Dubai Burj Khalifa: Ramadan fast 'lasts longer high up'

Maoni yako ni yapi kuhusu huu mstari nilionukuu kwenye post yako ya awali?

Ikiwa unataka kujua wanashughulika vipi na mfungo kwenye hayo maeneo, wameeleza jinsi wanavyofanya. Lakini pia kumbuka hawaja wai acha kufunga kisa hakuna muongozo.

Ikiwa tatizo ni Quran kutokuandika kuhusu South Pole, hilo ni jambo jingine linalohitaji mjadala mwingine kabisa.
Wamelinganisha jengo refu na mlima, mlima ni kitu kilichojulikana tangu awali, mlima, kwa maeneo yaliyojulikana enzi hizo wanaandika Quran na sheria hizi za Kiislamu, hauna 24 hour daylight.

Mimi naongelea muongozo wa kufunga sehemu ambayo jua linawaka kwa masaa 24, kama nilivyoweka kwenye links hapo juu.

Hakuna muongozo wa kufunga sehemu hizo as far as I know, kama upo uletwe hapa.

Nimeomba muongozo huu sijapewa, kwa sababu, walioandika Quran na sheria za kufunga hawakujua kwamba kuna sehemu ina jua linalowaka kwa masaa 24 dunia hii.

Na siwezi kuwashangaa, kwa sababu naona kuna watu mpaka leo wana mitandao yote lakini hawajui kwamba kuna sehemu jua linawaka kwa masaa 24 ya siku dunia hii.
 
Hiyo umesharudia mara kadhaa kwamba Quran haijaandika kuhusu South Pole ambako kuna wakati jua lipo masaa 24.
Lakini kwanini haujibu endapo hao jamaa wanafunga au hawafungi wakati wa hicho kipindi? Unafikiri hakuna muongozo?
 
Mtume muhammad anasema..

"KILA CHENYE KULEWESHA NI HARAMU"

Kwa unavyoona wewe Maneno hayo ya mtume hayawezi kuwa Muongozo wa kuharamisha bangi,safari laga,tembo au ulaka hata kama pombe hizo hazikutajwa kwa majina lakini jee kama zinalewesha haitoshi maneno ya mtume hapo juu kuwa muongozo wa kuharamisha hizo pombe?
 
Wamelinganisha jengo refu na mlima, mlima ni kitu kilichojulikana tangu awali, mlima, kwa maeneo yaliyojulikana enzi hizo wanaandika Quran na sheria hizi za Kiislamu, hauna 24 hour daylight.

Mimi naongelea muongozo wa kufunga sehemu ambayo jua linawaka kwa masaa 24, kama nilivyoweka kwenye links hapo juu.

Hakuna muongozo wa kufunga sehemu hizo as far as I know, kama upo uletwe hapa.

Nimeomba muongozo huu sijapewa, kwa sababu, walioandika Quran na sheria za kufunga hawakujua kwamba kuna sehemu ina jua linalowaka kwa masaa 24 dunia hii.

Na siwezi kuwashangaa, kwa sababu naona kuna watu mpaka leo wana mitandao yote lakini hawajui kwamba kuna sehemu jua linawaka kwa masaa 24 ya siku dunia hii.
Kamanhawana muongozo unafikiri kwa nini wanafunga?

Jee waliwahi kuacha kufunga kwa kuwa hakuna muongozo?
 
Hiyo umesharudia mara kadhaa kwamba Quran haijaandika kuhusu South Pole ambako kuna wakati jua lipo masaa 24.
Lakini kwanini haujibu endapo hao jamaa wanafunga au hawafungi wakati wa hicho kipindi? Unafikiri hakuna muongozo?
Muongozo ukpo wapi? Si nimesema hapo juu nimeomba muongozo hapa, watu wameshindwa kuuleta?

Au kuna muongozo umeletwa hapa?
 
