Dubai Burj Khalifa: Ramadan fast 'lasts longer high up'

Allah mbona hakuweka aya za jinsi ya kufunga sehemu ambazo jua halizami kwa masaa 24?

Huko Antarctica kuna scientific base, Waislamu wakienda huko na siku ya mzunguko wa jua ikawa masaa 24 watafunga vipi?

Allah hakujua hili alipoishusha Quran?

Sasa Kiranga umesoma au kuzifuatilia hizo wanazoziita precedents in Islamic law? Kama wanaoishi hayo maeneo hawajawahi kuacha kufunga wakati wowote wa mfungo, inamaana iko namna na miongozo inawaongoza inapofika kwenye mambo kama hayo.

Kuhusu kuwepo au kutokuwepo kwenye Quran siwezi kulitolea maelezo kwa vile mie sio muislam na elimu yao sijaifuatilia. Nimevutiwa na makala kama ilivyoletwa.

Kwa upande mwingine, hata kwenye elimu za kawaida hatufundishwi kila kitu au vitu vyote ambavyo vitaongoza kila jambo utakalokutana nalo maishani iwe binafsi au kazini.

Karibu tena baada ya mapumziko hapa Jukwaani Chief
 
Asante.

Kwenye elimu ya kawaida hatufundishwi kila kitu, kwa sababu hatujui kila kitu.

Sasa Allah aliyejua yote, kwa nini hakuweka miongozo yote kwenye Quran?

Kwa nini hakuweka muongozo wa watu kufunga wakiwa South Pole kabla hata hawajajua kuna South Pole?

Kwa nini hakushusha Quran kwa lugha za watu wote kwa mfano? Kwa nini Quran haikushushwa Kwa lugha za Africa pia?

Jibu ni rahisi.

Allah hayupo. Ni hadithi ya kutungwa.Quran imeandikwa na watu ambao walipoiandika hawakujua kwamba South Pole kuna siku zina jua masaa 24.

Quran imeandikwa na watu tu, ambao katika siku walipoiandika hawakujua lugha za watu wengine wa huku Africa.
 
Sasa Allah aliyejua yote, kwa nini hakuweka mio gozo yote kwenye Quran?

Kwa nini hakushusha Quran kwa lugha za watu wote kwa mfano? Kwa nini Quran haikushushwa Kwa lugha za Africa pia?

Jibu ni rahisi.

Allah hayupo. Ni hadithi ya kutungwa.Quran imeandikwa na watu ambao walipoiandika hawakujua kwamba South Pole kuna siku zina jua masaa 24.

Quran imeandikwa na watu tu, ambao katika siku walipoiandika hawakujua lugha za watu wengine wa huku Africa.

Hayo ni maoni na mtazamo wako, sina neno nayo na yanaweza kuwa sahihi au yasiwe sahihi.

Nisingependa kwenye mjadala wa kuwepo au kutokuwepo kwa Allah (hili unaujua msimamo wangu kwamba mambo ya Imani, yanabaki kuwa ya imani na kuaminiwa na wanaoamua kuamini, ni hiari).

Ukristo ni wa wakristo, uislam wa waislam na dini zote vile vile ni za wenye hizo dini. Pia wanaoamua kutokusadiki na kuamini chochote pia wameamua kuwa hivyo.

Wenye kuuelewa uislam na uandishi wa Quran watakuja na maelezo. Lakini tayari umeshaweka hitimisho lako. Sawa na kikombe kikijaa, hauwezi tena kuongeza kimiminika, kitamwagika tu. Vinginevyo umwage ili kupata nafasi ya kimiminika kipya.
 
Sipo kujadili imani, najadili ukweli.

Imani kuna mpaka wanaoamini ng'ombe ni watakatifu, na wana haki ya kuamini hilo.

Lakini mtu akishaanza kuongelea habari za "kuthibitisha", hapo kashatoka kwenye imani tu, kaingia katika kutafuta ukweli unaoweza kuchunguzwa, kuhojiwa, kupingwa na kadhalika.
 
Asante.

Kwenye elimu ya kawaida hatufundishwi kila kitu, kwa sababu hatujui kila kitu.

Sasa Allah aliyejua yote, kwa nini hakuweka miongozo yote kwenye Quran?

Kwa nini hakuweka muongozo wa watu kufunga wakiwa South Pole kabla hata hawajajua kuna South Pole?

