Dubai Burj Khalifa: Ramadan fast 'lasts longer high up'

Nitumie mara ngapi?

Unajua kusoma wewe?

Unaweza kujibu hoja baada ya hoja hapo uliponukuu au unakimbia majadala?

Unaelewa maana ya swali lisilobadilisha mjadala kama nilivyoelezea katika post uliyonukuu hapo mwisho?

Hujaonyesha misingi ya kimantiki,katika hilo.

Hakuna msingi wa kimantiki,unaokutaka unakishi jambo kwa "Swali Pumba tupu"
 
South Pole hawaishi watu?

Allah alipitiwa vipi akasahau kuandika katika Quran muongozo wa kufunga South Pole?

Unapenda kupoteza muda sana. Nikisema sija acha kitu,unakumbuka kuna sehemu nilisema "Siku moja kama mwezi" au "Siku moja kama juma" kisha nikamalizia kwa athari ?
 
Hujaonyesha misingi ya kimantiki,katika hilo.

Hakuna msingi wa kimantiki,unaokutaka unakishi jambo kwa "Swali Pumba tupu"
Nikikuuliza bei ya nyama ya nguruwe China hapa, swali hilo litakuwa na msingi wa kimantiki katika mjadala huu?
 
Unapenda kupoteza muda sana. Nikisema sija acha kitu,unakumbuka kuna sehemu nilisema "Siku moja kama mwezi" au "Siku moja kama juma" kisha nikamalizia kwa athari ?
Hujajibu nililokuuliza, ulilojibu sijakuuliza.

Nipe aya ya muongozo wa kufunga South Pole.
 
Swali kama hawana Muongozo kwa nini wanafunga?

Wanafunga kwa Myongozo upi ?

Au wewe unavyotumia neno Muongozo una maana ipi?
 
Nikikuuliza bei ya nyama ya nguruwe China hapa, swali hilo litakuwa na msingi wa kimantiki katika mjadala huu?

Siamini katika elimu ya mantiki,nakupa changamoto wewe ili ujue hata hiyo mantiki ni elimu na unatakiwa hufata kanuni zake kama umeamua kuitumia,niliacha kuithamini elimu hiyo zamani japo naijua.

Swali lako hilo nalijibu kwa mujibu wa elimu ya adabu za kufanya utafiti na kufanya mijadala,kwa mujibu wa elimu hiyo,tunasema kauli ina maana kwa yenyewe ila imewekwa mahali ambapo hapama munasaba.
 
Wewe hujui hata juu na chini ni suala relative.

Una matatizo zaidi ya mantiki.
 
Hujajibu nililokuuliza, ulilojibu sijakuuliza.

Nipe aya ya muongozo wa kufunga South Pole.

Ile orodha niliyokupa ilikuwa ina maana sana,ila hukuielewa na hukutaka kuelewa,pia kabla nilikutolea mfano wa uharamu wa madawa ya kulevya kwa asili ya uharamu wa pombe,baada kutokuwepo uharamu wa madawa ya kulevya katika Qur'aan.

Sasa hujajibiwa wapi ?
 
Hujanipa aya inayotoa muongozo wa kufunga sehemu ambayo jua kutoka lichomoze mpaka kuzama ni masaa 24.

Hujanipa aya hiyo.
 
Wewe hujui hata juu na chini ni suala relative.

Una matatizo zaidi ya mantiki.

Hakuna kauli inayosimama bila "Juu ya ....." kuelezea juu.

Sasa kama hukuelewa "Juu ya ...", kwa ujinga wako ukaleta mambo ambayo haya husinai kabisa na jambo husika,mara juu yako ni chini ya mwenzako ? Wapi na wapi hivi vitu wakati mfano wa makabaliano ya watu ni jua liko juu.

Hii tabia ya kuleta mambo yasiyo husika ili kukimbia swali unatakiwa uache. Pale nilikaa kimya nikupe muda nikahisi utajistukia,kumne ndio ukawa unaona ndio una hoji mwenyewe.
 
Tatizo unabadilisha kauli kadiri tunavyokwenda.

