Dubai Burj Khalifa: Ramadan fast 'lasts longer high up'

Maswali ya msingi niliyoyatoa hapa ni

1. Mahali gani / aya gani kwenye Quran inayotoa muongozo wa kufunga kwa watu wanaoishi sehemu ambazo jua ni masaa 24 na Giza ni masaa 24(North na South Pole)?

2.Ni jambo/mambo gani ambayo watu wote wamekubaliana kwa pamoja ?
Unaposema Muongozo unakusudia nini?

Watu wote wanakubaliana kwamba wao ni watu.
Au wewe hukubali kama wewe ni mtu?
 
Mkuu hii Hoja ni dhaifu maana hata akisema yeye ni malaika utammbishia?

Maana katika wote tayari kutakosekana mmoja hivyo dhana ya watu wote anaiua hivyo .
Kwani kiranga anaamini kuna kitu malaika?
 
Mkuu hii Hoja ni dhaifu maana hata akisema yeye ni malaika utammbishia?

Maana katika wote tayari kutakosekana mmoja hivyo dhana ya watu wote anaiua hivyo .
Hawa watu hawajui hata kujenga hoja.

Nimewaambia hivi, kama kipimo cha ukweli ni jambo kukubalika na watu wote, basi Mungu hayupo.

Maana mimi nakataa dhana ya Mungu kuwepo, na nikishakataa tu, kwa sababu jambo ili liwe kweli ni lazima likubalike na wote, Mungu wao huyo anakuwa si wa ukweli.

Yani jambo wanaloling'ang'ania wao wenyewe, linavunja hoja yao wenyewe.

Kama kweli jambo liwe kweli ni lazima likubaliwe na wote, basi dini zote ni za uongo.

Kwa sababu hakuna dini inayokubalika na watu wote.
 
Kauli yako haiko wazi.

Mara watu wote, mara watu wote wenye balehe na akili tumamu.

You are all over the map.

Ndio maana huwa nakwambia husomi maneno ukaelewa au unajidai kusoma,na kama ukiwa huelewi maneno uwe unauliza kabla ya kuhoji,hii itakusaidia sana usionekane kituko.

Soma huko mwanzo utaelewa,sababu nilianza kukufafanulia tangu mwanzo ukajidai mjuaji kuhoji hoji ujinga,kauli zangu ziko vile vile wala hazipingani,wewe soma taratibu huku ukitafakari utaona.

Tuendelee...
 
Hawa watu hawajui hata kujenga hoja.

Nimewaambia hivi, kama kipimo cha ukweli ni jambo kukubalika na watu wote, basi Mungu hayupo.

Maana mimi nakataa dhana ya Mungu kuwepo, na nikishakataa tu, kwa sababu jambo ili liwe kweli ni lazima likubalike na wote, Mungu wao huyo anakuwa si wa ukweli.

Yani jambo wanaloling'ang'ania wao wenyewe, linavunja hoja yao wenyewe.

Kama kweli jambo liwe kweli ni lazima likubaliwe na wote, basi dini zote ni za uongo.

Kwa sababu hakuna dini inayokubalika na watu wote.
Nani kasema kwamba kipimo cha ukweli ni kukubalika na watu wote?
 
Nimekuuliza wewe Ni mtu au siyo Mtu?

Kwa nini unasema watu ambao wanadai wao Ni Mungu?

Unaamini kama wao ni watu lakini wanajidai tu kuwa ni Miungu?
Maswali yako yote mawili hayana mantiki.

1. Mimi ni mtu ama si mtu? Swali hili ni pumba tupu.

Kwa nini ni pumba tupu?

Swali ni pumba tupu kwa sababu jibu langu lolote halibadilishi mjadala wa "jambo kukubalika na wote".

Nikisema mimi ni mtu, kuna watu wanasema Waafrika si watu. Mimi ni Muafrika. Hao hawatakubaliana nami.

Swali halituoneshi kwamba kuna jambo watu wote wanakubaliana nalo.

Nikisema mimi si mtu, kuna watu watakataa hilo. Swali halitufikishi kwenye jambo moja ambalo watu wote wanakubaliana na jambo.

Swali pumba.

Unaponiuliza kwa nini nasema kuna watu wanaosema wao si watu, bali ni miu gu, katika mtiririko ambao mmetoka kusema kila mtu anakubali yeye ni mtu, unanionesha huwezi kufuatilia hoja kimantiki.