Kwa nini hakushusha Quran kwa lugha za watu wote kwa mfano? Kwa nini Quran haikushushwa Kwa lugha za Africa pia?

Jibu ni rahisi.

Allah hayupo. Ni hadithi ya kutungwa.Quran imeandikwa na watu ambao walipoiandika hawakujua kwamba South Pole kuna siku zina jua masaa 24.

Quran imeandikwa na watu tu, ambao katika siku walipoiandika hawakujua lugha za watu wengine wa huku Africa.
Mkuu.

Watu wa huko ambako giza 24 hrs na jua 24hrs wamewahi kuacha kufunga kwa kukosa Muongozo ndani ya Qurani?

Mwaka huu tunaona wamefunga,je wamefunga pasi na Muongozo?

Unaposema Muongozo kwa mujibu wa ibara zako hapa una maanisha nini?

Mfano.

Mtume muhammad anasema
"Kila chenye kulewesha haramu"

Hapo haikutajwa bangi,wala pombe,wala haikutajwa kitu kwa jina lake katika hayo maneno"

Je hayo maneno sio Muongozo wa kuwa safari laga,bangi,tembo ni haramu(kwa sababu vinaingia katika vile vyenye kulewesha) hata kama havikutajwa moja kwa moja kwa majina yake maalumu ?
 
Unajua Antarctica/ South Pole ni wapi?
 
Hayo ni maoni na mtazamo wako, sina neno nayo na yanaweza kuwa sahihi au yasiwe sahihi.

Nisingependa kwenye mjadala wa kuwepo au kutokuwepo kwa Allah (hili unaujua msimamo wangu kwamba mambo ya Imani, yanabaki kuwa ya imani na kuaminiwa na wanaoamua kuamini, ni hiari).

Ukristo ni wa wakristo, uislam wa waislam na dini zote vile vile ni za wenye hizo dini. Pia wanaoamua kutokusadiki na kuamini chochote pia wameamua kuwa hivyo.

Wenye kuuelewa uislam na uandishi wa Quran watakuja na maelezo. Lakini tayari umeshaweka hitimisho lako. Sawa na kikombe kikijaa, hauwezi tena kuongeza kimiminika, kitamwagika tu. Vinginevyo umwage ili kupata nafasi ya kimiminika kipya.
Kiranga angekuwa na akili na ufahamu mzuri kama wako nafikiri kuna baadhi ya mambo angekuwa ameyaelewa zamani sana.

Mtu anataka kitabu cha Mungu kitaje kila kitu,sasa hicho kitabu si kinaweza kujaa dunia nzima mana itabidi kinukuu kila kitu.
 
Nikwambie mara ngapi, yoyote ile?
Nimekutajia namna ninayoijua.unataka nyingine ipi wakati nimeshataja wewe mtu.

Kwa nini nisiamini kwamba nikitaja namna ingine utataka tena namna ingine kwa huu unung'aze unaoonesha hapa?.
 
Unaelewa hata swali langu linauliza nini?
 
Unaelewa hata jibu langu linajibu nini?
Huwezi kujibu swali usilolielewa.

Antarctica hukujui, kwa namna yoyote, jibu lako ni kama la mlevi aliyezidiwa na pombe asiyoijua.

Hata Kiswahili tu ulichoandika kinaonesha umeshindwa kufuatilia mjadala.
 
Huwezi kujibu swali usilolielewa.

Antarctica hukujui, jibu lako ni kama la mlevi aliyezidiwa na pombe.

Hata Kiswahili tu ulichoandika kinaonesha umeshindwa kufuatilia mjadala.
Mbona tokea mwanzo nilishakuambia sikujui au hukuelewa kiranga?

wewe unajua kila sehemu ya dunia?
 
Kwa hiyo tangu mwanzo unabishana kuhusu sehemu usiyoijua?

Kumbe naweza kukutajia jina la sehemu ya uongo ambayo haipo, ukabishana nami kijinga tu.

Unabishana kuhusu sehemu ambayo huijui?
 
Nisiyoijua unakusudia nini?

Sijafika?
Sijawahi kupasikia?
Au nisiyoijua kivipi?

Mbona maana yangu nimeikhusisha wewe unataka kuijumuisha unavyojua?

Back
Top Bottom