Mkuu, wewe kutokuuona muongozo haimaanishi haupo, na maelezo ya awali wanakwambia THERE ARE ANCIENT PRECEDENTS IN ISLAMIC LAW, na hiyo ndio inawafanya wajue namna ya kufunga na kupambana na nyakati kama hizo. Kama wanafunga siku zote na wamekuwa wakifanya hivyo inamaana ipo namna inayotoa muongozo.

The clerics say there are ancient precedents in Islamic law.

Uislam ni wa waislam, wana namna yao ya wanavyofanya mambo, wanamiongozo na taratibu zao ambazo kwa asiyemuislam zinaweza zisilete maana.

Naona hoja inataka kuhama kutoka kwenye waislam walioko huko South Pole wanafanyaje wakati wa mfungo hasa wakati ambapo jua lipo masaa 24, taratibu tunataka kwenda kuhoji kwanini Quran haina muongozo wa hilo jambo.

Hauwezi kusema muongozo haupo ikiwa watu wanafunga na wamekua wakifanya hivyo siku zote. Kwa vile mimi au wewe hatujauona muongozo haimaanishi haupo.

Ungejiuliza hao watu wanafunga au hawafungi na endapo wanafunga wanatumia utaratibu gani? Ungepata majibu ya haya maswali yako.
 
Umeelewa kwamba muktadha wa hizo ancient precedents ni kuhusu mlima na majengo marefu, si sehemu yenye jua linalowaka masaa 24 kwa siku?

Huo muongozo wa kufunga sehemu ambayo jua linawaka masaa 24 kwa siku uko wapi?
 
Under such rulings, umeelewa ni rulings zipi? ancient precedents in Islamic law haziongelei milima pekee, zina mambo mengi ila hapo zimeletwa kutokana na maudhui ya habari. Na hiyo ni kwa vile habari kuu ni jengo refu la Burj Khalifa, endapo mwandishi angeongelea South Pole kwenye jua kuwaka masaa 24, wangeleta kipengere kinacho rule kwenye hayo mazingira. Hauwezi kutumia maelezo ya hapa yanayoongelea jengo refu kukosoa au kudai muongozo wa jambo lingine, hata hiyo kutaja milima mirefu ni utashi wa mwandishi na aina ya maswali aliyoamua kuuliza.

Mbona haujibu kama watu wa kwenye hilo eneo wanafunga au hawafungi? Na iwapo wanafunga, ni muongozo upi wanatumia?

Mr Qubaisi said that under such rulings, people living on mountains should also break their fast after those at ground level.
Ramadan began last week.

The clerics say there are ancient precedents in Islamic law.
 
Under such rulings, umeelewa ni rulings zipi? ancient precedents in Islamic law haziongelei milima pekee, zina mambo mengi ila hapo zimeletwa kutokana na maudhui ya habari. Na hiyo ni kwa vile habari kuu ni jengo refu la Burj Khalifa, endapo mwandishi angeongelea South Pole kwenye jua kuwaka masaa 24, wangeleta kipengere kinacho rule kwenye hayo mazingira. Hauwezi kutumia maelezo ya hapa yanayoongelea jengo refu kukosoa au kudai muongozo wa jambo lingine, hata hiyo kutaja milima mirefu ni utashi wa mwandishi na aina ya maswali aliyoamua kuuliza.

Mbona haujibu kama watu wa kwenye hilo eneo wanafunga au hawafungi? Na iwapo wanafunga, ni muongozo upi wanatumia?
Nimekwambia hivi, nipe ancient rulings zinazoelezea jinsi ya kufunga sehemu ambayo jua linaangaza kwa masaa 24 ya siku, tumalize mjadala.

Hujanipa hizo rulings.
 
Sina hizo rulings, na haimaanishi hazipo, na hii habari uliyoitoa BBC haiongelei sehem ambazo jua linaangaza masaa 24 ya siku.
Kwa kuwa waislam wa huko wanafunga inamaana zipo, hazijatajwa kwenye hii habari kwa kuwa haikuwa lengo la mwandishi.
 
