Dubai Burj Khalifa: Ramadan fast 'lasts longer high up'

Sasa kama anavyo viwili hivyo,mbona ni mjinga kiasi hiki ?

Hapo utakua umemuonea mkuu, wakati mwingine tukubali kuwa wastahimilivu na kuheshimu mawazo ya wengine hata kama hatukubaliani nao. Ukimuita mjinga nafikiri hautamtendea haki.

Tungejaribu kujikita zaidi kwenye hoja, bora uache kujibishana na mtu kuliko ukimfedhehesha. Naelewa kama binadamu kuna wakati tunaghadhibika ila kuweza kuhimili na kubaki na utulivu ni kitu muhimu.

Chanzo cha hiyo habari kinaeleza wazi namna uislam unavyotumia taratibu zake kushughulika na mambo kama hayo.
Hiyo imekua shida kwa ndugu yetu kwa sababu msingi mkubwa wa tatizo kwake ni uwepo wa Mungu, ndio maana ameiingiza Quran na Allah.

Ushauri wanngu kwake siku zote umekua ni rahisi sana, uhuru wa kuamini kila mmoja anao, aache walioamua kuamini wafanye kadri wanavyoona inafaa.
 
Shukrani. Tuko pamoja.
 
Umenena vyema mno mkuu.

Kwa nini kiranga hawezi kustahamili badala yake anaishia kutukana?

Unadhani ni kwa sababu ipi mkuu
Hapo utakua umemuonea mkuu, wakati mwingine tukubali kuwa wastahimilivu na kuheshimu mawazo ya wengine hata kama hatukubaliani nao. Ukimuita mjinga nafikiri hautamtendea haki.

Tungejaribu kujikita zaidi kwenye hoja, bora uache kujibishana na mtu kuliko ukimfedhehesha. Naelewa kama binadamu kuna wakati tunaghadhibika ila kuweza kuhimili na kubaki na utulivu ni kitu muhimu.

Chanzo cha hiyo habari kinaeleza wazi namna uislam unavyotumia taratibu zake kushughulika na mambo kama hayo.
Hiyo imekua shida kwa ndugu yetu kwa sababu msingi mkubwa wa tatizo kwake ni uwepo wa Mungu, ndio maana ameiingiza Quran na Allah.

Ushauri wanngu kwake siku zote umekua ni rahisi sana, uhuru wa kuamini kila mmoja anao, aache walioamua kuamini wafanye kadri wanavyoona inafaa.
 
Nacheka sana.

Huwezi kupiga pasi nguo chafu,zaidi ya kuonekana mjinga au hayawani.

Tuliza kichwa,tukiza akili,ajabu ya kupenda mijadala halafu kichwani mweupe matokeo yake ni kutukana.

Bora ujadiliane na wajuzi mia moja unaweza kuwashinda kwa hoja na ukajifunza jambo kuliko kushindana na mjinga mmoja,atakukadhibisha na kutoa matusi na usifaidike na lolote.
Mzee wa kucheka on point
 
Kiranga unachekesha kweli,
Hakuna walipotaja North au South pole.

Kuna siku zina giza masaa 24 jua halionekani, au zina jua masaa 24 jua linachomoza huko.

Sasa ikiwa hivyo, kufunga kwa kuangalia jua huko itakuwaje?

Kuna base ya scientific research South Pole huko.

Kama mwanasayansi wa Kiislamu yuko huko atafunga vipi?
Funga kwani inaanza mda gani?
 
Naona jamaa wa mnyaazmungu kidogo leo wameibuka kidedea huku [emoji16]
 
Unasema ?

Huwa hatushindani bali tunasema haki.

Usipoikibali tuna achana na wewe,kwani si jukumu letu kukubadilisha,ila wajibu wetu kuisema haki.

Tuko pamoja.
 
Zurri na safuher niliwaambiaje nyinyi, msipoteze nguvu zenu kwa huyo jamaa hamkuelewa. Aliwahi kunifuata hata PM kwa mjadala wa kiimani. Maswali akiona magumu anakwepa kwa kisingizio cha kulidharau halina maana, hii ndiyo tabia yake.

Hata mjadala mmoja wa kuhusu ndege za ATCL aliwahi kutaja kitu akisema ni hatari kwa economy scale yake. Nikamuuliza hebu tutajie mfano wa shirika moja lililowahi kudondoka kisa sababu hizo. Akaanza blah blah zingine

Niliwaambia toka mwanzo
 
Kiranga anafahamika.
 
