lakini mtu akishaanza kuongelea habari za "kuthibitisha", hapo kashatoka kwenye imani tu, kaingia katika kutafuta ukweli unaoweza kuchunguzwa, kuhojiwa, kupingwa na kadhalika.

Kwenye hii post uliyoileta. Umeeleza juu ya utaratibu wa walioamua kuamini katika uislam na jambo moja muhimubkwao ni kufunga.

Ukahoji vizuri kabisa kwamba wanafanyaje zile siku ambazo jua linakuwepo kwa masaa 24 huko South Pole wanafanyaje? Kwenye maelezo hayo hayo uliyoleta wameelezea wanavyotatua inapotokea mambo kama hayo.

Nikakuuliza hao jamaa endapo umewahi kuzisoma hizo laws zilizotajwa, hukujibu, nikauliza tena ikiwa hao watu wanafunga au hawafungi haukujibu pia lakini ukaenda moja kwa moja kwamba Quran kwanini haikuandika mambo kama hayo.

Ulipoingiza Quran na Allah nikasema huko unagusa Imani. Ndio naona tumerudi hapa unaposema haujadili imani bali ukweli.
 
Kiranga angekuwa na akili na ufahamu mzuri kama wako nafikiri kuna baadhi ya mambo angekuwa ameyaelewa zamani sana.

Mtu anataka kitabu cha Mungu kitaje kila kitu,sasa hicho kitabu si kinaweza kujaa dunia nzima mana itabidi kinukuu kila kitu.

Kiranga akili na ufaham anavyo, ila hatuwezi kufanana.
 
Kiranga akili na ufaham anavyo, ila hatuwezi kufanana.
Sahihi kabisa.
Yeye ana ifahamu wake tofauti ambao anahisi yeye pekee ndo ana haki ya kusikilizwa na kujibiwa anachoulizwa.

Mara ya mwanzo nakumbuka niliumana nae maeneo flani ikaendaa akaniweka ingonre list.
Na leo tumeeendaaa kaniweka tena ignore list.

Mjanjamjanja flani hivi.
 
Bwana kiranga hawezi akakujibu hayo maswali kwa sababu anahisi hatuna haki ya kumuuliza,ukimuuliza maswali mazuri mfano wa yako anahamisha mada anakuuliza tena wewe mradi akwepe tu.

Nilimuuliza haapo nyuma kwamba

Mtume muhammad anasema

"kila chenye kulewesha ni haramu"

Je kauli hii haiwezi kuwa muongozo wa kuharamisha bangi,au safari laga hata kama havikutajwa kwa jina moja kwa moja?

Akaruka spidi 100.....
Kwenye hii post uliyoileta. Umeeleza juu ya utaratibu wa walioamua kuamini katika uislam na jambo moja muhimubkwao ni kufunga.

Ukahoji vizuri kabisa kwamba wanafanyaje zile siku ambazo jua linakuwepo kwa masaa 24 huko South Pole wanafanyaje? Kwenye maelezo hayo hayo uliyoleta wameelezea wanavyotatua inapotokea mambo kama hayo.

Nikakuuliza hao jamaa endapo umewahi kuzisoma hizo laws zilizotajwa, hukujibu, nikauliza tena ikiwa hao watu wanafunga au hawafungi haukujibu pia lakini ukaenda moja kwa moja kwamba Quran kwanini haikuandika mambo kama hayo.

Ulipoingiza Quran na Allah nikasema huko unagusa Imani. Ndio naona tumerudi hapa unaposema haujadili imani bali ukweli.
 
Unabishana kuhusu vitu ambavyo huvijui.

Kwa kuamini Quran ina majibu yote.

Bloody fucking idiot.

Idiots like you are the reason I don't cike to this forum anymore.

You are are a fucking nincompoop.

Sasa nikutukane tu.

Maana mjadala nami huwezi.

Bloody fucking pigmy.

Chief, you are by far better than this man. Despite our differences on some issues especially when it comes to faith, I do respect and admire your intellectual ability.

Tolerance and sometimes agreeing to disagree doesn't show weakness, rather kind of maturity.

Thanks
 
Sasa Allah aliyejua yote, kwa nini hakuweka miongozo yote kwenye Quran

Unakichwa kigumu sana,hii labda kutokana na ujinga wako. Umeshaambiwa kuna misingi ambayo inawaongoza watu kupata majibu ya kila kitu. Nikikutolea mfano wa wazi kabisa kuhusu uharamu wa madawa ya kulevya.
Kwa nini hakuweka muongozo wa watu kufunga wakiwa South Pole kabla hata hawajajua kuna South Pole?