Mjadala wako umeuibulia hapa

Sasa kama muislamu uko North pole unafanya research na jua halizami kwa Ramadhan yote utafanyaje hapa?

Jibu ni kwamba wanafunga. Wanatumia muongozo upi hilo sifaham.
 
Mjadala wako umeuibulia hapa

Jibu ni kwamba wanafunga. Wanatumia muongozo upi hilo sifaham.
Unaongelea jambo ambalo hufahamu.

You don't know what you are talking about.
 
Ok, unaefaham nijibu basi, watu wanaoishi South Pole ambapo jua linaangaza masaa 24 wanatumia utaratibu gani?
Hili swali haujajibu tokea awali
 
Hakuna utaratibu.

Kwa nini hakuna utaratibu?

Kwa sababu walioandika utaratibu/ Quran, watu tu kama sisi, hawakujua kwamba kuna sehemu dunia hii jua linaangaza kwa masaa 24 ya siku.

Hili linaonesha Quran haikuandikwa na Mungu, imeandikwa na watu tu.

Ingeandikwa na Mungu, anayejua kuna sehemu jua linawaka masaa 24 kwa siku, angeweka utaratibu usio na shaka kuhusu jinsi ya kufunga sehemu ambayo jua linawaka angani kwa masaa 24 ya siku.

Kama unabisha, na unasema utaratibu upo, niwekee hapa utaratibu unaoongoza jinsi ya kufunga sehemu ambayo jua linawaka masaa 24 kwa siku.
 
Hakuna utaratibu.

Kwa nini hakuna utaratibu?

Kwa sababu walioandika utaratibu/ Quran, watu tu kama sisi, hawakujua kwamba kuna sehemu dunia hii jua linaangaza kwa masaa 24.

Kama unabisha, na unasema utaratibu upo, niwekee hapa utaratibu unaoongoza jinsi ya kufunga sehemu ambayo jua linawaka masaa 24 kwa siku.

Kukosa kuwekewa muongozo JF wa kuhusu mfungo unavyoenda huko South Pole ndio ukufanye uhitimishe kwamba taratibu hazipo? Nilitegemea ujiulize wanaofunga wanatumia utaratibu upi, ukashangaza zaidi kufikia hitimisho kwamba hakuna utaratibu.
Umefikia vipi hitimisho kwamba muongozo haupo wakati waislam walioko huko wanafunga?

Pili, kitu kuandikwa na watu kama sisi hakiondoi uzito au maudhui yake, vitabu ulivyosoma shule havijaandikwa na watu kama sisi?
Mbona unavisoma, kuvielewa na kupata ufaham na maarifa, hoja kwamba kitu kimeandikwa na watu kama sisi ni dhaifu.

Hapo ndio nimepata jawabu la kuandika "..kama unabisha..." kumbe tuko na malengo tofauti kabisa hapa.
 
Weka muongozo tumalize mjadala.

Unabadili mjadala, sijaongea lolote kuhusu uzito wa maudhui, nimeandika Qquran imeandikwa na watu tu, haijaandikwa na Mungu, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo, kwa sababu dhana ya kuwepo kwake inajipinga yenyewe.

Kuna watu wengi tu wameandika mambo mengi mazuri, yenye maudhui mazito, nayafuatilia vizuri.

Ukweli kwamba habari zimeandikwa na watu hauondoi uzuri wa hoja, if anything, unaongeza uzuri wa hoja.

Ila hoja hata kama nzuri, imeandikwa na watu, halafu hao watu wakaifanyia "false advertisement" kwamba imeandikwa na Mungu, hiyo "false advertisement" kwamba hoja imeandikwa na Mungu inaiondolea hoja nguvu.

Kwa sababu.

1. Inaonekana walioiandika hawajiamini, wanaona wakisema kweli imeandikwa na watu tu haitakubalika.
2. Imejengwa katika uongo
3. Kwa nini wanadanganya? Wana ajenda gani ya siri? Kwa nini wadanganye katika habari nzuri?

