Dubai Burj Khalifa: Ramadan fast 'lasts longer high up'

Dubai Burj Khalifa: Ramadan fast 'lasts longer high up'

Hakuna laws definite za Kiislamu zinazo cover kufunga sehemu kama Antarctica/South Pole ambako kuna siku jua linawaka kwa saa 24 huko.

Kwa sababu, Quran ilipoandikwa, walioiandika hawakujua kwamba kuna sehemu kama Antarctica/ South Pole ambako jua linawaka mpaka masaa 24 kwa siku.

Quran imeandikwa na watu, haikuandikwa na Mungu. Mungu hayupo.

Ila kila siku unavyozidi kuendeleza juu mjadala unafichua ujinga wako,kuna wakati kuna mambo unayaandika huwa nakupuuza lakini ajabu huwa hujistukii.

Hivi kuandika jambo mpaka muhusika awe ameandika yeye kwa dhati yake ? Huu ujinga umeupata wapi ?

Sasa kama hawakujua,inakuwaje wanafunga na kufanya ibada ?

Unajua kuna misingi mingapi ya sheria za kiislamu ?
 
...
Ni Sawa sawa mtu akuulize ni mstari/muongozo gani katika Biblia unaotaka waumini kutoa fungu la kumi kanisani halafu mtu ajibu kwa kuwa kwenye baadhi ya makanisa fungu la kumi huwa linatolewa basi muongozo lazima utakuwepo (hajajibu swali).

Atakayeweza aje na huo muongozo ili ajibu swali sio kuleta practice za watu ambazo sio muongozo wa kwenye kitabu au uislam kwa ujumla.

1. Muongozo kuwepo au kutokuwepo ni jambo linalojitegemea.
2. Muongozo kuwekwa au kutokuwekwa hapa haimaanishi haupo.

3. Kwenye mfano ulioutoa wa fungu la kumi. Uko tofauti kwa sababu hapa tunaongelea eneo maalum, South Pole. Kwa mantiki hiyo, endapo watu wa kanisa X wanatoa fungu la kumi na wewe unaeishi eneo Y unataka kujua watu wa kanisa X wanatumia muongozo gani, lazima ufanye juhudi za kujua hao watu wanatumia muongozo upi, vinginevyo hauwezi toa hitimisho kwamba muongozo haupo.

Lakini pia kwenye bandiko la msingi kutoka BBC wameeleza kwamba katika mambo kama haya, zipo sheria za kiislam zinazoongoza nini kifanyike, hapo hoja ilikua kwenye jengo refu.

Unauliza endapo mtu anazielewa hizo sheria au kujua mipaka yake, haijui lakini anahitimisha kwamba hakuna muongozo wa kitu ambacho hakikua msingi wa mwandishi.
 
1. Muongozo kuwrpo au kutokuwepo na jambo linalojitegemea.
2. Muongozo kuwekwa au kutokuwekwa hapa haimaanishi haupo.

3. Kwenye mfano ulioutoa wa fungu la kumi. Uko tofauti kwa sababu hapa tunaongelea eneo maalum, South Pole. Kwa mantiki hiyo, endapo watu wa kanisa X wanatoa fungu la kumi na wewe unaeishi eneo Y unataka kujua watu wa kanisa X wanatumia muongozo gani, lazima ufanye juhudi za kujua hao watu wanatumia muongozo upi, vinginevyo hauwezitoa hitimisho kwamba muongozo haupo.

Lakini pia kwenye bandiko la msingi kutoka BBC wameeleza kwamba katika mambo kama haya, zipo sheria za kiislam zinazoongoza nini kifanyike, hapo hoja ilikua kwenye jengo refu.

Unauliza endapo mtu anazielewa hizo sheria au kujua mipaka yake, haijui lakini anahitimisha kwamba hakuna muongozo wa kitu ambacho hakikua msingi wa mwandishi.
Exactly.

Kama hajaelewa hapo atakuwa ni kiranga amekuja na ID nyingine.

Kiranga anapinga sio kwamba kasomaa katafuta na akaona hakuna muomgozo,bali anapinga kwa sababu haamini uwepo wa Mungu.

Na kiranga kutokuamini kwake uwepo wa Mungu kunamfanya akatae mambo mengi hadharani kwa sababu wakati mwingine anapoyakubali anaona yatambana kumkubali uwepo wa Mungu.