Hujui hata tunachojadili ni nini. Ndiyo maana unaukuza maswlai pumba tupu.
 
Hawa watu hawajui hata kujenga hoja.

Nimewaambia hivi, kama kipimo cha ukweli ni jambo kukubalika na watu wote, basi Mungu hayupo.

Maana mimi nakataa dhana ya Mungu kuwepo, na nikishakataa tu, kwa sababu jambo ili liwe kweli ni lazima likubalike na wote, Mungu wao huyo anakuwa si wa ukweli.

Yani jambo wanaloling'ang'ania wao wenyewe, linavunja hoja yao wenyewe.

Kama kweli jambo liwe kweli ni lazima likubaliwe na wote, basi dini zote ni za uongo.

Kwa sababu hakuna dini inayokubalika na watu wote.

Kuwa mkweli wa kauli,hujafafanuliwa maana ya hizo kauli ?

Halafu unaunga mkono hoja ya kijinga kwamba mtu akisema yeye ni malaika utambishia ? Hii ajabj ya mtu kufikiri kitoto namna hii.
 
Atakae sema yeye ni malaika hatoki katika makundi mawili.

1. Mjinga asie jua malaika ni kina nani ?
2. Hajijui yeye ni nani ?
Mwambie huyo jamaa kwamba kiranga hatetewi mana atajichanganya.kiranga ni mtu ambaye hatakiwi kusaidiwa katika mada kama hizi kutokana na wingi wa maneno yake yenye kughafirika.
 
Nani kasema kwamba kipimo cha ukweli ni kukubalika na watu wote?
Kwa hiyo kipimo cha ukweli si jambo kukubalika na wote?

Sasa mmeleta hii hoja ya kukubalika na wote kwa msingi gani?
 
Kuwa mkweli wa kauli,hujafafanuliwa maana ya hizo kauli ?

Halafu unaunga mkono hoja ya kijinga kwamba mtu akisema yeye ni malaika utambishia ? Hii ajabj ya mtu kufikiri kitoto namna hii.
Kauli gani?

Wewe uliyeshindwa hata kuelewa South Pole ni wapi utafafanua nini?
 
Mwambie huyo jamaa kwamba kiranga hatetewi mana atajichanganya.kiranga ni mtu ambaye hatakiwi kusaidiwa katika mada kama hizi kutokana na wingi wa maneno yake yenye kughafirika.

Hawa wote wana matatizo ya kufikiri,yaani wanafikiri kitoto maisha yao yote na wanaona kila jambo la kuhoji hoji,basi wanazidi kuonekana vituko katika ulimwengu wa kielimu.

Salamu hizi bila shaka zimemfikia.
 
Tumia msingi au misingi ya kimantiki kudhoofisha maswali hayo.

Ukiweza mimi nakuunga mkono.
Nitumie mara ngapi?

Unajua kusoma wewe?

Unaweza kujibu hoja baada ya hoja hapo uliponukuu au unakimbia majadala?

Unaelewa maana ya swali lisilobadilisha mjadala kama nilivyoelezea katika post uliyonukuu hapo mwisho?
 
Kwa hiyo kipimo cha ukweli si jambo kukubalika na wote?

Sasa mmeleta hii hoja ya kukubalika na wote kwa msingi gani?
Hahahahhaha yani umeshasahau kwa nini tumefika huku enh?

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hoja yetu ilikuwa ni kule ulikosema kuhusu uthabiti wa kimantiki.
 
Kauli gani?

Wewe uliyeshindwa hata kuelewa South Pole ni wapi utafafanua nini?

Nacheka sana,soma nilichokujibu kuhusu South Pole.

Ukielewa maneno huwezi kusema maneno kama haya,hujaona sehemu niliyosema "...hata kama sehemu hawaishi watu..." au kama nilivyosema. Soma mzee sikuacha kitu katika hilo la South Pole.
 
South Pole hawaishi watu?

Allah alipitiwa vipi akasahau kuandika katika Quran muongozo wa kufunga South Pole?
 
Kama hawana Muongozo kwa nini wanafunga ?

Kuna mwaka ambao waliacha kufunga kwa kusubiria uchambuzi wa Muongozo ndani ya Qurani?
 
Back
Top Bottom