Ulianza "watu wote", nikakubana, ukabadili kwenda "watu wote waliobalehe na wenye akili timamu".

Ulianza "juu", nikakubana, ukabadili kwenda "juu ya".

You are not consistent.

You are making up things as you go.
 
Hujanipa aya inayotoa muongozo wa kufunga sehemu ambayo jua kutoka lichomoze mpaka kuzama ni masaa 24.

Hujanipa aya hiyo.

Ulisoma ile fatwa aliyoigusia Safuher huko juu ?

Namaanisha ya kuwa kuna mambo hukuti yameleezewa kwenye Qur'aan ila unakuta yapo kwenye Hadithi au katika Ijmaa au Qiyasi sahihi,nikakutolea mfano wa madawa ya kulevya. Hukuti aya inayokataza juu ya madawa ya kulevya,ila katika sheria ya kiislamu madawa ya kulevya ni haramu,sababu yanaingia katika asili ya uharamu wa pombe,na hii nsio asili.

Sasa suala la muongozo wa watu wa South Pole unarudi katika asili ya makadirio baada ya wao kupambaukiwa na jambo hilo,na kama hawajui sheria inawataka wafanyaje inabidi wawaulize wasomi kama alivyoguzia Safuher huko juu.

Na haya yote ya muongozo yana asili kutoka hadithi na athari,ndio maana nikakunukulia masiku yatakavyo kuwa pindi atavyokuja Masih Dajjaal,yaani kuna siku moja itakuwa urefu wake kama mwezi,na siku moja itakuwa kama wiki moja,maswahaba wakauliza vipi zitakuwa sala za watu watakao diriki masiku hayo ? Akajibu watakuwa wanakadiria katika muda wa sala kutokana na ile sala ya mwanzo. Sasa nakuuliza wewe,kwenye siku moja ambayo ni sawa na mwezi mmoja,unajua jua litakuwa linachomozaje au kuzama vipi ?
 
Tatizo unabadilisha kauli kadiri tunavyokwenda.

Ulianza "watu wote", nikakubana, ukabadili kwenda "watu wote waliobalehe na wenye akili timamu".

Ulianza "juu", nikakubana, ukabadili kwenda "juu ya".

You are not consistent.

You are making up things as you go.

Kauli zangu zinakuzidi uwezo siku zote na hili liko wazi,rejea kauli zangu na uzisome kwa jicho la tafakuri.

Hii ni elimu siandiki kwa wasi wasi na sibadiliki,na watakao soma kauli zangu hawataona kama nabadilika badilika.
 
Kauli za kusema watu wote wanakubaliana halafu nikikuuliza wote ni wangapi unashindwa kujibu?

Kauli zisizojua juu ni nini?
 
Nasema hivi kauli zangu hazija acha kitu,rejea huko juu utaelewa.

Siandiki kwa wasi wasi bali hii ni elimu.
 
Zimeacha kutaja watu wote ni wangapi.

Nioneshe wapi unetaja watu wote ni wangapi.
 
Sasa hivi kujua idadi kutabadilisha ukweli watu wote wanakubali jua liko juu au kutokujua kutabadilisha hilo ?

Sasa jifunze kuchukua na kuhoji mambo ya msingi.

Jibu nilikuweka wazi kwamba sijui idadi ya watu hao,na kujua au kutokujua ni sawa hakubadilishi chochote.

Akili umepewa bure hiyo basi itumie vyema.
 
The clerics say there are ancient precedents in Islamic law.
Mr Qubaisi said that under such rulings, people living on mountains should also break their fast after those at ground level.

Nafikiri hapa ndio kidogo kuna muongozo wa kuanzia kujadili hoja.
 
Allah mbona hakuweka aya za jinsi ya kufunga sehemu ambazo jua halizami kwa masaa 24?

Huko Antarctica kuna scientific base, Waislamu wakienda huko na siku ya mzunguko wa jua ikawa masaa 24 watafunga vipi?

Allah hakujua hili alipoishusha Quran?
 
Back
Top Bottom