Hivyo analazimika kuishi kwa tabu sana na kupimga vitu vingi
 
Huu mjadala kwa mtu mwenye akili na kufatilia hoja ulishaisja zamani sana.

Kiranga alianza kujibiwa tangu huko mwanzo na Safuher,mimi nikaja kumjibu na kumuonyesha ya kuwa sisi tumepewa misingi ambayo juu yake kunazalikana mambo mengine. Nikamtolea mfano wa uharamu wa madawa ya kulevya,hakuna aya katika Qur'aan inayozungumzia madawa ya kulevya,ila kutokana na msingi wa Qiyaasi unakuta madawa ya kulevya yanaingia katika uharamu kutokana na uharamu wa pombe kama ndio asili.

Nikaja kumtolea mfano wa masiku atakayo dhihiri masahi Dajjaal,ya kuwa siku moja itakuwa kama mwezi,na itashuka siku moja itakuwa kama juma moja,maswahaba wakamuuliza mtume itakuwaje katika sala jambo hilo ? Mtume akawaambia mtasali kwa makadirio,hii inaonyesha kwa siku moja kuwa kama mwezi ni ngumu kujua machweo na mawio na huko huko watu wa huko muongozo wao ni kuwaangalia majirani zao au wakadirie. Sasa kwa majibu haya akitokea mtu kusema hajajibiwa lazima tumuone mjinga na anapoteza muda na kutaka kurefusha mambo.
angalau sasa wewe umeanza kuja kwenye swali la msingi.

Je siku atakayo dhihiri Daijaal inahusiana chochote na kufunga?, ili kuweka rekodi sahihi hili andiko ulilotuwekea limetoka wapi , kwenye QURAN au wapi maana sio kila mtu ni muislam.

Kingine, hapo ambapo maswahaba waliuliza muda wa kuswali wakaambiwa wakadirie kunahusiana nini na kufunga/kufturu/?
 
1. Muongozo kuwepo au kutokuwepo ni jambo linalojitegemea.
2. Muongozo kuwekwa au kutokuwekwa hapa haimaanishi haupo.

3. Kwenye mfano ulioutoa wa fungu la kumi. Uko tofauti kwa sababu hapa tunaongelea eneo maalum, South Pole. Kwa mantiki hiyo, endapo watu wa kanisa X wanatoa fungu la kumi na wewe unaeishi eneo Y unataka kujua watu wa kanisa X wanatumia muongozo gani, lazima ufanye juhudi za kujua hao watu wanatumia muongozo upi, vinginevyo hauwezi toa hitimisho kwamba muongozo haupo.

Lakini pia kwenye bandiko la msingi kutoka BBC wameeleza kwamba katika mambo kama haya, zipo sheria za kiislam zinazoongoza nini kifanyike, hapo hoja ilikua kwenye jengo refu.

Unauliza endapo mtu anazielewa hizo sheria au kujua mipaka yake, haijui lakini anahitimisha kwamba hakuna muongozo wa kitu ambacho hakikua msingi wa mwandishi.

swali la msingi ni muongozo upo?, kama upo umetajwa wapi...

ukijibu kwamba muongozo kuwekwa au kutokuwekwa haimaniishi haupo unataka tufuate imani kwa kuassume wakati tunaambiwa QURAN haijaacha kitu, bora useme hujui kuliko kutoa majibu mepesi mepesi
 
angalau sasa wewe umeanza kuja kwenye swali la msingi.

Je siku atakayo dhihiri Daijaal inahusiana chochote na kufunga?, ili kuweka rekodi sahihi hili andiko ulilotuwekea limetoka wapi , kwenye QURAN au wapi maana sio kila mtu ni muislam.

Kingine, hapo ambapo maswahaba waliuliza muda wa kuswali wakaambiwa wakadirie kunahusiana nini na kufunga/kufturu/?

Swali zuri,nakujibu kwa kuuliza swali. Jua huwa liko ndani ya masaa ya 24 kwa ukamilifu wa siku. Sasa jiulize jua litakuwaje au lita chomoza vipi katika siku moja ambayo ni sawa na mwezi mmoja,kwa maana siku 29 au 30. Itakuwaje kuchomoa kwake au kuzama kwake ? Ndio maana likaja suala la kukadiria katika mazingira kama hayo.

Nashangaa hujaona wapi kufunga kunaingia katika mfano huo,kufunga kunaingia katika mfano katika ile kanuni au agizo la kukadiria.