Muongozo upo ndio maana wanafunga na kufungua.
Kwa nini hakushusha Quran kwa lugha za watu wote kwa mfano? Kwa nini Quran haikushushwa Kwa lugha za Africa pia?

Upi ulikuwa ulazima wa kushusha kwa lugha ya kiafrika hali ya kuwa wa mwanzo kushushiwa walikuwa ni waarabu ?

Pili,je hao wasio kuwa waarabu hawaijui Qur'aan ? Sisi wababntu hatuijui Qur'aan ?

Vioi mbona hulaumu kwanini hukuumbwa hali ya kuwa unajua kusoma na leo hii unajua kusoma ?

Unatakiwa uanze kujifunza kufikiri upya,nina hakika utafaidika pakubwa sana kuliko hivi unavyofikiri kitoto na kuooteza muda.
 
Mkuu.

Watu wa huko ambako giza 24 hrs na jua 24hrs wamewahi kuacha kufunga kwa kukosa Muongozo ndani ya Qurani?

Mwaka huu tunaona wamefunga,je wamefunga pasi na Muongozo?

Unaposema Muongozo kwa mujibu wa ibara zako hapa una maanisha nini?

Mfano.

Mtume muhammad anasema
"Kila chenye kulewesha haramu"

Hapo haikutajwa bangi,wala pombe,wala haikutajwa kitu kwa jina lake katika hayo maneno"

Je hayo maneno sio Muongozo wa kuwa safari laga,bangi,tembo ni haramu(kwa sababu vinaingia katika vile vyenye kulewesha) hata kama havikutajwa moja kwa moja kwa majina yake maalumu ?

Kama hajaelewa hapa,huyu atakuwa anafanya makusudi.
 
Sipo kujadili imani, najadili ukweli.

Imani kuna mpaka wanaoamini ng'ombe ni watakatifu, na wana haki ya kuamini hilo.

Lakini mtu akishaanza kuongelea habari za "kuthibitisha", hapo kashatoka kwenye imani tu, kaingia katika kutafuta ukweli unaoweza kuchunguzwa, kuhojiwa, kupingwa na kadhalika.

Sasa ndio uhoji vya maana na maswali ya msingi.
 
Unabishana kuhusu vitu ambavyo huvijui.

Kwa kuamini Quran ina majibu yote.

Bloody fucking idiot.

Idiots like you are the reason I don't cike to this forum anymore.

You are are a fucking nincompoop.

Sasa nikutukane tu.

Maana mjadala nami huwezi.

Bloody fucking pigmy.

Nacheka sana.

Huwezi kupiga pasi nguo chafu,zaidi ya kuonekana mjinga au hayawani.

Tuliza kichwa,tukiza akili,ajabu ya kupenda mijadala halafu kichwani mweupe matokeo yake ni kutukana.

Bora ujadiliane na wajuzi mia moja unaweza kuwashinda kwa hoja na ukajifunza jambo kuliko kushindana na mjinga mmoja,atakukadhibisha na kutoa matusi na usifaidike na lolote.
 
Bwana kiranga hawezi akakujibu hayo maswali kwa sababu anahisi hatuna haki ya kumuuliza,ukimuuliza maswali mazuri mfano wa yako anahamisha mada anakuuliza tena wewe mradi akwepe tu.

Nilimuuliza haapo nyuma kwamba

Mtume muhammad anasema

"kila chenye kulewesha ni haramu"

Je kauli hii haiwezi kuwa muongozo wa kuharamisha bangi,au safari laga hata kama havikutajwa kwa jina moja kwa moja?

Akaruka spidi 100.....

Hii ndio kawaida yake,na mimi kuna maswali yangu mengi hajibu anakimbia.
 
Siku hizi unaanza kukwepa maswali?

Kukimbia maswali haja anza leo wala jana,bali hii ndio tabia yake. Amekimbia sana maswali yangu.

Leo hii tu kuna mada moja tulikutana huko,nikamuuliza maswali kadhaa hajajibu hata moja,anakimbia kwa kuuliza maswali au kuhamisha mada.

Huyu kuna kioindi niliacha kujadiliana nae nikaamua kumfundisha sababu mweupe sana na elimu ya mijadala hana.

Namwambia tena kama hajui kitu,awe anaepuka mijadala.
 
Back
Top Bottom