Uislamu una ajenda ya kisiasa ya kutawala dunia. Ndiyo maana unaanza kutawaliwa kimawazo, ukiswali uelekee Mecca, ukisoma Quran usome Kiarabu.

Lakini, penye ukweli, uongo hujitenga.

Ukweli kwamba Quran na miongozo ya Kiislamu haina muongozo wa kufunga sehemu yenye kuangaza jua masaa 24 unaonesha kwamba walioandika Quran na miongozo ni watu tu, si Mungu.

Allah hayupo, ni stories za waarabu tu.

Kama unabisha, weka muongozo hapa unaoonesha jinsi ya kufunga sehemu inayoangaza jua kwa masaa 24.
 
Kiranga , ndio maana hata shule au kwenye taasisi za elimu kuna taratibu zake, kuna masomo yenye topic tofauti tofauti. Mambo hayachanganywi namna hii kama unavyotaka kuyapeleka. Tokea mwanzo naona unavyoingiza suala la uwepo wa Allah au kutokuwepo kwake, jambo ambalo sihitaji kulijadili.

Umerudi kuhusu uandishi wa Quran, hapo sitii neno kwa sababu sijui chochote, kwa mbaali naweza elezea uandishi wa Biblia takatifu.

Uzuri waislam waliopo South Pole wanafunga bila kujali Kiranga anasema hakuna muongozo.
 
Mimi Nipo upande wa kiranga katika huu mjadala.

Swali lake ni jepesi tuu, ni muongozo gani katika Quran au uislam kwa ujumla unaotoa muongozo wa kufunga kwa watu waliopo sehemu zisizokuwa na majira Sawa (mchana mrefu, usiku mrefu au mchana pekee au usiku pekee)

Kwa hiyo jibu mliliopaswa kuleta ni kutoa huo muongozo, lakini hapa nachoona ni watu kuzungukazunguka tuu bila kuwa na majibu.

Mfano, kuna member huku juu anasema kama huko S.pole au N.pole kuna watu wanafunga basi lazima kutakuwa na muongozo, jibu ambalo halijibu swali la kiranga.

Ni Sawa sawa mtu akuulize ni mstari/muongozo gani katika Biblia unaotaka waumini kutoa fungu la kumi kanisani halafu mtu ajibu kwa kuwa kwenye baadhi ya makanisa fungu la kumi huwa linatolewa basi muongozo lazima utakuwepo (hajajibu swali).

Atakayeweza aje na huo muongozo ili ajibu swali sio kuleta practice za watu ambazo sio muongozo wa kwenye kitabu au uislam kwa ujumla.
 
Huu mjadala kwa mtu mwenye akili na kufatilia hoja ulishaisja zamani sana.

Kiranga alianza kujibiwa tangu huko mwanzo na Safuher,mimi nikaja kumjibu na kumuonyesha ya kuwa sisi tumepewa misingi ambayo juu yake kunazalikana mambo mengine. Nikamtolea mfano wa uharamu wa madawa ya kulevya,hakuna aya katika Qur'aan inayozungumzia madawa ya kulevya,ila kutokana na msingi wa Qiyaasi unakuta madawa ya kulevya yanaingia katika uharamu kutokana na uharamu wa pombe kama ndio asili.

Nikaja kumtolea mfano wa masiku atakayo dhihiri masahi Dajjaal,ya kuwa siku moja itakuwa kama mwezi,na itashuka siku moja itakuwa kama juma moja,maswahaba wakamuuliza mtume itakuwaje katika sala jambo hilo ? Mtume akawaambia mtasali kwa makadirio,hii inaonyesha kwa siku moja kuwa kama mwezi ni ngumu kujua machweo na mawio na huko huko watu wa huko muongozo wao ni kuwaangalia majirani zao au wakadirie. Sasa kwa majibu haya akitokea mtu kusema hajajibiwa lazima tumuone mjinga na anapoteza muda na kutaka kurefusha mambo.
 
Back
Top Bottom