Wa islamu kwa siku tuna sali vipindi vitano vipi tusisali ikitokea urefu wa siku moja ni sawa na masiku 29 ? Jibu lazima tusali ila kwa kukadiria muda,ndio maana hata hao ambao ni jua masaa 24 kama mnavyodai lazima wafunge na funga haiachani na sala,kwa kukadiria. Jambo liko wazi sana hili.
 
swali la msingi ni muongozo upo?, kama upo umetajwa wapi...

ukijibu kwamba muongozo kuwekwa au kutokuwekwa haimaniishi haupo unataka tufuate imani kwa kuassume wakati tunaambiwa QURAN haijaacha kitu, bora useme hujui kuliko kutoa majibu mepesi mepesi

Ukweli Qur'aan haija acha kitu na ni muongozo kwa wamchao Allah, Allah aliye juu anasema "Waulizeni wenye kujua ikiwa nyinyi hamjui" . Huu ni muongozo kwa kujua mambo mengine. Huwezi kukuta kwenye Qur'aan mambo ya kuhusu uvuvi au uhandisi,ila imekupa muongozo wa kuuliza wanaojua mambo ya uhandisi ikiwa wewe hujui,hii ni maana pia ya kuwa haija acha kitu.
 
Swali zuri,nakujibu kwa kuuliza swali. Jua huwa liko ndani ya masaa ya 24 kwa ukamilifu wa siku. Sasa jiulize jua litakuwaje au lita chomoza vipi katika siku moja ambayo ni sawa na mwezi mmoja,kwa maana siku 29 au 30. Itakuwaje kuchomoa kwake au kuzama kwake ? Ndio maana likaja suala la kukadiria katika mazingira kama hayo.

Nashangaa hujaona wapi kufunga kunaingia katika mfano huo,kufunga kunaingia katika mfano katika ile kanuni au agizo la kukadiria.

Wa islamu kwa siku tuna sali vipindi vitano vipi tusisali ikitokea urefu wa siku moja ni sawa na masiku 29 ? Jibu lazima tusali ila kwa kukadiria muda,ndio maana hata hao ambao ni jua masaa 24 kama mnavyodai lazima wafunge na funga haiachani na sala,kwa kukadiria. Jambo liko wazi sana hili.
sawa mkuu,

1. Hujanambia huo muongozo umeutoa kwenye QURAN AU chanzo gani.
2. Muongozo unaoutoa sioni kama unahusiana na suala la kufunga na kufungua kwa maana kwamba muongozo wako unazungumzia kuswali na sote tunajua waislam mnaswali mara 5 kwa siku lakini kwenye suala la kufturu licha ya kwamba linaambatana na kuswali ni vitu viwili tofauti maana kufturu hufanywa kwenye mwezi wa ramadhan pekee, sasa sio ufanano wowote kwenye muongozo uliokuja nao maana ni wazi maswahaba walikuwa wanauliza utaratibu wa kuswali ambao upo kila siku na sio utaratibu wa kufturu ambao huwa upo katika mwezi maalum unless uje na andiko au muongozo utakaosema waislam wanaruhusiwa kukadiria kwenye jambo lolote lile (sio huu muongozo unaotaja swala specifically ) .
 
Daah,unanisikitisha sana. Unakwama wapi ? Hili jambo nilieleza sana mara kadhaa.

Ukiambiwa asili unaelew nini ?

Nilikwambia hivi,kuna mambo huwezi kuta katika Qur'aan wala katika sunnah yakiwayametajwa,ila Qur'aan na Sunnah imetoa muongozo wa kuyafanya na kuyaendea hayo mpaka siku ya kiyama.

Nakupa mfano sasa ili ujue muongozo wa hilo uko wapi. Kwenye Uislamu imetajwa pombe kuwa ni haramu,lakini hukuti bangi au madawa ya kulevya kama yametajwa,ila katika sheria ya kiislamu viwili hivyo ni haramu. Swali kwanini ni haramu wakati havija tajwa ? Jibu umetumika msingi wa Qiyaas Sahihi,huu ni msingi na muongozo katika sheria ya kiislamu. Msingi huu una mambo manne,nayo ni :
1. Asili 2. Hukumu 3. Matawi 4. Ila (Madhara,Dosari).

Chukua mfano wa madawa ya kulevya umekuwa ni haramu sababu umeoitia katika vipengele hivyo vinne.