Naona jamaa wa mnyaazmungu kidogo leo wameibuka kidedea huku [emoji16]
Mungu muweza yote, mwenye upendo wote na ujuzi wote ambaye anayetegemea kutetewa na "jamaa wa mnyaaz mumgu" ni wa kuchongwa tu.

Angekuwepo kweli ku gekuwa hakuna haja ya "jamaa wa mnyaazmungu" kumtetea.

Hili ni jambo la wazi kabisa.
 
Zurri na safuher niliwaambiaje nyinyi, msipoteze nguvu zenu kwa huyo jamaa hamkuelewa. Aliwahi kunifuata hata PM kwa mjadala wa kiimani. Maswali akiona magumu anakwepa kwa kisingizio cha kulidharau halina maana, hii ndiyo tabia yake.

Hata mjadala mmoja wa kuhusu ndege za ATCL aliwahi kutaja kitu akisema ni hatari kwa economy scale yake. Nikamuuliza hebu tutajie mfano wa shirika moja lililowahi kudondoka kisa sababu hizo. Akaanza blah blah zingine

Niliwaambia toka mwanzo
Jamaa gani? Alikufuata PM lini? Unaweza kuweka PM hapa kama ushahidi ili tujue unasema kweli na si mzushi tu?
 
Chief, you are by far better than this man. Despite our differences on some issues especially when it comes to faith, I do respect and admire your intellectual ability.

Tolerance and sometimes agreeing to disagree doesn't show weakness, rather kind of maturity.

Thanks
Agreeing to disagreeing is an oxymoron.

And this is my version of tolerance. I tolerate nincompoops enough to engage them here.

I dont need to do that.

I could engage people at my level on Quora.

This - complete with the telling off- is a patriotic act of tolerance.

I do not subscribe to a pretentious sense of modesty that I do not feel.
 
Mungu muweza yote, mwenye upendo wote na ujuzi wote ambaye anayetegemea kutetewa na "jamaa wa mnyaaz mumgu" ni wa kuchongwa tu.

Angekuwepo kweli ku gekuwa hakuna haja ya "jamaa wa mnyaazmungu" kumtetea.

Hili ni jambo la wazi kabisa.
Punguza wahka kaka kiranga.
 
Agreeing to disagreeing is an oxymoron.

And this is my version of tolerance. I tolerate nincompoops enough to engage them here.

I dont need to do that.

I could engage people at my level on Quora.

This - complete with the telling off- is a patriotic act of tolerance.

I do not subscribe to a pretentious sense of modesty that I do not feel.

You are right Sir.
 
Kwenye hii post uliyoileta. Umeeleza juu ya utaratibu wa walioamua kuamini katika uislam na jambo moja muhimubkwao ni kufunga.

Ukahoji vizuri kabisa kwamba wanafanyaje zile siku ambazo jua linakuwepo kwa masaa 24 huko South Pole wanafanyaje? Kwenye maelezo hayo hayo uliyoleta wameelezea wanavyotatua inapotokea mambo kama hayo.

Nikakuuliza hao jamaa endapo umewahi kuzisoma hizo laws zilizotajwa, hukujibu, nikauliza tena ikiwa hao watu wanafunga au hawafungi haukujibu pia lakini ukaenda moja kwa moja kwamba Quran kwanini haikuandika mambo kama hayo.

Ulipoingiza Quran na Allah nikasema huko unagusa Imani. Ndio naona tumerudi hapa unaposema haujadili imani bali ukweli.
Hakuna laws definite za Kiislamu zinazo cover kufunga sehemu kama Antarctica/South Pole ambako kuna siku jua linawaka kwa saa 24 huko.

Kwa sababu, Quran ilipoandikwa, walioiandika hawakujua kwamba kuna sehemu kama Antarctica/ South Pole ambako jua linawaka mpaka masaa 24 kwa siku.

Quran imeandikwa na watu, haikuandikwa na Mungu. Mungu hayupo.

Ndiyo maana imejaa contradictions. Ndiyo maana imeandika kwamba, Allah kuna watu atawafunga macho na masikio wasimjue. Atawafanya mioyo yao iwe mizito wasimjue, halafu atawahukumu vikali, kwa sababu hawakumjua.

Hii inaingia akilini kweli? Allah mwenye nguvu zote, ujuzi wote, upendo wote, awafanye watu wasimjue, kisha awahukumu vikali sababu hawakumjua?