1. Asili ni Pombe ambayo pombe imeharamishwa.
2. Hukumu ya pombe ni haramu,na imeingia humo madawa ya kulevya
3. Matawi ni Bangi na madawa ya kulevya yenyewe.
4. Ila yaani madhara ya ni kuharibu afya ya akili na mwili.

Hitimisho ni kuwa madawa ya kulevya ni haramu.

Ukirudi katika Suala la kufturu kwanza kabisa weka akilini mwako hapa unazungumziwa muda.

1. Asili ni ile athari ya mtume na hii athari ya masiku atakapo dhihiri Dajjaal,kwamba watu walisali kwa kukadiria muda.
2. Hukumu ni wajibu watu kusali.
3. Matawi ni hizi kadhia za watu waishio sehemu kuna jua masaa 24 na nyinginezo na zitakazo kuja mpaka kiyama kina simama.
4. Ila hakuna madhara katika kufanya hivyo.

Kwahiyo msingi wa kufuturu kwa watu hao ni ile asili ya makadirio ya muda katika sala,na msingi huo ni Qiyaasi Sahihi.

Allah anajua zaidi.
 
swali la msingi ni muongozo upo?, kama upo umetajwa wapi...

ukijibu kwamba muongozo kuwekwa au kutokuwekwa haimaniishi haupo unataka tufuate imani kwa kuassume wakati tunaambiwa QURAN haijaacha kitu, bora useme hujui kuliko kutoa majibu mepesi mepesi

Iko hivi, narudia tena waislam waliopo South Pole au zile nchi ambazo mawio na machweo ya jua yapo tofauti na sehem zingine WANAFUNGA. Wala hawajawahi kuacha kufunga. Ntakua wa ajabu sana endapo ntasema watu hao wanafanya hivyo bila muongozo au utaratibu wowote.

Tukija kwenye hoja yako, ni kweli mimi sio muislam na ukiniuliza Quran imeandikwa vipi sitaweza kukujibu. Nachoshukuru nna akili inayoniongoza kutafakari na kuchanganua mambo mbalimbali.

Kama shida yako ni kuwekewa hapa hizo taratibu kutoka kwangu, sitaweza lakini endapo utarudi mwanzo alivyouliza mleta mada kwamba waislam wanafanyaje kwenye hayo mazingira, jibu ni kwamba wanafunga.
 
Jamaa gani? Alikufuata PM lini? Unaweza kuweka PM hapa kama ushahidi ili tujue unasema kweli na si mzushi tu?
Si Unautaka ushahidi, huo hapo.
Screenshot_20190604-233910.jpeg
 
Si Unautaka ushahidi, huo hapo. View attachment 1117988
Sasa unachotaka kuniambia ni nini hapa?

Nakueleza kwamba tulijibizana uzi ukafutwa.Uzi ulifutwa kabla sijaona jibu lako, nikataka kujua ulijibu nini, kwa sababu mimi si mtu wa kuacha mjadala hata uzi ukifutwa.

What exactly is your point again?

Nilikwambia utoe ushahidi kwa sababu umeongea kijumla jumla kama mtu usiyejua exactitude, na mimi sikukumbuki, najibizana na watu kibao kwenye PM daily.

What is your point? That is, if you have any.
 
Sasa unachotaka kuniambia ni nini hapa?

Nakueleza kwamba tulijibizana uzi ukafutwa.Uzi ulifutwa kabla sijaona jibu lako, nikataka kujua ulijibu nini, kwa sababu mimi si mtu wa kuacha mjadala hata uzi ukifutwa.

What exactly is your point again?

Nilikwambia utoe ushahidi kwa sababu sikukumbuki, najibizana na watu kibao kwenye PM daily.

What is your point?
Ushasahau mjadala ulikushinda ukaanza kukwepa maswali, nikaona niache kujibizana na wewe
 
Ushasahau mjadala ulikushinda ukaanza kukwepa maswali, nikaona niache kujibizana na wewe
Waache watu baki waseme nani kashinda mjadala na nani kashindwa.

Wewe mwenyewe umecheza mechi halafu wewe mwenyewe unataka kuwa referee tena?

Are you for real?

Unaweza kuurudisha mjadala hapa tuendeleze libeneke?

Leta thread hapa tuendelee.
 
Huna mambo bwana mdogo.
 
Back
Top Bottom