Quran imeandikwa na watu tu. Allah hayupo.

Ndiyo maana Quran inataja sehemu nyingi tu, lakini haitaji jinsi ya kufunga sehemu ambayo jua linawaka angani kwa masaa 24 mfululizo.

Walioandika Quran hawakujua kitu hiki, wangejua wangeweka muongozo huo.

Ndoyo maana mpaka sasa nimeomba kuoeea muongozo wa jinsi ya kufunga Antarctica huko, sijajibiwa, hakuna muongozo huo. Walioandika Quran walipoandika hawakujua kuna sehemu kama Antarctica.
 
Hakuna mahali ambapo jua linawaka masaa 24, kinachotokea mfano kwasasa Jua lipo tropic ya Cancer kwahiyo Northern hemisphere wanakuwa na mchana mrefu kuliko usiku na jua lina kuwepo hata masaa 14-15.
Ndiyo hiyo ninayoiongelea mpaka huko South na North pole ambako kuna siku zina jua la masaa 24 na usiku wa masaa 24.

Ushaelewa?
 
Hakuna mahali ambapo jua linawaka masaa 24, kinachotokea mfano kwasasa Jua lipo tropic ya Cancer kwahiyo Northern hemisphere wanakuwa na mchana mrefu kuliko usiku na jua lina kuwepo hata masaa 14-15.
"Hakuna mahali ambapo jua linawaka masaa 24"?

Unataka tujadili hii kauli kwa details?
 
Hakuna laws definite za Kiislamu zinazo cover kufunga sehemu kama Antarctica/South Pole ambako kuna siku jua linawaka kwa saa 24 huko.

Kwa sababu, Quran ilipoandikwa, walioiandika hawakujua kwamba kuna sehemu kama Antarctica/ South Pole ambako jua linawaka mpaka masaa 24 kwa siku.

Quran imeandikwa na watu, haikuandikwa na Mungu. Mungu hayupo.

Ndiyo maana imejaa contradictions. Ndiyo maana imeandika kwamba, Allah kuna watu atawafunga macho na masikio wasimjue. Atawafanya mioyo yao iwe mizito wasimjue, halafu atawahukumu vikali, kwa sababu hawakumjua.

Hii inaingia akilini kweli? Allah mwenye nguvu zote, ujuzi wote, upendo wote, awafanye watu wasimjue, kisha awahukumu vikali sababu hawakumjua?

Quran imeandikwa na watu tu. Allah hayupo.

Ndiyo maana Quran inataja sehemu nyingi tu, lakini haitaji jinsi ya kufunga sehemu ambayo jua linawaka angani kwa masaa 24 mfululizo.

Walioandika Quran hawakujua kitu hiki, wangejua wangeweka muongozo huo.

Ndoyo maana mpaka sasa nimeomba kuoeea muongozo wa jinsi ya kufunga Antarctica huko, sijajibiwa, hakuna muongozo huo. Walioandika Quran walipoandika hawakujua kuna sehemu kama Antarctica.

Maoni yako ni yapi kuhusu huu mstari nilionukuu kwenye post yako ya awali?

The clerics say there are ancient precedents in Islamic law.

Ikiwa unataka kujua wanashughulika vipi na mfungo kwenye hayo maeneo, wameeleza jinsi wanavyofanya. Lakini pia kumbuka hawaja wai acha kufunga kisa hakuna muongozo.

Ikiwa tatizo ni Quran kutokuandika kuhusu South Pole, hilo ni jambo jingine linalohitaji mjadala mwingine kabisa.
 
Lete evidence
Kabla ya kusema "hakuna hiki" au "hakuna kile" kwanza jaribu ku research hata kidogo tu ili uondoe ujinga wa msingi.

The midnight sun is a natural phenomenon that occurs in the summer months in places north of the Arctic Circleor south of the Antarctic Circle, when the Sun remains visible at the local midnight.

Around the summer solstice (approximately 21 June in the Northern Hemisphere and 23 December in the Southern Hemisphere), the Sun is visible for the full 24 hours, given fair weather. The number of days per year with potential midnight sun increases the closer towards either pole one goes. Although approximately defined by the polar circles, in practice the midnight sun can be seen as much as 55 miles (90 km) outside the polar circle, as described below, and the exact latitudes of the farthest reaches of midnight sun depend on topography and vary slightly year-to-year.

Back
Top Bottom